Sunday, 27 September 2015

DR CHENI AFUNGUKA ISHU YA MADAI ETI KUWA YEYE KUTAKA KUMUOA LULU!!

layiii

Tangu wakati ule msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ aamue kupambana kumsaidia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabali, yaliibuka madai kuwa wawili hao ni wapenzi lakini leo limeibuka la ndoa, Ijumaa lina kila kitu.

HAWAKUJALI MANENO NA MINONG`ONO NDIYO MAANA MPAKA LEO UHUSIANO WAO UNADUMU NANI HAOO...............

LAYIII

Watu wengi huamini watu wengi maarufu hawawezi kukaa muda mrefu katika uhusiano wao wa kimapenzi kutokana na umaarufu walionao na kuchangia mahusiano yao kuvunjika.
Pamoja na wengi kushindwa kuvumiliana na kujikuta wakiachana lakini wapo hawa mastaa ambao mpaka sasa bado wameendelea kubaki ndani ya ndoa zao kitu ambacho wengi hawakukitarajia

BAADA YA KUPOTEZA MECHI NNE, KUNA DALILI YA JKT RUVU KUFANYA MAAMUZI HAYA MAGUMU

layiii
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea September 27 kwa mechi mbili kupigwa , huu ukiwa ni muendelezo wa mechi za round ya nne kwa timu za Ligi Kuu. Msimu wa Ligi 2015/2016 kila timu inaonekana kujiandaa na haitaki kupoteza mchezo wowote wa Ligi Kuu licha ya kuwa hali ni tofauti kwa klabu ya JKT Ruvu.

NEW KUTOKA BONGOHOLLYWOOD BLOG

LAYIII
Wakati mkiwa tayari kupata habari kwa njia ya simu ukiwa na laini ya tigo na millardayo mtu wako wa nguvu swaxbz amekusogezea bongohollywood.blogspot.com ambayo itakupa ratiba mbalimbali za show za wasanii headline ya siku pamoja na ngoma mpya kabisa ungana na bongohollywood kudownload ngoma mpya kila siku na uwe mmoja wa watu wa kisasa zaidi

MAGUFULI AIGEUZIA KIBAO TUME YA TAFITI ILIYOMPA USHINDI WA URAIS

LAYIII

By Peter Elias, Mwananchi
Kahama. Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema waliofanya utafiti wamempunja asilimia kwani ana uhakika wa kushinda kwa asilimia 95 na si 65 kama zilivyotajwa kwa kuwa wananchi wanampenda, naye yuko tayari kufanya kazi ili kuwaletea maendeleo.

WAISLAMU WATOA TAMKO DHIDI YA LOWASSA NA GWAJIMA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

LAYIII

  
Picha na Maktaba
TAMKO LA TAASISI YA KIISLAMU YA IMAM BUKHARY JUU KAULI ZA NDUGU EDWARD LOWASSA NA ASKOFU GWAJIMA WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA

NINAZO PICHA ZA KILIFEST HAPA MTU WANGU

LAYIII
Ruby.
Ni Sept 26, 2015 ambapo mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva walishuhudia Burudani ya nguvu kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwemo, Ruby, Fid Q, Aika na Nahreel, Damian Soul, Barnaba na wengineo,Show hiyo iliyopewa jina la Kill Fest ilifanyika katika viwanja vya Leaders Club Dar es

Saturday, 26 September 2015

Friday, 25 September 2015

MAANDALIZI YA KILIFESTIVAL HAPO KESHO

LAYIII
Jumamosi September 26 2015 Viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam kutashuhudiwa Burudani ya nguvu, list ya mastaa watakaoikamilisha Burudani yote tayari imetajwa…

UNATAKA UTAJIRI WA HARAKA EMBU SOMA HAPA

LAYIII
HAISHANGAZI kama ukilala maskini ukaamka tajiri. Swali ni je, utaufanyia nini utajiri huo? Amini usiamini inawezekana. Kumbuka, sijasema itakuwa rahisi, nilichokisema ni kwamba inawezekana. Hapa nakuletea dondoo za namna ya kupata utajiri haraka kwa lugha ya mtaani fastafasta.

Monday, 21 September 2015

SOMA MAWAZO 100 YA KUANZISHA MIRADI NA BIASHARA MBALIMBALI

LAYIII
    1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
    2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
    3. Kutengeneza na kuuza tofali
    4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
    5. Kuanzisha kituo cha redio na televisheni

Friday, 18 September 2015

COLLABO YA STEREO NA AY, ‘STAY’ YA GODZILLA KWENYE DOCUMENTARY, ALBAMU MPYA YA HEMED PHD JE?..#255

LAYIII
Kwenye zile headlines za burudani leo Rapper Stereo amesema wakati wa kufanya kazi na AY umefika na sasa wanatarajia kuachia bonge la ngoma na itatoka wakati wowote chini ya Studio za MJ Records..pia leo anatarajia kutambulisha kichupa chake cha ‘Ilala na Ukonga’ akimshirikisha Chid Benz.
STEREO
Stereo
Godzilla aliachia ngoma ya ‘Stay’ na sasa anatarajia kuachia Video yake pamoja na Documentary… yupo katika mazungumzo na waandishi mbalimbali watakaomsaidia kuandika script ili kukamilisha

COLLABO NYINGINE YA LIL WYNE FEAT.CHRISTINA MILIAN ISIKUPITE WEEKEND HII MTU WANGU

LAYIII
Headlines za burudani kwa sasa kuhusu mastaa hawa Christina Milian na Lil Wayne zinazungumzia kuvunjika kwa mahusiano yao.

LIST YA VIWANJA 10 VYA NDEGE AMBAVYO NI VYA GHARAMA ZAIDI DUNIANI…(PICHAZ)

layiii
Wakati Tanzania ikipambana kukamilisha upanuzi wa ujenzi wa uwanja wa ndege ambao utakuwa bora zaidi na kuziwezesha ndege kubwa zaidi duniani kuweza kutua kwa wingi..hapa nimekuwekea list ya viwanja 10 ambavyo vimejengwa kwa gharama zaidi duniani.
Hii ndiyo list kamili…
11
1. Kansai International Airport –Japan: kimetumia dola bilioni 20 kujengwa

HAYA NI MAISHA MENGINE YA KOCHA JOSE MOURINHO NJE YA SOKA…

layiii
Jina la José Mourinho ni miongoni mwa majina yenye ushawishi mkubwa sana kwa upande wa soka duniani..amekuwa kocha mwenye mafanikio makubwa katika timu mbalimbali alizowahi kufundisha ikiwemo Chelsea ambayo anaifundisha kwa sasa na ikiwa imechukua ubingwa wa EPL.

Thursday, 17 September 2015

PICHAZ ZA JAY Z, BEYONCE NA MTOTO WAO WAKIENJOY KATIKA BOTI YA KIFAHARI ZIPO HAPA…

LAYIII
Jay Z na Beyonce ni miongoni mwa couple zenye nguvu zaidi, wasanii hao maarufu wamepigwa picha wakiwa na mtoto wao wa miaka 3 Blue Ivy katika boti ya kifahari ambayo inaitwa Galactica Star, gharama ya kukodi boti hiyo kwa wiki ni dola 900000 za kimarekani ambazo

MAGAZETI YA TANZANIA SEPTEMBA 18, 2015.. UDAKU, MICHEZO NA HARDNEWS !

LAYIII

HADI KUFIKIA JUNE 2013 HAYA NDIO YALIKUWA MAAJABU 10 YA DUBAI (+PICHAZ)

LAYIII
Miongoni mwa sehemu nzuri na zakuvutia kutembelea katika hii Dunia basi Dubai haiwezi kukosa, Dubai unatajwa kuwa mji wa kitalii na kibiashara, wengine wanautaja kama pepo ya watalii. Mji huo umejengeka kwa majengo yenye ramani za kuvutia. September 17 nakusogezea

MAGUFULI NA M4C, ZITTO NA JK, CCM NA UCHAGUZI MKUU, MAJARIBIO YA FAINI TZ LEO? >>> STORI KUBWA (AUDIO).

layiii
Alhamisi ya tarehe 17 September 2015 imeanza na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM, na kwenye stori zilizoweka headlines zipo hizi ambazo zimesikika kwenye #PowerBreakfast
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Magufuli asema “M4C” inamaanisha Magufuli 4

advertise here