LAYIII
Mwigizaji wa bongomovie Ray ‘Vicent Kigosi’
ametajwa sana na headlines za Tanzania ndani ya siku 7 zilizopita
kuhusu weupe wa ngozi yake na kukawa na mistari kwamba amekua akitumia
mkorogo tofauti na zamani ndio maana rangi ya ngozi imebadilika, mengi
ameyaongea kwenye hii video hapa chini alipohojiwa na CloudsFM Leo Tena pia kuhusu movie yake mpya ‘Tajiri Mfupi‘
Sunday, 21 February 2016
SABABU ZA MIMBA KUHARIBIKA DAKTARI ATUPATIA SABABU
LAYIII
Moja ya stori kubwa za mastaa wiki hii ilikua ni taarifa za ujauzito wa Wema Sepetu
kuharibika, tumempata Daktari ambaye yuko tayari kuelezea ni vitu gani
vinaweza kusababisha ujauzito wa Mwanamke
WAYNE ROONEY AZIKATAA BILION 220 ZA WACHINA
LAYIII
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza na nahodha wa klabu ya Man United Wayne Rooney wiki hii aliingia kwenye headlines baada ya klabu ya wachina ya Shanghai Shenhua kuomba kumsajili kutoka klabu yake ya Man United na kwenda kuanza maisha mapya ya soka nje ya Uingereza kwa mara ya kwanza.
Klabu ya Shanghai Shenhua ambayo ilianza kuiomba Man United kumsajili Wayne Rooney
kwa dau la pound milioni 27 mwishoni mwa mwaka 2015, kwa sasa
inamuhitaji na ilitaka kuwa inamlipa mshahara wa
HUKO INSTAGRAM HAYA NDIYO MANENO YA WEMA SEPETU NA LULU BAADA YA UJAUZITO WA WEMA SEPETU KUHARIBIKA
LAYIII
Usiku wa February 20 2016 mwigizaji Lulu ilibidi aandike tu kwenye page yake ya Instagram kuhusu taarifa za yeye kufumaniwa na Idris Sultan ambaye siku za karibuni amekua akijulikana kama boyfriend wa Wema Sepetu.
Lulu aliandika >>> ‘Huyo ulodai kanifumania hana hata Taarifa….guys hizo drama zenu za kwenye mitandao sio kila mtu ana entertain…..tushafanya drama sana b4 IG kwahyo Kama mnatafutaga mtu kugombana au kugombanisha watu na kila mtu MLIPO BONYEZA SASAHIVI NI RED BUTTON nyie mnafanya drama za mitandao watu tumefanya za LIVE tumechoka na tumeamua

Saturday, 20 February 2016
MATUMIZI YA SIKUKUU YAZUA GUMZO
LAYIII
KUFANYA STAREHE SIYO ZAMBI ILA STAREHE INAHITAJI KIPIMO MAANA IKIPITA KIASI INAKUWA NA MADHARA YAKE CHUKUA NAFASI KUONA VIDEO HIO HAPO chini
Pale watu wanapotakiwa kwenda kanisani na misikitini kwa ajiri ya ibada ndo kwanza wanajirusha katika kumbi za starehe
Pale ambapo muda wa kumtukuza mungu umefika ndo kwanza watu tunajiachia club swimming pool na maeneo meni ya anasa

UNAHABARI KUWA YULE MWANAMZIKI MKUBWA MAREKANI NEYO ATATUA MWANZA DROP HAPA UISOME
LAYIII
Hii ni kwa mujibu wa bongoswaggz.com
Muimbaji wa Marekani, Shaffer Chimere Smith maarufu kama Ne-Yo, anatarajiwa kutumbuiza jijini Mwanza, May 21.
Atatumbuiza kwenye tamasha kubwa la kila mwaka la Jembeka linaloandaliwa na kituo cha redio cha Jembe FM cha jijini humo.
Hii itakuwa mara ya tatu muimbaji huyo kuja Afrika Mashariki. Ameshatembelea
Hii ni kwa mujibu wa bongoswaggz.com
Atatumbuiza kwenye tamasha kubwa la kila mwaka la Jembeka linaloandaliwa na kituo cha redio cha Jembe FM cha jijini humo.
Hii itakuwa mara ya tatu muimbaji huyo kuja Afrika Mashariki. Ameshatembelea
CHUKUAMUDA WAKO KUTAZAMA VIWANJA KUMI VYENYE MVUTO KWA AJIRI YA KOMBE LA DUNIA 2022
LAYIII
Kwa kawaida maandalizi ya Michuano ya Kombe la Dunia
hufanyika miaka zaidi ya minne kabla ya nchi husika kuanza kupokea timu
katika miji yao. Imekuwa kawaida kwa kila nchi inayotarajia kuwa
mwenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia kutengeneza viwanja vipya na
vyenye hadhi kwa ajili ya michuano hiyo.
Nchi ya Qatar ambayo ndio mwenyeji wa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 mtandao wa sokka.com
umetoa list pichaz 12 za viwanja vinavyotajwa kuwa vitatumika katika
mihuano hiyo 2022. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz 12 za
muonekano wa viwanja 12 vilivyotajwa na sokka.com
Wednesday, 17 February 2016
VAN GAAL: ITABIDI TUSHINDE EUROPA LEAGUE
LAYIII

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal amesema njia rahisi sasa kwa klabu hiyo kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao ni kushinda Europa League.Manchester United walishindwa 2-1 ugenini Sunderland Jumamosi na sasa wamo alama sita nyuma ya klabu nne zinazoongoza Ligi ya Premia.Alipoulizwa baada ya mechi hiyo iwapo kuna matumaini kwa United kumaliza katika nafasi nne za kwanza, Van Gaal alisema: “Itakuwa vigumu sana.“Baada ya mechi hii, nao njia bora zaidi kwetu ni kushinda Europa League lakini pia haitakuwa rahisi kwa sababu kuna timu nyingi nzuri huko.”Tangu msimu uliopita, washindi wa Europa League wamekuwa wakizawadiwa nafasi ya

MANENO YA UCHUNGU ALIYOZUNGUMZA WEMA SEPETU JUU YA UJAUZITO WAKE
LAYIII
Baada ya kuwa na tetesi na Uvumi kila kona kuhusiana na Ujauzito wa Wema Sepetu kutokuwepo tena mwenyewe leo amefunguka kupitia mtandao wa kijamii na kutoa uhakika.
Ameandika maneno haya;
"Ni kweli. Na imeniuma sana lakini nimefika kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah for everything.
Ameandika maneno haya;
"Ni kweli. Na imeniuma sana lakini nimefika kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah for everything.
Monday, 15 February 2016
YAJUWE MAAMUZI YA DK MAGUFULI KWA MIGILO NA WENGINEO
LAYIII
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ametangaza kuwateuwa
mabalozi wa tatu katika wizara ya mambo ya nje, ushirikiano wa Afrka
Mashariki, kikanda na kimataifa. Rais Magufuli pia alitangaza kuteua
watu wengine katika nyadhifa tofauti. Hii ndi baru yenye mchanganuo
wote.
Saturday, 13 February 2016
ZARI AKUTANA NA ISSUE YA KUWA NA MAKALIO FEKI
LAYIII
Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mpenzi wake, Zarinah Hassan ‘Zari’
Stori: Musa mateja, Ijumaa
Dar es Salaam
Mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul
‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ukipenda muite mama Tiffah, amekwaa
skendo ya kutumia makalio feki kila anapokuwa kwenye mtoko.
UJUE UNDANI WA MWANAMKE ALIYE PAMBANA NA MAJAMBAZI NA KUPOKONYA BUNDUKI ZAO
LAYIII
Sophia Manguye akisaini mara baada ya kukabidhiwa zawadi hiyo.
Mwanamke aliyepambana na jambazi na kufanikiwa kumnyang’anya bunduki
aina ya SMG, Sophia Manguye (46), amepewa zawadi ya Sh 500,000 na
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu Tarime/Rorya, Gemini Mushy.
Mwanamke huyo ambaye aliomba Serikali kumpa silaha ili kujilinda, alisema kuwa hajaridhika na zawadi hiyo kwa kuwa kama asingemmudu jambazi huyo watu wengi wangepoteza maisha.
Mwanamke huyo ambaye aliomba Serikali kumpa silaha ili kujilinda, alisema kuwa hajaridhika na zawadi hiyo kwa kuwa kama asingemmudu jambazi huyo watu wengi wangepoteza maisha.
Wednesday, 10 February 2016
AJALI MBAYA YATOKEA MANDELA ROAD DAR-ES-SALAAM
LAYIII

Habari zilizoenea kwa kiasi kikubwa kwa watumiaji wa barabara ya Mandela jijini Dar Es Salaam ni kuhusiana na ajali iliyotokea ya kontena kuangukia basi dogo la abiria maarufu kama daladala na gari ndogo. Ajali hiyo kwa taarifa za awali inatajwa kutokea maeneo ya Tabata. Kwa mujibu wa mtandao wako wa press bongo....... inafuatilia kwa kina taarifa kamili ili kukuletea habari za uhakika zaidi ila hizi ni picha za mwanzo kuhusu ajali hiyo

MJUE MKONGO POLICE AMBAYE NI MWANAMZIKI
LAYIII
Polisi ambaye ni mwanamuziki DR Congo
5 Februari 2016 Imebadilishwa mwisho saa 16:50 GMT
Kwa
kawaida polisi huzingatiwa kuwa watu wenye kuwaandama wahalifu na kila
wakati wanapoonekana, wengi hujiuliza kwani leo kulikoni?
Na hali huwa ni ya wasiwasi zaidi ikiwa mmoja wa maafisa hao wa polisi ni wa cheo cha juu.
Bahati Kasamba Innocent, ni afisa wa cheo cha juu ndani ya idara ya polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo anayesifika sana katika fani ya uimbaji wa nyimbo za Injili.
Anasema yeye huimba katika juhudi za kuhubiri amani, uongozi bora na pia upendo.
Mwandishi wa BBC Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Byobe Malenga huko Bukavu, alikutana na msanii huyo studioni akiandaa baadhi ya nyimbo zake.

UTAFITI UNAONYESHA KUWA FARASI HUTAMBUA HISIA ZA MWANADAMU.....
LAYIII

Wanasayansi hao wanasema kuwa ufugaji huo huenda umewawezesha farasi kuelewa tabia za binaadamu.
Farasi huweza kubaini kati ya mtu aliye na furaha na aliye kasirika kwa kuangalia uso wa mwanadumu,utafiti umesema.
Katika
jaribio, kwa kutumia picha za mwanamume wanasayansi kutoka chuo kikuu
cha Sussex walionyesha kwamba farasi wanaofugwa nyumbani huchukizwa na
sura zilizokasirika.Wanasayansi hao wanasema kuwa ufugaji huo huenda umewawezesha farasi kuelewa tabia za binaadamu.
Tuesday, 9 February 2016
JINSI DIAMOND ALIVYO KATAA KUSHOUT VIDEO ZAKE BONGO, KIJUE KILE MRISHO MPOTO ANACHOTAMANI KUMWAMBIA RAIS
LAYIII
Kwenye 255 ya Clouds fm leo kulikuwa na stori hizi tatu kubwa,:-
Diamond Platnumz kazungumzia vitu vilivyomvutia Director Godfather alipotua bongo “Ugomvi wangu mimi na Godfather ilikuwa ni yeye kutaka nishoot video zangu Tanzania, sasa mimi nikawa simuelewi, alivyokuja bongo nikapitanaye Kigamboni.. yani kilakitu alikuwa akikiona anashangaa mazingira yalivyo mazuri”

Monday, 8 February 2016
JINSI MIMBA YA WEMA ILIVYOMTIA UCHIZI PENNY
LAYIII
Penniel Mungwilwa ‘Penny’.
Mwanadada anayepiga dili la utangazaji kupitia Zouk TV ambaye aliwahi
kuwa mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungwilwa ‘Penny’
amefunguka kuwa mimba ya shosti wake, Wema Sepetu inampa ‘uchizi’ kwa
kutamani kila kukicha na yeye anase ujauzito.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Penny alisema kuwa hivi sasa karibia rafiki zake wote wana watoto kitu kinachomchanganya na kumtamanisha na yeye atundikwe kibendi.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Penny alisema kuwa hivi sasa karibia rafiki zake wote wana watoto kitu kinachomchanganya na kumtamanisha na yeye atundikwe kibendi.
ALIYE DAIWA KUMBAKA SHILOLE AFUNGUKA MAZITO
LAYIII
Makala Elia Joseph.
Makala: Richard Manyota -Igunga
KATIKA mahojiano na Mwandishi nguli wa burudani nchini wa Gazeti la Ijumaa, Erick Evarist, Februari 2012, msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’ alinukuliwa akieleza kisa hiki:
“Katika maisha yangu nimepitia mitihani mingi, mmoja wapo ni huu wa kulazimishwa kufanya mapenzi bila ridhaa yangu, kwa kifupi nilibakwa.”
Kwa kuwa kisa hiki cha kusikitisha kimesemwa sana na Shilole katika mahojiano yake mengi na vyombo mbalimbali vya habari, Gazeti la Ijumaa lililazimika kufunga safari mpaka wilayani Igunga

Subscribe to:
Posts (Atom)