Tuesday, 30 June 2015

RAMOS KAFANYA UAMUZI HUU BAADA YA MADRID KUGOMA OFA YA MAN U

LAYIII
Wiki moja baada ya ofa ya kwanza ya Manchester United kumsajili Sergio Ramos kukataliwa na Real Madrid, hatimaye mchezaji huyo ambaye yupo mapumzikoni ametoa kauli yake.

Baada ya Madrid kuikataa Ofa ya Man Utd, Ramos amefanya uamuzi huu

Wiki moja baada ya ofa ya kwanza ya Manchester United kumsajili Sergio Ramos kukataliwa na Real Madrid, hatimaye mchezaji huyo ambaye yupo mapumzikoni ametoa kauli yake.
United walituma ofa ya kwanza ya paundi millioni 28.3 kwa Madrid ili kupata saini ya beki huyo wa kimataifa wa Spain, lakini Madrid waliikata ofa hiyo.

NIMEKUWEKEA HAPA ILE VIDEO YA NAVIO FT MR BLUE MTU WANGU

LAYIIII


OYOOOOOOOO MTU WANGU UMESUBIRI SANA CHEKETUA YA ALIKIBA HII HAPA MTU WANGU

LAYIII

Ali KZilipita pichaz na vipisi tu lakini hii ndio video kamili ya Ali Kibachekecha‘ ambayo imefanywa South Africa wiki kadhaa zilizopita… ukishaitazama uache maoni yako kwenye comment Ali Kiba na team yake watapita kuona nini mashabiki wanasema.


Arsenal yampa Cech mkataba miaka minne

LAYIII
Hatimaye yametimia kwa Arsenal kupata saini ya mlinda mlango Petr Cech kutoka Chelsea kwa kitita cha pauni milioni kumi.
Mlinda mlango huyo wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Czech, ambaye amecheza zaidi ya mechi 400 katika misimu 11 akiwa na timu ya Chelsea, amejiunga na Arsenal the Gunners kwa mkataba wa miaka minne.
Cech, mwenye umri wa miaka 33, alicheza mechi saba tu msimu uliopita baada ya nafasi yake kunyakuliwa na mlinda mlango kutoka Ubelgiji Thibaut Courtois.
Cech amesema alifikiri angestaafia Stamford Bridge, alakini ameongeza kusema: "Maisha daima hayawi vile unavyofikiria yakawa."
Ameandika: "Msimu ulioopita wa kiangazi, mambo yalibadilika na nikaelewa kuwa sikuwa mlinda mlango chaguo la kwanza, lakini nilifikiria haukuwa wakati mzuri kwangu kuondoka.
"Wakati wa msimu huo, ilieleweka wazi kuwa hali yangu isingebadilika na kama ninavyofahamu siko katika kazi yangu ambapo nastahili kuwa- Niliamua kuondoka na kutafuta changamoto mpya."
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger anasema: "Petr Cech ni mchezaji ambaye nimemtamani kwa muda mrefu na nimefurahi sana ameamua kujiunga nasi."
Cech, alijiunga na Chelsea akitokea klabu ya Rennes ya Ufaransa Julai 2004 na kushinda makombe 13 akiwa na Chelsea - likiwemo kombe moja la klabu bingwa na mataji manne ya ubingwa wa ligi kuu ya England.

Monday, 29 June 2015

LINI TANZANIA ITAZINDUA KITU CHAKE AMIZING ........ HEMBU CHEKI VITU GHANA MTU WANGU

LAYIII


Ghana yazindua gari lake

Wakati unapoangazia swala la utengezaji magari mataifa ya Afrika kwa kawaida hayaorodheshwi katika swala hilo.

ZIJUE STORY KUBWA LEO TANZANIA

LAYIII
Good morning mtu wa nguvu !! Kila siku asubuhi huwa ninakuwekea karibu Uchambuzi wa Stori kutoka kwenye Magazeti yote ya Tanzania baada ya kurekodi kutoka kwenye show ya #PowerBreakfast @CloudsFM… kilichosikika leo ninacho pia, stori ni hizi hapa;

Stori Kubwa June 30 2015 >>>Ishu ya Mafuta TZ, uandikishaji BVR Dar na Pwani, Mzee Mkapa na Mwinyi na Urais CCM..

BRT-curb-traffic-jams-Dar-es-Salaam
Good morning mtu wa nguvu !! Kila siku asubuhi huwa ninakuwekea karibu Uchambuzi wa Stori

KATIKA BZMORNING NIMEKUWEKEA MAGAZETI YA LEO 30/06/2015

LAYIII
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapa WWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

Yalichoandika magazeti ya Tanzania leo JUNE 30, 2015 Udaku, Hardnews na Michezo

.
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapa WWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya

DIAMOND ATAITIWA AIRPORT KWA MUDA WA MASAA KADHAA>>KISA NA MKASA SOMA HAPA

LAYIII
 3
 KIBANO! Staa wa Bongo Fleva mwenye jina kubwa Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, juzikati alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya ‘kutaitiwa’ kwa saa mbili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kisa kikiwa wingi wa mabegi (3) makubwa aliyoshuka nayo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Ijumaa Wikienda linakupa ‘unyunyuz’ kamili.


 <<<KAJALA & MC PILIPILI  MAMBO HADHARANI>>>

1Staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa ametaharuki.

MAFURIKO SIYO TANZANIA TU HATA CHINA YAMEJAA HEMBU CHIKI HAPA

LAYIII
 May 2015 ulikuwa mwezi ambao tulishuhudia maafa yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha mfululizo Dar… mara nyingi hivi vitu vikitokea huku kwetu watu hawaamini kama hata nje ya TZ nako huwa vitu vinatokea hivyohivo.

Kama ulidhani noma ya mafuriko ni Tanzania pekeake, angalia picha 10 kilichotokea China..

d43d7e14d47316fadabd07
May 2015 ulikuwa mwezi ambao tulishuhudia maafa yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha mfululizo Dar… mara nyingi hivi vitu vikitokea huku kwetu watu hawaamini kama hata nje ya TZ nako huwa vitu vinatokea hivyohivo.
Mafuriko yametokea China, hapa unaweza kuona kwenye picha hali ilivyokuwa baada ya balaa la mafuriko kuwakuta.
d43d7e14d47316faf2e232
Hivi ndio ilivyokuwa kwenye Chuo kilichopo Nanjing, Jimbo la Jiangsu ndani ya China… Watu zaidi ya 65,000 wameathirika kutokana na mvua hizo.

NUNGU NUNGU MWACHE KA ALIVO USIPAPALIKE KUMMEZA MCHEKI CHATU HUYUU

LAYIII
Ndani ya hifadhi ya Eland Game Reserve iliyoko KwaZulu-Natal, South Africa mwendesha baskeli alikatisha siku ya June 14 2015, akakutana na chatu mkubwa mzima kabisa aliyeonekana kama amekula na kushiba kupita kiasi… akampiga picha na kushare na watu wake mitandaoni.

Njaa ikamfanya chatu kula Nungunungu na miba yote aliyonayo, kilichofuatia je?

python-alive
Ndani ya hifadhi ya Eland Game Reserve iliyoko KwaZulu-Natal, South Africa mwendesha baskeli alikatisha siku ya June 14 2015, akakutana na chatu mkubwa mzima kabisa aliyeonekana kama amekula na kushiba kupita kiasi… akampiga picha na kushare na watu wake mitandaoni.

ULIMISI KUONA MAPOKEZI YA STEVE NYERERE KATIKA HARAKATI ZA KUGOMBEA UBUNGE NIMEKUWEKEA HAPA MTU WANGU

LAYIII
Kwenye list ya mastaa wa TZ waliotangaza kugombea Ubunge kwenye Uchaguzi wa 2015 lipo pia jina la mastaa wa Bongo Movie, Steve Mengere aka Steve Nyerere.
Jamaa alikuwa anamaanisha kabisa kuhusu safari yake kwenye Siasa, hapa nina pichaz kutoka kutoka viwanja vya CCM Bwawani ambapo Steve alikuwa akitangaza nia hiyo.

Mapokezi ya Steve Nyerere alivyotangaza kugombea Ubunge wa Kinondoni (Pichaz)

Steve II
Kwenye list ya mastaa wa TZ waliotangaza kugombea Ubunge kwenye Uchaguzi wa 2015 lipo pia jina la mastaa wa Bongo Movie, Steve Mengere aka Steve Nyerere.
Jamaa alikuwa anamaanisha kabisa kuhusu safari yake kwenye Siasa, hapa nina pichaz kutoka kutoka viwanja vya CCM Bwawani ambapo Steve alikuwa akitangaza nia hiyo.

ULIMIC KUIONA ILE COLLABLE YA NAVIO NA MR. BLUE NIMEKUWEKEA HAPA

LAYIII

Blue & Navio
Mwezi February 2015 Rapper kutoka Uganda, Navio alitua TZ kwa ajili ya show ambayo ilifanyika Club Billz, Dar es Salaam ilimshuhudia star huyo alipofanya uzinduzi wa Video ya Hit song ya ‘Kigozi‘.
Uwepo wa Navio ndani ya TZ ulikuwa na kingine kizuri, walikutana na Mr. Blue na kupiga collabo ambayo tayari imefanyiwa video… kama hujakutana na video hiyo basi unaweza kuchukua kama dakika nne hivi kuicheki hapa.



Msanii wa Afrika aliyegoma kwenda kwenye tuzo za BET kwa makusudi, dharau imehusika..

LAYIII
Fuse ODG 2Kitendo cha BET ambayo ni Television kubwa ya Marekani kwenye ulimwengu wa burudani kuwapa Wasanii wa Afrika tuzo zao kwa time tofauti na tuzo wanazoshinda wasanii wakubwa wa Marekani kama Beyonce na Chris Brown kiliwahi kulalamikiwa na wengi akiwemo Ommy Dimpoz.
Hata Davido aliposhinda mwaka jana kwenye sehemu ya Interview Diamond alieleza kwamba tuzo za wasanii wa Afrika huwa hazitolewi pamoja na zile za kina Beyonce, wasanii kwenye kipengele cha Afrika waliitwa asubuhi na mapema wakati ukumbi ukiwa mtupu bila watu ndio mshindi akakabidhiwa tuzo alafu badae jioni ndio kina Beyonce wakakabidhiwa kwenye event yenyewe lakini ukitazama kwenye TV huwezi kugundua sababu wanaunganisha kijanja.

MTOTO WA JK ATHIBITISHWA MAREKANI KUWA NA AKILI NYINGI......AIWAKILISHA TANZANIA VIZURI KWA KUPOKEA MEDANI

LAYIII
mtoto wa Rais JK, Khalfan Jakaya Kikwete ameiwakilisha TZ vizuri kwa kushinda medali Marekani katika mashindano ya kusaka wanafunzi wenye akili nyingi.

Mtoto wa Rais JK na ushindi wa Medali Marekani, Urais CCM.. Ushirikina kwa Walimu Mara

29
Jumatatu JUNE 29 2015 tayari siku nyingine imeanza, stori za Magazetini zina headlines nyingi tofauti tofauti, unajua nini kimetawala leo?
Kwenye stori kubwa iko ya Edward Lowassa kuwakimbiza wenzake katika safari ya kugombea Urais CCM, UKAWA yawasha moto wa BVR Dar es salaam kwa kutoa elimu ya matumizi ya mashine hizo.. iko nyingine pia kuhusu mtoto wa Rais JK, Khalfan Jakaya Kikwete ameiwakilisha TZ vizuri kwa kushinda medali Marekani katika mashindano ya kusaka wanafunzi wenye akili nyingi.

Sunday, 28 June 2015

VANESSA NILIFANIKIWA NILIPO FIKA STUDIO ZA MILLADAYO

LAYIII
Interview ya Vanessa Mdee alipokuja kwenye studio za Millard Ayo ! kawataja Tunda Man na Baby J
vTunae mwimbaji wa bongofleva Vanessa Mdee kwenye hii post ambaye kapita TZA kwenye studio za Millard Ayo na kuzungumzia mafanikio yake mapya aliyoyapata hivi karibuni nje ya Tanzania.

BZMORNING NA MAGAZETI YA LEO 29/06/2015

LAYIII

.
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapaWWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako

JK ALA SHAVU SIKU YA MAGEREZA {MAGEREZA DAY}

BZNEWZ ULITAKA KUJUA JINSI JK ALIVOKULA SHAVU MAGEREZA DAY NICHEKI HAPA
RAIS  wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amelisifia Jeshi la Magereza kwa jitihada zao nzuri katika utendaji kazi pamoja na chagamoto nyingi walizonazo.

RAIS JK AIFAGILIA MAGEREZA DAY

Rais Dk. Jakaya Kikwete akipokea heshima ya Wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika Viwanja  vya Chuo cha Maofisa Magereza kilichopo Ukonga jijini Dar.

KUTANA NA KINDA MWINGINE ANAYE KWENDA KUTUA CHELSEA KUTOKA BRAZIL

LAYIII
Wakati klabu mbalimbali barani Ulaya zikiendela na harakati zake za kufanya usajili ili kuimarisha timu zao kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu ya Engalnd, tayari kuna taarifa 

Kinda mwingine kutoka Brazil anayetua Chelsea huyu hapa…

kenn
Wakati klabu mbalimbali barani Ulaya zikiendela na harakati zake za kufanya usajili ili kuimarisha timu zao kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu ya Engalnd, tayari kuna taarifa kuwa klabu ya Chelsea

KUTANA NA VIDEO YA ALIKIBA KWA MARA YA KWANZA KATIKA TRACE TV HAPOKESHO

LAYIII
Ali Kiba  ni staa mwingine mkali wa muda mrefu kwenye Bongo Fleva… Hit ya Chekecha Cheketua ni moja ya single ambazo mtaani wanaisubiri video yake kwa hamu sana.
Sasa good news ninayotaka kukusogea ni kwamba video hiyo mpya iliyotayarishwa Afrika Kusini inatarajiwa  kutambulishwa kesho June 29 kama ‘Exclusive’ kupitia kituo cha TV

Kwa mara ya kwanza video ya Ali Kiba inaoneshwa kesho kwenye TV

.
.
Ali Kiba  ni staa mwingine mkali wa muda mrefu kwenye Bongo Fleva… Hit ya Chekecha Cheketua ni moja ya single ambazo mtaani wanaisubiri video yake kwa hamu sana.

LUKUVI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI IRINGA

BZMORNING TANZANIA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akizungumza na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na wale wa sekta ya ardhi na Sekretarieti ya Mkoa wa Iringa ambapo alisisitiza Shirika…

WAZIRI LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akiwasili kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Iringa na kupokelewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayoub huku Meya wa Manispaa ya Iringa Amani Mwamwindi akishuhudia.

advertise here