LAYIII
Kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu, basi Good news ikufikie kuwa
tayari meli ya Logos Hope ya Ujerumani ambayo huzunguka nchi mbalimbali
Duniani kusambaza vitabu vya aina tofauti imeshatua Dar kuanzia Jan 26
na itaondoka Febr 17. Kutana na muonekano wote nje ndani kwenye hii
video hapa chini.
Tuesday, 2 February 2016
Tuesday, 19 January 2016
BARABARA ZA ANGA KUWA TISHIO TANZANIA
LAYII
Kama umebahatika kukatisha makutano ya barabara ya Mandela na Nyerere pale eneo la mataa ya TAZARA
utakuwa umekutana na bango linaloonesha dalili nzuri… ni dalili za ujio
wa flyover, zile barabara ya juujuu kwa ajili ya kusaidia kuokoa foleni
eneo lile.
DAR-ES-SALAAM KAMA ULAYA CHEKI JINSI DARAJA LA KIGAMBONI LILIVYO JENGWA BAHALINI
LAYIII
Dar es salaam inasubiria kwa hamu daraja jipya la Kigamboni
linalojengwa juu ya bahari ambalo ilitangazwa kwamba linatakiwa kuanza
kufanya kazi mwanzoni mwa mwaka 2016 kurahisishia Wananchi ambao sasa
hivi inabidi watumie kivuko wakati wote, tazama hii video hapa chini.
BARDMAN LIL WYNE WAKUTANA USO KWA USO NA WAMEYAMALIZA KABISA
LAYIII
Headlines za beef kati ya rapper Lil Wayne na Boss wa Cash Money Records Birdman ni miongoni mwa stori zilizokaa kwenye kurasa za burudani kwa kipindi kirefu, lakini baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya wawili hao, Lil Wayne maarufu pia kama Birdman Jr na Birdman wamefikia muafaka wa ugomvi wao tarehe 17 January 2016 maeneo ya LIV Nightclub, Miami.
Saturday, 16 January 2016
HAWA MASTAA NA HAKA KAMCHEZO KUNA NINI?
LAYIII
Miongoni mwa mastaa wa filamu na muziki
Bongo wamekuwa na viashiria vya vitendo visivyofaa hasa wanapokuwa
kwenye sehemu za starehe na wengi wao ni wale wanaotumia kinywaji chenye
kilevi.
Wanaotajwa sana kwenye tabia hiyo mni
pamoja na hawan wafuatao kutokana na picha zao kuzagaa nsana mitandaoni
na kwenye magazetin mbalimbali.
Hapa nawazungumzia Aunt Ezekiel na Wema Sepetu, Isabela Mpanda na Baby Madaha, Rayuu na Skaina nk.
MJUE RAIS COMEDIANI ALIYE APISHWA GUANTEMALA
LAYIII
Wako mastaa waliojaribu maisha kwenye
upande mwingine Tanzania, wako waliotoka kwenye game ya muziki na
wengine walitoka kwenye movie… kwa maamuzi ya dhati kabisa wakajitangaza
kwamba wanaitaka siasa !!
Wapo waliotoboa, wakafanikiwa kupata nafasi walizogombea kwenye Ubunge na Udiwani lakini wako ambao mambo hayakwenda sawa na wakaahidi kwamba wanaingia mtaani kujipanga rasmi kwa ajili ya jukwaa la kampeni za 2020 Tanzania.
Tuesday, 8 December 2015
HII KWA WANAUME NA WANAWAKE WASIO NA UJASIRI WAKATI WA KUTONGOZA NA KUTONGOZWA
Sunday, 6 December 2015
MADEMU 17 ALIOTOKA NAO CHRISTIAN RONALDO KIM KARDASHIAN YUMO
LAYIII
Vimeandikwa vingi sana kuhusiana na Staa wa soka wa Real Madrid ya Hispania na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo, kuhusu kuishi maisha ya kifahari Ronaldo kaandikwa sana, kuhusu watu kuhoji mama wa mtoto wake mwenye umri wa miaka 5 Cristiano Ronaldo Junior ni yupi, hiyo ilikuwa headlines kila kona kuhusu staa huyo.
MJUE KIUNDANI MWIGIZAJI WA FILAMU YA YESU
LAYIII
Historia ya mtu
ambaye ameigiza filamu ya Yesu inayofahamika kwa jina la ''JESUS''
ambayo iliigizwa mnamo mwaka 1979 huko nchini Israel,na kujipatia
umaarufu duniani kote,watengenezaji wa filamu hii wametoa maelezo kua "
tumeamua kufanya
hivi baada ya kuona ni kwa jinsi gani filamu hiyo imekuwa ikigusa
maisha ya watu wengi kiasi kwamba baadhi ya watu wanasahau kwamba mtu
aliyemo kwenye filamu hiyo ni mwigizaji tu na siyo Yesu.
hata yeye amekiri kwamba wakati wa uigizaji alikuwa akisuluhisha mambo yaliyokuwa yakijitokeza yeye na waigizaji wenzake baada ya wao kusahau kwamba yeye si Yesu bali anaigiza tu.
Mjue mwigizaji wa Filamu ya Yesu ambaye baadhi ya watu hudhani kwamba ndie Yesu
hata yeye amekiri kwamba wakati wa uigizaji alikuwa akisuluhisha mambo yaliyokuwa yakijitokeza yeye na waigizaji wenzake baada ya wao kusahau kwamba yeye si Yesu bali anaigiza tu.
Friday, 4 December 2015
HARMONIZ NA HUDDAH MAHABA NIUWE...... DOGO YUKO LES BALAA
LAYIII
JIUNGE NAMI YOUTUBE KWA VIDEO ZA VICHEKESHO UDAKU NA MATUKIO MBALI MBALI
BONYEZA https://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sA
JIUNGE NAMI YOUTUBE KWA VIDEO ZA VICHEKESHO UDAKU NA MATUKIO MBALI MBALI
BONYEZA https://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sA
Thursday, 3 December 2015
Sunday, 15 November 2015
LEO NDO MWISHO WA MICHEPUKO NA NDOA ZA UONGO
LAYIII
nimeamua kushare na wewe namna ya kumkamata mpenzi wako anaye kuchiti kuwa yupo na wewe kumbe ana vigudulia vingine pembeni njia ni moja tu. Nini cha kufanya ingia katika account yako kuona sms zake ktk simu yake bila yeye kujua kwa kutumia account yako ya facebook hata kama yuko mbali na wewe hatua zote angalia video hii kisha jiunge nami youtube ili niwe nakuletea video za mafunzo kali bila kujua zinatoka wapi

UMEWAHI KUSHUDIA MAGARI YAKITEMBEA JUU YA MAJI BASI NI WAKATI WAKO SASA TIZAMA HAPA
LAYIII
AMPHICARS:MAGARI YANAYOTEMBEA BAHARINI NA NCHI KAVU
Leo katika maajabu ya dunia nimewaletea maajabu ya gari linaloitwa AMPHIBIAN CARS au kwajina lingine AMPHICARS gari hili lina sifa kuu mbili..Sifa ya kwanza nikutembea ardhini na majini.
Gari hili lilitengenezwa mnamo wamiaka ya 1962-1967 huko BERLIN UJERUMANI.. Sifa kubwa ya gari hili nikuwa unaweza kuliendesha maili 500 kwasiku..
EMBU TUUNGANE KUTIZAMA BAADHI YA PICHA ZA GARI HILI

IJUWE HISTORIA FUPI YA FACEBOOK SIYO UNATUMIA TUU HUJUI CHANZO CHAKE NINI
LAYIII

Facebook 2007 to 2008 Design

Najua wengi tunaitumia facebook lakn
wengi wao hawajajua ilikuwa vp tokea inaanza kutengenezwa mpaka hapa
ilipofikia.. Embu tizama picha hizi za kuanzia 2004 fcebook ilipoanza
kutengnezwa.
Facebook 2004 to 2005
Facebook 2006 Design
Facebook 2007 to 2008 Design
Facebook 2009 Design
Facebook New TimeLine Design
WAJUWE WALIOTEMBELEA PAGE YAKO YA FACEBOOK PASIPO WEWE KUJUA
LAYIII
Nimekuwa nikiona watu wengi wakitumia application kutambua niwatu gani ambao wametembeleaprofile zao za facebook..sasa nimewaleteanjia moja na rahisi isiyohitaji wewe kutumia application yeyote ile..
FUATA MAELEZO HAYA
1-nenda katika profile yako ya facebook
2-binya CTRL na herufi U yani CTRL+U kisha chagua au right click mouse yako kisha chagua ” View Page Source ”
3-kisha binya CTRL na F yani CTRL+F kisha kitatokea kibox kidogo ndani ya kibox hicho andika maneno haya ordered_list.top_friends.
kama hivi
baada ya hapo utaona profile id za watu wote kama ionekanavyokatika picha hii
Natumai utakuwa umeipenda post hii
usisahau kulike page yetu ilikuweza kupokea tips zingne direct kupitia facebook https://www.facebook.com/swaxbz1
kama unaswali unaweza kutuinbox katika page yetu au kucomment hapa

hizo namba ambazo ziko katika vifungo ndo profile za watu hao
pasipo majina yao sasa jinsi ya kuona profile za waliotembelea na
kukutizama facebook ni hivi.. mimi nitachagua profile ambayo nimeichorea
rangi ya blue ambayoni 100000617054353..
nenda kwenye adress bar. kisha type https://www.facebook.com/100000617054353Natumai utakuwa umeipenda post hii
usisahau kulike page yetu ilikuweza kupokea tips zingne direct kupitia facebook https://www.facebook.com/swaxbz1
kama unaswali unaweza kutuinbox katika page yetu au kucomment hapa
LOWASSA NA SIRI NZIRO, M’KITI WA CHADEMA AUAWA, USPIKA,
layiii
MWANANACHI
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana hakuhudhuria mkutano wa kampeni za ubunge mjini Arusha kwa maelezo kuwa anajiandaa kutoa tamko kuhusu hali ya kisiasa visiwani Zanzibar.
Maelfu ya wafuasi wa Chadema jana walifurika kwenye Uwanja wa Ngarenaro mjini hapa kuhudhuria kampeni za ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ambao uliahirishwa kutokana na kifo cha mgombea kutoka chama cha ACT Wazalendo, lakini wakakumbana na tangazo kuwa Lowassa hataweza kuhutubia na badala yake atakuja siku ya kufunga kampeni hizo.

Subscribe to:
Posts (Atom)