Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger
amesema kuwa timu yake ilipoteza harakati za kushinda ligi wakati wa
kucheza mechi za nyumbani dhidi ya timu zilizo chini ye jedwali.
Arsenal iliopo katika nafasi ya nne imeshinda mechi sita kati ya mechi 16 ilizocheza.
Baadhi ya mashabiki wamemtaka raia huyo wa Ufaransa kuondoka katika mechi za hivi karibuni.
LAYIIII
Rapa elibariki Emmanuel ‘Nay Wa Mitego’ amesema kuwa mwanzoni mwa
mwezi ujao ataachia wimbo mpya ambao ni mbadala wa ‘shika adabu yako’
uliofungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA).
Msanii huyo alisema kuwa anatarajia wimbo huo mpya ambao bado hajaupa
jina utapendwa na mashabiki wa miziki wa kizazi kpya kutokana na
mashairi yake kuyapangilia vyema.
“Mei 9 mwaka huu nitaachia wimbo na video ya wimbo wangu mpya ambao
ninaamini kuwa ni mkali kuliko
LAYIII
Madai ya staa mkubwa Bongo aliye pia Miss Tanzania 2006, Wema Isaac
Sepetu kwamba wowowo lake linazidi kuwa kubwa kwa sababu anatumia dawa
za Kichina yanazidi kushika kasi huku kwa mara ya kwanza mama yake
mzazi, Mariam Sepetu akifunguka, Amani limechimba ukweli.
MADAI YALIPOANZA
Mashoga wanena, alianza na kuongeza unene, sasa kahamia kwenye makalio ili awe na wowowo.
Manenomaneno hayo yakazidi kushika kasi zaidi kwenye mitandao mbalimbali
ya kijamii kitu ambacho kinadaiwa kuikosesha amani familia ya staa huyo
na hata yeye mwenyewe.
Kulikoni jijini Mwanza, Pati ya Instagram yazua mjadala.
Wa mtandaoni wao wanasema Wema anatumia dawa za Kichina kukuza ‘tela’ lake.
MAMA YAKE MZAZI SASA
“Nawashangaa wanaomsema vibaya mwanangu kuwa amejaladia (wowowo),
wengine wanasema anatumia dawa za Kichani, hakuna ukweli wowote kwani
Wema ni mwanangu, namjua alivyo. Hakuna kitu alicho-ongeza kwenye mwili
wake.”
Nyumba nyingi katika pwani ya jimbo la Volta huko Ghana zimeharibiwa na mawimbi katika kipindi cha wiki moja iliopita.
Shule hii ilikuwa mbali na ufukwe wa bahari miaka michache iliopita lakini sasa imedidimia ardhini.
Kulikuwa na wanafunzi 54 katika shule hii lakini sasa hawana madarasa.Hatma ya elimu yao haijulikani.
M'momonyoko unaosababishwa na bahari umeharibu vijiji katika ufukwe wa bahari ya Afrika Magharibi ,na
LAYIII
BONYEZA PICHAA HII KUJARIBU BAHATI YAKO
Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza ndani ya sekunde 60 tu utakuwa umetengeneza zaidi ya 85% faida
kadilia ni mwelekeo upi bei itaelekea kama itapanda au itashuka kisha utatengeneza zaidi ya 85% kama utaweza kufauru kukadilia
JISAJIRI HAPA KWA MAJARIBIO
LAYIII
Msanii wa muziki na filamu Snura Mushi,amedai kuwa wimbo wake wa
chura ni chaguo la Watanzania hivyo anaamini kwamba utaweza kumuinua
baada ya kukaa kwa muda kidogo.
Akizungumza Stura alisema kuwa pamoja na kukaa kimya lakini bado
kibao hicho ambacho tayari kipo kwenye video kimeshika nafasi ya juu
kiasa kwamba mashabiki wake wamekuwa wakimtumia maoni ya kumpongeza.
Nota wa Bongo Fleva, Herry Samir ‘Mr Blue’ ambaye hivi karibuni
aliuaga ukapera kwa kuamua kufunga pingu za maisha na mzazi mwenzake,
Wayda, amedai anatarajia kuachia wimbo mpya ambao amemshirikisha Ali
Kiba.
Mr Blue amedai kwamba wimbo huo utajulikana kwa jina la ‘Mboga Saba’
Akizungumza na MTANZANIA, Mr Blue alisema kuwa wimbo huo upo tayari
na anatarajia kuuachia wiki
LAYIII
President
Uhuru Kenyatta has unfollowed most of the people he had been following
on Twitter leaving only 11, mainly famous Heads of State.
Kenyatta who has been the most popular Twitter personality in Kenya
based on the number of followers, was following more than 140 people but
his following has suddenly shrinked.
The President has only retained United States President Barrack Obama, François Hollande of France, Indian Prime Minister Narendra Modi and Japan's Abe Shinzo.
LAYIII
1.MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu.
2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba
vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin,
naomba nauli.....n.k! Na hii ndio noma maana njia kuu lazima washtuke
mana mchepuko vumbi unachafua na unasumbua full time.
LAYIII
MUME wa mwanamke anayedaiwa kumkamata ugoni Askofu Dk Alex Malasusa wa
Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKK) Dayosisi ya Mashariki na
Pwani, (DMP) anatafuta watoto waliotoroshwa kwa maelekezo ya Malasusa na
Jeshi la Polisi, anandika Josephat Isango.
Akizungumza baada ya kuachiwa huru kutoka polisi kwa tuhuma za
kushambulia, amesema watoto wake walichukuliwa na raia mmoja mjerumani
aliyeolewa na mtanzania, anaitwa Caroline Shedafa.
Caroline Shedafa ametuhumiwa kuwa ametumia mwanya wa malalamiko ya
Mwakilima na Malasusa kwa sababu ya urafiki alifanikiwa kuwatorosha
watoto hao na kwamba ana mpango wa kuwasafirisha kwenda nje ya nchi
wakati wowote.
LAYIII
Watu watatu akiwemo raia wa Kenya wanashikiliwa na jeshi la polisi
mkoani Kilimanjaro baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya
Mirungi na Bangi kilo 54 na misokoto ya Bangi 4,500 ikisafirishwa kutoka
nchini Kenya kwenda mkoani Arusha.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Bw.Wilbrod Mutafungwa amesema
watuhumiwa hao wamekamatwa katika maeneo ya njia panda Himo wilaya ya
Moshi na Sanya juu wilaya ya Siha wakiwa wameficha madawa hayo ya
kulevya kwenye miili yao kuanzia maeneo ya tumboni hadi
LAYIII April 26 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @SWAXBZili niwe nakutumia kila kinachonifikia.
April 25 2016 Chama cha ACT Wazalendo
kimekutana katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama jijini Dar es
salaam. Katika hotuba yake Kiongozi Mkuu wa chama hicho na Mbunge wa
Kigoma Mjini Zitto Kabwe amempongeza Rais John Magufuli kwa kuanza katika eneo la ufisadi ambalo ni muhimu sana ambalo anasema ni msingi mkubwa wa kuanzishwa chama chao.
LAYIII
Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura maarufu kama Lady JayDee ameweka
hadharani maana ya ngoma yake mpya inayotesa mtaani kwa sasa kwa jina la
NdiNdiNdi.
Akiitambulisha video ya wimbo huo kwa mara ya kwanza ndani ya FNL ya
EATV Lady JayDee amesema kwamba maana ya wimbo huo ni ‘The Ndi Mimi ni
kitu Tori wewe si kitu’ ili kuleta fleva
LAYIII Msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz ameoneshwa kustushwa kwake na
taarifa za kifo cha mwanamuziki mwenye asili ya Congo Papa Wemba, huku
akielezea jinsi walivyokutana siku chache zilizopita na kufanya naye
collabo.
Kwenye ukurasa wake wa Facebook Diamond ameelezea huzuni hiyo, huku
akitoa taarifa kuwa kulikuwa na mipango mingi ya wao kufanya kazi,
lakini mauti yameshafuta mipango hiyo.
LAYIII
Wiki iliyopita zilianza kusikika taarifa mbalimbali kuhusu kuhukumiwa
kwa mpenzi wa zamani na mama mtoto wa msanii Nay wa Mitego aliyehukumiwa
kwenda jela miaka miwili jijini Mwanza.
Pamoja na taarifa zote hizo kutoka hakukuwa na taarifa za kina
kueleza ni nini hasa kilitokea mahakamani mpaka akahukumiwa jela miaka
miwili ila taarifa za awali zilidai kwamba
LAYIII BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA (HEMORRHOIDS)
Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani au nnje
ya haja kubwa wakati mwingine mishipa hiyo inaweza kupasuka /kuteleza
na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kinyama au
uvimbe
Ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita hemorrhoids ilhali katika lugha ya kingereza unajulikana kama piles,
April 25
2016 imetolewa taarifa kutoka Ikulu kupitia kwa Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi John Kijazi ambayo imeeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania John Pombe Magufuliamemteua Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye kuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto nchini.
Kamishna
wa Polisi Andengenye anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Mhandisi Pius
Makuru
Seneta mmoja wa zamani wa Marekani, ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 90, ametangaza kwamba atamuoa mwanamume wa umri wa miaka 40.
Wawili hao watafunga ndoa mwishoni mwa mwezi huu.
Harris Wofford, aliyehudumu katika utawala wa Rais J F Kennedy kama msaidizi maalum aliyehusika na masuala ya haki za raia, aliachwa akiwa mjane baada ya mkewe Clare kufariki kutokana na saratani ya damu miaka 20 iliyopita.
Walikuwa wameishi katika maisha ya ndoa kwa miaka 48.
Akiandika katika gazeti la New York Times, Bw Wofford amesema anajihisi mwenye bahati sana kuishi katika enzi ambazo Mahakama ya Juu Marekani imetambua kwamba “ndoa haitegemeu maumbile ya mtu kijinsia, uamuzi au ndoto za mtu.”
“Msingi wake ni upendo.”
Mwanamume atakayeolewa naye ametambuliwa kama Matthew Charlton.
Wofford alihudumu wakati mmoja kama seneta wa chama cha Democratic akiwakilisha jimbo la Pennsylvania.
Aidha, alihudumu kama mshauri wa Dkt Martin Luther King Jr.
"Mnamo Aprili 30, katika umri wa miaka 90 na 40, tutaunganisha mikono yetu, tukiapa kuunganizhwa pamoja (kwenye ndoa): kuwa pamoja na kuishi pamoja, kwa mema na kwa mabaya, kwa utajiri na umaskini, katika maradhi na katika afya bora, kupenda na kuenzi, tangu kifo kitutenganishe," amehitimisha Wofford katika makala yake iliyochapishwa katika gazeti la New York Times Jumapili