Friday, 31 July 2015

HII NDIYO KAULI YA KIKWETE KUHUSU LOWASSA KUHAMA CHADEMA

LAYIII

 

BATA ALIYOKULA VEE MONEY SOUTH AFRIKA YALETA GUMZO MJINI

LAYIII
Screen-Shot-2015-07-30-at-2.17.13-PM-600x362

Utapenda kuona matembezi aliofanya VeeMoney Johannesburg South Africa. (Pichaz)

DR SLAA AJIBU MAPIGO TUHUMA ZA KUHAMA CHADEMA

LAYIII
Uchambuzi wa magazeti umekupita? Nimefanya jitihada ya kukusogezea zile zote kubwakubwa zilizoweka headlines kwa sauti yake kabisa kutoka Redioni.

Lowassa na Urais CHADEMA, Dk. Slaa?, BVR Dar? Lembeli na Esther Bulaya? Jangwani.. Majibu yako hapa (Audio)

the_news_today_EN
Uchambuzi wa magazeti umekupita? Nimefanya jitihada ya kukusogezea zile zote kubwakubwa zilizoweka headlines kwa sauti yake kabisa kutoka Redioni.

Thursday, 30 July 2015

TUKIWA KATIKA HARAKATI ZA UCHAGUZI KIGOGO AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA.... NAYO CHADEMA YAZIDI KUPAAA KATIKA ANGA YA SIASA

LAYIII

This is very big shame for our country due to these day to day events, most of our leaders are not trustful thus why tried to participate in this dangerous business that destroy our human resources

LOWASSA GUMZO OFISI ZA CHADEMA

LAYIII
Aliyekuwa Waziri mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa amechukua Fomu rasmi ya kugombea urais kupitia tiketi ya Chadema.
Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu amesema baada ya kuchukua fomu hizo Lowassa atakuwa tayari kuzunguka nchi nzima kujitambulisha kwa wananchi kama mgombea rasmi wa Chadema.

Wednesday, 29 July 2015

BREAKING NEWZ WEMA SEPETU NAYE NDANI YA UKAWA

LAYIII

Soon nitakupatia habari mpya kuhusu wema sepetu kujiunga na ukawa endelea kuwa nami na usiache kulike page yangu swaxbz

CCM YATOA SIRI ZA LOWASSA NJE

LAYIII
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
 picha  na Maktba

 

Ndugu wananchama wa Chama cha Mapinduzi-CCM ni wiki mbili tangu tulipo maliza mchakato ndani ya chama kumpata mgombea wa Urais hapo Octoba 25, 2015. 

Tuesday, 28 July 2015

BAHARI ILIYOGUNDULIWA NA WANASAYANSI KATIKA SAYARI YA MARTH YALETA KITENDAWILI KIKUBWA SANA KWA WAMAREKANI

LAYIII
WANASAYANSI wa anga kwa muda mrefu wamekuwa wakitafuta uwezekano wa maisha katika sayari nyingine, mbali na dunia.Kuna imani kuwa kwenye sayari hizo, huenda zikapatikana raslimali nyingi kwa urahisi kuliko duniani ambako binadamu wameishi mamilioni ya miaka hadi sasa.

Wataalamu hao wa anga wamekuwa wakifanya hivyo kwa muda sasa na moja ya mambo muhimu wanayoangalia ni upatikanaji wa maji. Popote maji yanapopatikana, wanaamini maisha

HIVI NDIVYO CHADEMA ILIVYO MPOKEA LOWASSA

LAYIII

3X6A9394
July 27 2015 Mbunge James Mbatia ambaye ni mmoja ya Viongozi wa juu wa Jumuiya ya Vyama vinavyounda umoja wa UKAWA aliongea maneno haya baada ya Viongozi wote kukaa Kikao na kukubaliana >>>> “Nachukua fursa hii kumualika Mheshimiwa Lowassa ajiunge na UKAWA na tuko tayari kushirikiana nae kuiondoa CCM madarakani”— James Mbatia.

Lowassa kathibitisha kujiunga na UKAWA

LAYIII

LOWASA BREK
Ikiwa ni siku chache tangu Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa kuenguliwa jina lake katika mbio za kuwania Urais na kamati ya maadili CCM, kumekuwepo na sintofahamu juu ya hatma ya mwanasiasa huyo.
Leo Lowassa kazungumza Bahari Beach, Dar es salaam pamoja na viongozi mbalimbali wa UKAWA walikutana na waandishi wa habari na kuzungumzia hatma yake kuelekea Ikulu pamoja na upungufu uliojitokeza wakati wa uchaguzi wa kumpata mgombea Urais wa CCM.

KINGUNGE ATOA KAULI TATA YA KUSTUA JAMII BAADA YA LOWASSA KUTANGAZA KUJIUNGA NA CHADEMA LEO HII

LAYIII
 Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

https://www.facebook.com/swaxbz1?ref=aymt_homepage_panel
Kingunge aongea kwa baada ya Lowassa kutimkiaa UKAWA,asema siwezi

Monday, 27 July 2015

HOT NEWZ JUU YA KIKAO CHA CHADEMA ALICHOHUDHURIA LOWASSA

layiii
BREAKING NEWS : LOWASA AJIUNGA CHADEMA RASMI, PICHA NA VIDEO ZA KILICHOONGELEWA LEO NMEKUWEKEA


Uamuzi wa Mhe Edward Lowassa kuhama kutoka kwenye chama chake cha enzi (CCM) na kujiunga na chama kingine cha siasa, ni uamuzi mgumu lakini sahihi kwa kadri itakavyompendeza.

Leo, watu wanabashiri endapo atafanya uamuzi huo, basi huo utakuwa ndio mwisho wake wa kisiasa na hata kiuchumi, kwa madai kwamba 'madudu' yake yote yatatumiwa kumbananisha kwenye kona na kummaliza kabisa ili asifurukute. Mmmmh!!!

Eti Lowassa Akijitoa CCM, Atafilisiwa na Kufanyiwa Hujuma, Nani Kasema?

MADAKTARI WA MAREKANI WAZIDI KUPAMBANA KUOKOA MAISHA YA MWANA SAYANSI ALIYEKUWA KAPOTEA MWEZINI

LAYIII
Madaktari Nchini Marekani Jana Walizidi Kupambana Kujaribu Kuokoa Maisha Ya Mwanasayansi Aliyepotelea Mwezini Miaka 180 Iliyopita.Aomba Kuandika FORMULA Ya Kusaidia Kutengeneza Dawa Ambayo Itaweza Kutibu Magonjwa Yote Kwa Wakati Mmoja.Yanayo Itesa Dunia Kwa Sasa.Video Yake Ipo Hapa Akizungumza Kwa Tabu Sana>>>

MAMA SALMA APOKEA UJUMBE WA VITISHO USIKU WA LEO

LAYIII




MJUE MTOTO ALIYE ISHI NA NYOKA MKUBWA KWA MIAKA SITA

LAYIII

Cheza mbali na viumbe hawa jamaa kajifanya mjanja kuona dogo anacheza naye kaona achokoze kilicho mpata story nyingine

LOWASSA ATIA UKAWA JOTO MBIO ZA URAIS........ ZITTO ACT KUSIMAMA YENYEWE URAIS 2015

LAYIII
Magazeti ya Tanzania July 27 2o15 na headlines zake kubwakubwa yako mtaani, hapa ninazo chache kwenye zile zilizobebwa leo.

Lowassa na UKAWA , NEC kuhusu Kampeni za Magufuli? ACT Wazalendo na UKAWA? (Audio)

Sunday, 26 July 2015

WEMA AJA UPYA AONESHA KUWA UBUNGE KWAKE SI KITU

LAYIII

.
.
Wema Sepetu alikuwa ni miongoni mwa watu wanaogombea ubunge viti maalumu mkoani Singida lakini hakuwa na bahati ya kushinda au kuingia bungeni kutokana na kura zake kuwa ndogo.
Staa huyo aliibuka na kupata kura za maoni za ubunge 90 huku wagombea wenza wakiongoza kwa

Matokeo ya mechi za July 26 na ratiba ya Robo fainali Kagame Cup 2015

LAYIII

kombeHatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Kagame imemalizika July 26 kwa timu tano kuaga mashindano hayo na timu nane kusonga katika hatua ya robo fainali itakayoanza siku ya Jumanne July 28… Timu zilizo tolewa mashindanoni kwa uchache wa

ILI KUFUZU KUINGIA FINAL ZA KOMBE LA DUNIA 2018 TANZANIA LAZIMA ITAKUTANA NA KITU HIKI

LAYIII
 
tanzania-flagSafari ya kuelekea Kombe la Dunia 2018 Urusi imeshaanza kwa Shirikisho la Soka Ulimwenguni FIFA kupanga makundi na ratiba ya michuano hiyo ili kupata timu  zitakazoshiriki fainali hiyo June 2018 Urusi… Droo ya kupanga makundi imefanyika July 25 St Petersburg Urusi.
http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/07/Taifa-stars.jpg 
Kufuatia kupangwa kwa makundi hayo timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itaanza kucheza hatua ya mtoano na timu ya taifa ya Malawi October 5 2015 kabla ya

MWANASAYANSI ALIYEPOTEA MWEZINI ALEJEA TENA AKIWA NA MWONEKANO WA TOFAUTI KABISA INASEMEKANA ALIENS WALIMFANYIA UTAFITI

LAYIII

Kiumbe wa ajabu ametua los angels na baada ya kuchukuliwa kupelekwa katika vipimo ikagundulika kuwa ni miongoni mwa wanasayansi ambao waliwai kupotea wakiwa huko angani wakiwa wanafanya utafiti mwezini

advertise here