VIDEO DIAMOND PLATNUMZ AKITUONYESHA NYUMBA ALIYONUNUA HUKO SOUTH AFRIKA
Siku kadhaa zimepita toka msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz atangaze kuwa kanunua nyumba ya kuishi Afrika Kusini, huku baadhi ya watu wakidaiwa kutoa comment kuwa nyumba hiyo sio ya staa huyo.
No comments:
Post a Comment