SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU KUONA VIDEO KALI
Bonyeza picha yoyote kuona video usiache kusubscribe mtu wangu
Bonyeza picha yoyote kuona video usiache kusubscribe mtu wangu
Baada ya taarifa za kutoweka, Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto
Kabwe ameibuka leo na kusema yuko salama wa afya huku akilaani mbinu za
Jeshi la Polisi kutaka kumkamata kwa siri bila kufuata utaratibu
unaotakiwa.

Dar es Salaam. Wanaume wanaoishi na virusi vya Ukimwi sasa huenda
wakapata suluhisho la kupata watoto na wenza wao ambao hawana virusi
hivyo, baada ya kuwapo tiba ya kusafisha mbegu za kiume zenye VVU hapa
nchini.
Akiwa
kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Diamond Platnuzm amesema
kitendo alichofanya Wema kupost kazi zake anadhani Wema Sepetu ameanza
kumkubali kimya kimya na ameona labda hakuna sababu yeye kuendelea
kumchukia Diamond Platnumz, ndiyo maana ameonyesha upendo kwa kusupport
kazi zake na za wasanii kutoka kwenye Label yake.
Dar es Salaam. Uhaba wa sukari umeendelea kushika kasi nchini
baada ya wafanyabiashara wa maduka ya jumla kuanza kuuza kwa rejareja,
huku ile nyeupe kutoka India ikipatikana kwa urahisi katika baadhi ya
maduka.
Diamond Platnumz hana mpango wa kuwa chini na record label yoyote
duniani. Infact hitmaker huyo amedai kuwa makampuni kibao yamewahi
kummendea yakitaka awe chini yake lakini akayapiga kibuti.