Sunday, 23 October 2016

MAREHEMU MICHAEL JACKSON AMEINGIZA $825M MWAKA HUU

Forbes wametoa orodha ya mastaa waliofariki wanaoendelea kuingiza mkwanja mrefu zaidi. Mfalme wa muziki wa Pop, Michael Jackson ndiye anayeongoza orodha hiyo akiwa ameingiza kiasi cha dola milioni 825
 Sababu ya kuongoza orodha hiyo imetajwa ni kufuatia uamuzi wa kuuzwa nusu ya hisa zake kampuni Sony/ATV inayomiliki nyimbo za The Beatles na kuingizia kiasi cha dola milioni 750.


Orodha ya mastaa wengine waliofariki lakini wameendelea kuingiza fedha nyingi ni:
1)Steve McQueen 49 milioni
2)Charles Schulz $48 milioni
3)Arnold Palmer $40 milioni
4)Elvis Presley $27 milioni
5)Prince $25 milioni
6)Bob Marley $21 milioni
7)Theodor ‘Dr. Seuss’ Geisel $20 milioni
8)John Lonnon $12 milioni
9)Albert Einstein $11.5 milioni
10)Bettie Page $11 milioni
11)David Bowie $10.5 milioni
12)Elizabeth Taylor $8 milion


No comments:

Post a Comment

advertise here