LAYIII
Ali Kiba ni staa mwingine mkali wa muda mrefu kwenye Bongo Fleva… Hit ya Chekecha Cheketua ni moja ya single ambazo mtaani wanaisubiri video yake kwa hamu sana.
Sasa good news ninayotaka kukusogea ni kwamba video hiyo mpya iliyotayarishwa Afrika Kusini inatarajiwa kutambulishwa kesho June 29 kama ‘Exclusive’ kupitia kituo cha TVKwa mara ya kwanza video ya Ali Kiba inaoneshwa kesho kwenye TV
Ali Kiba ni staa mwingine mkali wa muda mrefu kwenye Bongo Fleva… Hit ya Chekecha Cheketua ni moja ya single ambazo mtaani wanaisubiri video yake kwa hamu sana.
Sasa good news ninayotaka kukusogea ni kwamba video hiyo mpya iliyotayarishwa Afrika Kusini inatarajiwa kutambulishwa kesho June 29 kama ‘Exclusive’ kupitia kituo cha TV cha ufaransa maarufu kama Trace TV
kinachoonekana Africa kwa huduma ya kulipia kikiwa na nafasi yake
kwenye upande wa burudani hususani muziki wa kizazi cha sasa.
Kupitia kwenye ukurasa wa instagram
#TraceTV ya nigeria wamepost cover ya utambulisho wa video hiyo mpya na
kuandika…’Catch the Video Premiere of ‘Chekecha Chekatua’ by Alikiba
(@officialalikiba) on TRACE Urban on Monday at 9:23 am!!! #tanzania
#worldpremiere #newvideo..’@tracenigeria
No comments:
Post a Comment