LAYIII
Beyonce kwenye kashfa ya kuiba nyimbo ya ‘Xo’ kutoka kwa underground.
Stori za
madai ya wasanii mbalimbali kudaiwa kuiba nyimbo za wasanii wengine bado
zimeendelea kuchukua nafasi zaidi kwenye nchi mbalimbali duniani.
Mara nyingi
wasanii wadogo ndio wamekuwa wakilalamika sana kuibiwa nyimbo zao kila
wakati na malalamiko haya huenda moja kwa moja kwa mastaa wenye majina
makubwa kwenye muziki.








