LIKE PAGE YETU HAPA
Bonyeza picha kumskiliza alikiba kwa njia ya video hapa
Hivi unajua kama Ali Kiba aliwahi kuwasimamia wasanii kadhaa chini ya
‘label’ yake kama tunavyoona kwa baadhi ya wasanii wa hapa nchini kwa
sasa,iliishia wapi ana mpango wa kurudi tena kusimamia wasanii.
’Hivi vitu nilikuwa navyo muda mrefu ila havikuwa ‘promoted’unajua vitu vyangu vingi huwa vinakuwa kimyakimya nilikuwa na wasanii wengi lakini nilivyopumzika kufanya muziki kipindi kile ilibidi niwapumzishe kwasababu ya vitu ambavyo vilitokea nilichukua likizo, na sasa ili niweze kukaa sawa ndio lazima waweze nao kufanikiwa katika vitu vyao vya muziki, siwezi mimi nikawa nimepumzika halafu mashabiki wakawa wamenimis halafu nikamtoa msanii na watu wanielewa,