Ray J hajapenda kuwekwa kwenye video ya wimbo Famous wa Kanye West.
Kwenye video hiyo Ray J aliyewahi kuwa mpenzi wa Kim Kardashian,
anaonekana akiwa mtupu amelala kitandani na mastaa wengine. Akiongea na
Entertainment Tonight kwenye tuzo za BET, Ray J alisema alishangaa
kuwepo kwenye video hiyo na hataki hata kuisikia.
“Don’t put me part of nothing that’s weird, that don’t make sense,” alisema. “Can I grow up?”
Ray J pia alisema kuwa mchumba wake, Princess Love, amechukizwa mno na
video hiyo. “I’m engaged. My marriage is all messed up ‘cause of
craziness. I’m not part of nothing crazy,” alisema Ray J.
Waziri mkuu wa Uingereza, David
Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwa kuwashawishi raia
wengi wa Uingereza, kusalia katika muungano wa Ulaya.
Cameron akiwa amejawa na huzuni amesema kuwa atasalia ofisini kwa siku tisini zijayo ndipo angatuke.
Bw
Cameron ambaye ameongoza kampeini ya kusalia katika muungano wa EU
amesema kauli hiyo imempa mshutuko mkubwa na kwa baadhi ya watu
mashuhuri duniani.
Akiongea katika kikao cha waandishi wa habari
nje ya afisi yake jijini London, Bwana Cameron amesema kuwa hahisi tena
kuwa mtu muhimu wa kuliongoza taifa hilo kwa ufanisi chini ya uamuzi
kama uliofanywa.
Sauti yake iliibua hisia hasa aliposena naipenda saana taifa hili na najihisi vizuri kuliongoza muda huo wote.
Bwana
Cameron amesema kuwa kauli ya wengi sharti isikizwe japo hafahamu
kwanini Waingereza walichukua uamuzi kama huo ilhali taifa hilo lilikuwa
linaufanisi mkubwa sana ndani ya EU.Cameron akiwa ameandamana na mkewe amesema bila shaka sasa utawala mpya
unahitajika utakaoweza kutathmini mbinu na mkataba wa kujiondoa kutoka
kwa muungano huo wa bara Ulaya.
Baba wa miaka 28 nchini Marekani
amenyoa kichwa chake na kuweka mchoro wa tatoo unaofanana na kovu la
kichwa cha mwanawe aliyefanyiwa upasuaji.
Josh Marshall,ambaye
anatoka Kansas aliingia katika shindano la kila mwaka linaloendeshwa na
shirika la hisani kuhusu saratani ya watoto na kushinda taji la
#BestbaldDad{baba mwenye kipara kizuri} wikendi iliopita.
Akikiri aliandika: Mimi na mwanangu katika hafla ya St. Baldtricks huko Wichita Kansas.
Ofisi
ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini inapenda kuwafahamisha wananchi
kwamba, kuanzia tarehe 27 Juni, 2016 hadi tarehe 06 Julai, 2016
itaendesha zoezi la uhakiki wa utekelezaji wa masharti ya usajili na
matakwa mengine ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya Mwaka 1992, kwa Vyama
vya Siasa vyenye usajilli wa kudumu kwa upande wa Tanzania Bara.
Zoezi hili ni endelevu kwani ni utekelezaji wa kawaida wa majukumu ya
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa. Hufanyika kila mwaka isipokuwa kwa
mwaka jana (2015) kwa kuwa ulikuwa mwaka wa uchaguzi.
SUBSCRIBE HAPA Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume – hii ni kulingana
na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na
mambo mengi ikiwemo ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini. Ni jambo
linaloweza kupata ufumbuzi kwa urahisi kama utazingatia kula vizuri na
kufanya mazoezi.
Ili kuongeza stamina kwenye mapenzi si lazima kutumia madawa makali kama
viagra au vilevi vikali. Madawa na pombe hukupa nguvu zinazoisha kwa
muda mfupi, lakini hukuletea madhara makubwa yatakayokuandama kwa muda
mrefu zaidi. Ili kupata suluhishi la uhakika ni vizuri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
amesema serikali imeamua kusimamisha kwa muda mfupi usiozidi miezi
miwili zoezi la utoaji ajira mpya na upandishaji wa vyeo kwa watumishi
wa umma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema
serikali imeamua kusimamisha kwa muda mfupi usiozidi miezi miwili zoezi
la utoaji ajira mpya na upandishaji wa vyeo kwa watumishi wa umma kwa
lengo la kupisha uhakiki wa watumishi wa umma katika orodha ya malipo ya
mshahara na kuondoa watumishi hewa.
Ofisi ya
Rais TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga
na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi
waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali.
Jumla
ya wanafunzi 65,720 wakiwemo wasichana 29,457 na wavulana 36,263
wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi. Kati ya
wanafunzi waliochaguliwa 34,064 wakiwemo wasichana 13,466 na wavulana
20,598 sawa na asilimia 52 watajiunga na masomo ya Sayansi na Hisabati;
na wanafunzi 30,897 wakiwemo wasichana 15,445 na wavulana 15,452 sawa na
SUBSCRIBE HAPA Amesema anatamani angekuwa ameruhusiwa kusema mambo makubwa wanayoyapika ndani ya himaya yao. “Kiukweli
kama ningeruhusiwa kutoa siri za kampuni, ningesema nani ana video
ngapi lakini mi naomba watanzania waoneshe ushirikiano mkubwa kwa vijana
wao,”
Nyoka mkubwa ambaye alikuwa akiishi
katika dari ya nyumba moja nchini Australia kwa takriban miaka 10 sasa
ameamua kuingia katika chumba cha kulala.
Mwenye nyumba hiyo Trina
Hibberd kutoka eneo la Queenland aliamka siku ya jumatatu na kumuona
nyoka huyo mwenye urefu wa mita 5.2 amejipinda katika kitanda chake.
Aliwasha taa ya chumba hicho kabla ya mtaalam wa kushika nyoka Dave Goodwin kuwasli.
Mji wa Hong Kong ndio mji ghali
zaidi duniani baada ya kuupiku mji wa Luanda, Angola kulingana na
wafanyikazi wa kimataifa katika utafiti wa kila mwaka unaofanywa na
shirika la Mercer.
Luanda ambao ulikuwa unaongoza orodha hiyo katika siku za hivi karibuni ulishuka kufuatia kudhoofika kwa sarufi yake.
Nyota wa muziki Rihanna alibubujikwa
na machozi wakati wa tamasha mjni Dublin usiku wa kuamkia jana baada ya
kuwasili akiwa amechelewa kwa dakika 30 katika ukumbi huo.
Mwanamuziki
huyo alijawa na hisia wakati alipoanza kuimba wimbo wa 'Love The Way
You Lie' aliyoimba kwa ushirikiano na mwanamuziki Eminem.
Mashabiki
waliweka picha na video za mwanbamuziki huuo katika mitandao ya kijamii
wakionyesha wasiwasi wao kuhusu kile kilichotokea.
Rihanna
hakuelezea ni nini kilichotokea mbali na kuandika ujumbe kwatika mtandao
SUBSCRIBE HAPA KWA HABARI KWA NJIA YA VIDEOS Maskini
wee! Baba wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,
Abdul Juma ‘Baba D’ anaumwa sana! Ndivyo Risasi Mchanganyiko linavyoweza
kukuhabarisha baada ya mzazi huyo kuzidiwa ghafla na kukimbizwa
hospitalini kutibiwa kwa msaada kutokana na kukosa fedha, twende hatua
kwa hatua.
NI JUMAPILI ILIYOPITA
Tukio hilo la kusikitisha la baba mzazi wa msanii ambaye anatajwa kuwa
na ukwasi wa kutosha Bongo, lilijiri Jumapili iliyopita ambapo kwa
msaada wa Dk. Fadhili Emily wa Kituo cha Tiba cha Fadhaget Sanitarium
kilichopo Mbezi Beach-Africana, Dar, baba Diamond alifikishwa kutoka
nyumbani kwake Magomeni-Kagera hadi hospitalini hapo na kupatiwa
matibabu.
Raia nchini Tanzania wameamkia habari za kushangaza kwamba taifa hilo linaunda ndege.
Gazeti
la Tanzania la Daily News limeripoti kwamba ndege hiyo aina ya
helikopta inakaribia kukamilika na kwamba habari hiyo imekuwa ikisambaa
barani Afrika kwa kasi.
Gazeti la Zambia, Observer linasema kuwa
lengo la ndege hiyo itayokuwa ikibeba watu kwa bei rahisi itakabiliana
na matatizo ya uchukuzi nchini humo.
SUBSCRIBE HAPA Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’.
MKURUGENZI wa Kituo cha Kusaidia Waathilika wa Dawa Za Kulevya, Sober
House, kilichopo Bagamoyo, Pwani, Karim Banji amekanusha taarifa
zinazosambaa kuwa mwanamuziki mkongwe wa
Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amepelekwa katika kituo hicho.
Akizungumza na mtandao huu uliofunga safari mpaka kituoni hapo, Karim
alisema kuwa ni kweli siku ya jana (Ijumaa) alipokea taarifa kutoka kwa
watu wa karibu wa mwanamuziki huyo kuwa wange
Romelu Lukaku alifunga mabao mawili
huku timu ya taifa la Ubelgiji ikipata ushindi wake wa kwanza katika
michuano ya Euro2016 na kuharibu fursa ya timu ya Jamhuri ya Ireland
kufika robo fainali.
Baada ya kukamilika kwa kipindi cha kwanza
ambapo hakuna timu ilioona lango la
Gazeti hilo limeripoti kuhusu Mwenyekiti wa chama cha wenye kisukari Tanzania, Prof Andrew Swaiambaye
ametamani sukari iendelee kuadimika na bei yake kuwa juu ili matumizi
yake yapungue kwa jamii kutokana na madhara ya bidhaa hiyo kwa mwili wa
binadamu.
Gazeti
hilo limesema Prof Swai ameyazungumza hayo jana jijini Dar es salaam
wakati wa semina kwa waandishi wa habari iliyolenga kuelimisha juu ya
magonjwa yasiyoambukiza Prof Swai ambaye ni daktari katika hospitali ya
Taifa ya Muhimbili alisema matumizi ya sukari ni moja ya kichocheo cha
magonhjwa yasiyoambukiza kama kisukari na shinikizo la damu
SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU Hivi karibuni kumeibuka taarifa kuwa ule ukaribu uliokuwepo mwanzo kati
ya kundi la Navy Kenzo na Weusi umepotea tangu yalipofanyika mabadiliko
ya studio ya The Industry. Nahreel amesema hilo siyo kweli bado ni
washkaji kama zamani tofauti watu wanavyowachukulia.
Navy Kenzo na Weusi wamekuwa watu wa karibu sana hali iliyopelekea watu
kuona wivu kwa kusema kuwa Nahreel anawapendelea wasanii hao kwa
kuwatengenezea beat nzuri zaidi ya wasanii wengine.
Akiongea na Bongo5, Nahreel amesema kuwa wao na Weusi bado ni washkaji na bado wana kazi zao kwenye studio yake hazijatoka.
“Ni kweli utaratibu umebadilika na mimi kama mfanyabiashara mwingine
lazima kila siku niendelee kuweka
SUBSCRIBE HAPA
Watu sita wanaodhaniwa kuwa askari wa Jeshi la Polisi, wamevamia na
kuizingira nyumba ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini,
Josephat Gwajima.
Tukio hilo linadaiwa kutokea jana mchana katika makazi ya askofu huyo yaliyoko eneo la Salasala, Dar es Salaam.
Inadaiwa watu hao walifika nyumbani kwa askofu huyo wakiwa katika
gari aina ya Toyota Land Cruiser, na kwenda kugonga geti ili wafunguliwe
waingie ndani.
Picha mbalimbali zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii jana,
ziliwaonyesha