Wednesday, 17 June 2015

WADAU WANGU WA SOKA RATIBA YENU LIGI KUU ENGLAND IKO HAPA

LAYIIIII ON SPOT

Ratiba ligi kuu ya England msimu ujao yote iko hapa mtu wangu..!!

fixx
Ratiba ya ligi kuu ya England tayari imetoka rasmi ambapo mabingwa wa ligi hiyo, Klabu ya Chelsea itaanza kutetea taji la ligi hiyo wakati itakapoikaribisha nyumbani Swansea siku ya August 8 2015.

WEMA, JOKATE WAMZOMEA DIAMOND!

LAYIII
KAMA mbwai na iwe mbwai tu! Hiyo ndiyo kauli pekee iliyoweza kuakisi kitendo cha warembo, Wema Sepetu ‘Madam’ na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kuamua kumzomea zilipendwa wao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baa
Musa Mateja
KAMA mbwai na iwe mbwai tu! Hiyo ndiyo kauli pekee iliyoweza kuakisi kitendo cha warembo, Wema Sepetu ‘Madam’ na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kuamua kumzomea zilipendwa wao, Nasibu

KIMBEMBE CHAIBUKA FIFA JE WADAU WA SOKA WANASEMAJE UNGANA NAMI HAPA

LAYIIII
Kiungo wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Chile, Arturo Vidal amekumbwa na mkasa ambao huenda atapenda kuusahau haraka iwezekanavyo wakati akiwa na timu yake ya taifa ambayo kwa mwaka huu imekuwa mwenyeji wa michuano ya Copa America.

Hali si shwari ndani ya FIFA, kashfa zazidi kufichuliwa !!

0D62059700000514-0-Russia_and_Qatar_are_the_respective_hosts_of_the_2018_and_2022_W-m-7_1434533375341
Wapelelezi wanaofatilia kashfa ya rushwa inayohusu shirikisho la soka ulimwenguni FIFA wameahidi kufichua makubwa zaidi baada ya kugundua siri nzito zilizojificha kwenye mchakato wa kuchagua mwenyeji wa kombe la dunia.

Tuesday, 16 June 2015

MAISHA CLUB OSTERBAY YAISHA RASMI Kila mmoja aliyesikia taarifa za kuhamishwa kwa NEW MAISHA CLUB.

LAYIIII
Kila mmoja aliyesikia taarifa za kuhamishwa kwa NEW MAISHA CLUB alitamani kujua ni wapi itahamia kwa sababu party ya mwisho ilipofanyika walitangaza baada ya mwezi Mtukufu watu wote watahamia kwenye jumba jipya la starehe kwenye location mpya Dar es salaam.

Bye bye Maisha club Osterbay! picha za Location mpya inakohamia ninazo hapa.

Screen Shot 2015-06-16 at 10.20.53 PMKila mmoja aliyesikia taarifa za kuhamishwa kwa NEW MAISHA CLUB alitamani kujua ni wapi itahamia kwa sababu party ya mwisho ilipofanyika walitangaza baada ya mwezi Mtukufu watu wote watahamia kwenye jumba jipya la starehe kwenye location mpya Dar es salaam.

KUNA NINI TENA JUX NA VANESA


Jux and Vanessa at KTMA
Jux and Vanessa at KTMA 2
To me this Photo says something must have been going on between Jux and his chick Vanessa and their Neighbors…
What do you think? Feel free to drop your comments  below…

ALIKIBA AKISOMA HIKI ATAKUFA

WATOTO HAWA NI AJABU

LAYIII
Rameshbhai Nandwana, 34, of Gurjarat, India, After knowing his children's they will die.  Father plans to sell his own kidney to fund life-saving treatment for his three morbidly-obese children.

KUTANA NA FAMILIA HII YA HUKO INDIA AMBAPO WATOTO WANAOKULA CHAPATI NANE, BOKSI 5 ZA BISKUTI, SODA CHUPA KUBWA 2, WALI KILO 3, NDIZI KUMI NA MBILI T

 



Rameshbhai Nandwana, 34, of Gurjarat, India, After knowing his children's they will die.  Father plans to sell his own kidney to fund life-saving treatment

DOGO ASLEY NA WEMA SEPETU MAHABA NJE NJE

LAYIII NIFATE HAPA
Mwanamuziki Aslay Isihaka kutoka katika kundi la Yamoto Band amefunguka na kuweka wazi kuwa anasumbuliwa sana na watoto wa kike ndiyo maana ameamua kuweka mahusiano yake wazi,

DOGO ASLAY KUTOKA KUNDI LA YAMOTO BAND APANGUA SKENDO YA KUTOKA NA WEMA SEPETU 

Mwanamuziki Aslay Isihaka kutoka katika kundi la Yamoto Band amefunguka na kuweka wazi kuwa anasumbuliwa sana na watoto wa kike ndiyo maana ameamua kuweka

HUYU DEMU AMESHIKA SIMU YA MPENZI WAKE ALICHUKIKUTA HAKIELEZEKI, SOMA HAPA


Mimi ni kijana umri miaka 26 mchumba wangu anafanya kazi katika kampuni moja hivi ya binafsi ,japo hatujaoana lakin tuna kawaida ya kutembeleana mara kwa mara,yeye anaishi Kinondoni Mkwajuni mimi naishi Ubungo Riverside,

OMG...!!!!!SHOCKING VIDEO>>WATCH THIS VIDEO <<CLICK HERE>>TBCUELTD.BLOGSPOT.COM


Weekend hii nilienda kumtembelea akanipa simu yake nimwekee vocha nikiwa naweka vocha nikashangaa sms inaingia "honey uko wapi". Sikumwambia chochote na wala sikuifingua iyo sms ila niliweza kuisoma coz simu yake ni smartphone aina ya Sony yaan sms ikitumwa uwa inapita kwa juu unaweza kuisoma yote.

               WATCH THIS VIDEO <<CLICK HERE>>TBCUELTD.BLOGSPOT.COM

Niliamua kufungua whatsApp yake nikaanza kupitia baadhi ya chatting zake cha ajabu nikakutana na chatting moja amechat na mwanaume nilijua ni mwanaume coz niliangalia profile picture yake na sms zao zilinitsha sana jamaa kuna sms anasema " Juzi nilifurah mno nilipokuingizia nyuma" halafu mchumba wangu alisms akajibu". Mwenzio sijazoea nyuma". Kuna sms nyingine jamaa alituma akisema " Mwezi wa 6 inabd nikutie mimba".Daah niliishiwa pozi lakini sikusema kitu chochote hadi leo bado niko kimya.

 <<CLICK HERE>>TBCUELTD.BLOGSPOT.COM

Naombeni ushauri wenu.
 By Sodoka on JF

ANATAMANI LULU MICHAEL AFE TU


GOOD NEWZ SHILOLE ATOA VIDEO YA MALELE

Dakika zako 3 unaweza kuzitumia kutazama video hii mpya ya mwimbaji Shilole iitwayo ‘Malele’ iliyotayarishwa na director Khalfani, 

Good news ni kwamba video ya ‘malele’ ya Shilole ndio hii imetoka.

Shilole 2
Dakika zako 3 unaweza kuzitumia kutazama video hii mpya ya mwimbaji Shilole iitwayo ‘Malele’ iliyotayarishwa na director Khalfani, ukishaitazama usiache kuniachia comment yako mtu wangu ili Shilole akipita baadae ajue watu wake wanasemaje. WAWEZA INGIA YOUTUBE KUICHEKI







 


BEN PAUL NUSURU AZAME..............

LAYIIII

#Breaking: Mwimbaji Ben Pol anusurika kwenye ajali ya boti iliyozama.

Mwimbaji Ben Pol staa wa hit single ya ‘Sophia’ amenusurika kifo baada ya boti waliyokua wakisafiria na wenzake kuzimika katikati ya safari. Baada ya kunusurika na baadae kuokolewa, Ben aliandika maneno yafuatayo kwa herufi kubwa >>> ‘MUNGU MKUBWA NA NINAMSHUKURU SANA KWA KUNIPA NAFASI NYINGINE YA KUISHI DUNIANI,

SEAMwimbaji Ben Pol staa wa hit single ya ‘Sophia’ amenusurika kifo baada ya boti waliyokua wakisafiria na wenzake kuzimika katikati ya safari.

Umeona Arsenal walivyotambulisha Jezi zao mpya? Unaambiwa MC alikuwa Thierry Henry.. (PICHAZ)

LAYIIII
 
heny2
Maandalizi ya zile pilikapilika za Ligi mbalimbali Ulaya yanaendelea, kwenye Klabu kuna mengi yanafanyika ikiwemo kubadili Jezi zao na kuzitangaza.

heny
Arsenal wameingia kwenye Headlines nao baada ya kuzindua Jezi zao mpya watakazozitumia msimu wa 2015/16… Uzinduzi umefanyika kwenye Uwanja wao wa nyumbani wa Emirates, London na MC alikuwa striker wa zamani wa Klabu hiyo, Thierry Henry.

Headlines za Asha-Rose Migiro June 15 maamuzi yake mapya kuhusu urais wa Tanzania

LAYIII
.
.
CCM imepanga kuanzia mwezi huu hadi Julai 2 kuwa ni muda wa makada wake kuchukua na kurudisha fomu kabla ya vikao vya juu vya chama hicho kukutana kuanzia Julai 12 kuchuja wagombea na baadaye kumpata mmoja atakayesimama kwenye Uchaguzi Mkuu kupambana na wa vyama vingine.
Baada ya makada wa CCM kutangaza nia na hatimaye kuchukua fomu za kugombea urais ikiwa imefikia idadi ya makada 34 wameshachukua fomu, sasa leo june 15 waziri wa katibu na sheria Dkt. Asha Migiro amekuwa mwanamke wa nne kutoka kwenye chama hicho kuchukua fomu ya kugombea za ridhaa.
Akizungumza kupitia TBC1 alisema ‘Kwanza nakishukuru chama cha mapinduzi kwa kuweka mazingira ya kutufanya wengi tujitokeze mara baada ya kufungua pazia la kusaka wale ambao watapata ridhaa ya chama cha Mapinduzi...”

KILICHO MPONZA DIAMOND TUZO ZA KILI HIKI HAPA

Waandishi Wetu
Tuzo za Muziki za Kili 2015, Jumamosi ya wiki iliyopita zilitimua vumbi kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo maelfu ya Watanzania wanaopenda burudani walikuwa wakifuatilia mwenendo mzima wa tuzo hizo, ambapo msanii Ali Kiba aling’ara baada ya kunyakua tuzo tano na kumuacha mbali hasimu wake mkubwa, Nasibu Abdul ‘Diamond

RAY C KILIO TENA HOSPITALINI

LAYIIIII
Musa Mateja
Maskini! Sexy lady kunako anga la Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amejikuta akiangua kilio hospitalini kutokana na kile kilichodaiwa ni hasira baada ya kudai kufanyiwa ndivyo sivyo na madaktari, Ijumaa Wikienda lina kisa cha kusikitisha.

Monday, 15 June 2015

DUUUU CLUBU MAISHA YA DAA KWISHINEYIIII??????????

NA LAYIII ON SPOT
Jana pale New Maisha Club Masaki kulikuwa na party ya kufungwa kwa club hiyo…  Watu wa nguvu walienjoy na burudani ya show toka kwa Shetta, Amini, Dudubaya, Snura pamoja na Nuh Mziwanda.

New Maisha Club haitokuwepo tena Osterbay Dar es salaam, stori kamili hapa

Screen Shot 2015-06-15 at 10.00.06 AMJana pale New Maisha Club Masaki kulikuwa na party ya kufungwa kwa club hiyo…  Watu wa nguvu walienjoy na burudani ya show toka kwa Shetta, Amini, Dudubaya, Snura pamoja na Nuh Mziwanda.
HK ambae ndio Manager wa Club Maisha amesema wanafunga ili kubadili mazingira, Club hiyo itahamishiwa maeneo ya Kijitonyama nyuma ya jengo la Millenium Tower  ambapo Club hiyo itakuwa kwenye Jengo la underground kabisa.

BAADA YA KIBA KUCHUKUA TUZO 6 ZA KILI WEMA NA JOKATE DUUUUUU............MANENO YAOOO HAPO CHINI

NA LAYIII ON SPOT
Mwigizaji Wema Sepetu na staa wa single ya ‘leoleo‘ Jokate ambao wamekuwa kuwa mapenzini na Diamond Platnumz kwa time tofauti baada ya kutolewa tuzo za KILI 2015 nchini Tanzania ambako Ali Kiba alipata ushindi wa tuzo nyingi kuliko yeyote mwingine usiku huo walitumia page zao kumpongeza Kiba kwa kuandika maneno yafuatayo.

 UNGANA NAMI SASA

Maneno waliyoandika Jokate na Wema Sepetu baada ya Ali Kiba kushinda tuzo 6 za KILI 2015.



Jokate na Wema Sepetu June 15 2015Mwigizaji Wema Sepetu na staa wa single ya ‘leoleo‘ Jokate ambao wamekuwa kuwa mapenzini na Diamond Platnumz

KWA MARA YA KWANZA ATOBOA NANI AMKUBARI KIMZIKI JE NI NANI HUYO FATANA NAMI

NA LAYIII
Nicki Minaj ni msaani wa kike ambaye tunaweza kumuweka kwenye levo moja na akina Beyonce, uwezo wake wa kudondosha hitsong baada ya hitsong umemfanya aweze kua mmoja kati ya wasaani wakubwa kwenye HipHop wenye ushawishi  mkubwa sana, kitu kinachomfanya Nicki aweze kua ontop daily.

Ulishawahi Kuwaza Nicki Minaj Anamkubali Nani Kimuziki, Maana Ya Tattoo Yake?

nicki miiiiii
Nicki Minaj ni msaani wa kike ambaye tunaweza kumuweka kwenye levo moja na akina Beyonce, uwezo wake wa kudondosha hitsong baada ya hitsong umemfanya aweze kua mmoja kati ya wasaani wakubwa kwenye HipHop wenye ushawishi  mkubwa sana, kitu kinachomfanya Nicki aweze kua ontop daily.

Na kona ya michezo.......... dalili nyingine kwamba Sepp Blatter ataendelea kubakia Rais wa FIFA??

layiiii

blatter-sepp-140321
Sepp Blatter
Huku dunia ikiwa bado haijaweza kumaliza hali ya mshangao ulioibuka kufuatia taarifa za kujiuzulu kwa rais wa FIFA, Sepp Blatter.. taarifa kadhaa nyumbani kwa Rais huyo nchini Uswisi zinadai kuwa huenda akarejea tena madarakani.

advertise here