Tuesday 10 January 2017

MAGARI 10 BORA DUNIANI


Magari ni kati ya vitu vinaundwa kwa ubunifu mkubwa zaidi duniani, magari yamekuwa yakifanya dunia kuwa sehemu rahisi kufikika kwa haraka ingawa ni kwa maeneo yenye barabara tu. Magari sio tena hitaji la wanaume pekee, hata wanawake wanamiliki magari mazuri na ya kisasa kila siku.

Leo nimekutafutia hii taarifa kuhusu vitu vya kujua kwenye magari; vipo vingi kuanzia kwenye aina

Monday 9 January 2017

PRUDUCER NA MSANII MTANZANIA ANAYEISHI MAREKANI AJA NA HII MPYA

 
Msanii na producer mtanzania anayeishi marekani kaja na hii mpya ambayo anaitambulisha kupitia huko soundcloud.com/jaymett. Ni watanzania wachache sana ambao wanamake headline huko majuu ikiwa ni pamoja na wafanya biashara na wasanii waliojitengenezea jina ndani na nje ya

BONGO FLEVA INAMWITAJI TENA MWANA FA NA JIDE

Watu ambao muunganiko wao umeunganishwa kutokea mbinguni iwe marafiki, wapenzi au wanandoa basi matokeo ya kile walichounganishiwa huwa na msisimko na ladha ya kipekee. Kama ni ndoa huwa na furaha na mmiminiko wa Baraka. Kama ni muziki basi huwa ni muziki ambao si rahisi ladha yake kuisha.



Alikufa Kwa Ngoma, Hawajui, Sikiliza, Msiache Kuongea,ukisikiliza hizi nyimbo pasi na shaka utakubaliana kuwa sio tu ni moja kati ya nyimbo kali kuwahi kutokea kwenye muziki wetu ila ni moja kati ya nyimbo bora kabisa za kushirikiana katika muziki wa Bongo Flava.

Sunday 8 January 2017

AY AMTAJA R KELLY WA BONGO

Rapa mkongwe bongo AY amefunguka na kumtaja msanii wa Rnb kutoka Tanzania Ben Pol kuwa ndiye mfalme wa Rnb kwa Afrika Mashariki, Kusini mwa jangwa la Sahara na Afrika Mashariki na kati.

Mbali na hilo AY amemfananisha Ben Pol na mkali wa Rnb kutoka Marekani R Kelly na kusema Ben Pol ndiye R Kelly wetu hivyo tunapaswa kumpa support tu katika kazi zake ili azidi kufanya mambo makubwa

Friday 6 January 2017

VIDEO: GIGY MONEY NA SWALA LA YEYE KUWA NA UKIMWI

Video queen matata ambaye pia ni mtangazaji wa kituo cha redio moja jijini hapa, Gift Stanford ‘Gigy Money’, ametema cheche akisema kuwa, watu wote wanaomsema kwamba kutokana na kuvaa nusu utupu na kujiachia na midume mbalimbali huenda ana maambukizi ya virusi vya Ukimwi, waache kwani kama ni kweli basi wengi wangekufa kwa sababu ameshatembea na mastaa kibao Bongo.

DARASA: PRODYUZA HUYU ALINITOLEA NJEE

Rapa Darassa amefunguka na kuweka wazi jambo ambalo katika maisha yake ya muziki lilimkwaza sana na hataweza kulisahau ni baada ya mmoja wa Producer wake kutoka AM Record Manecky kumkatalia kufanya kazi ambayo ndiyo iliweza kufungua zaidi milango

NICK MINAJ AELEZEA KUHUSU KUVUNJIKA KWA HUSUSIANO WAKE NA MEEK MILL





Baada ya kuwa na tetesi za kuachana kwa Hip Hop Couple ya Nicki Minaj na Meek Mill, Jan 5 2017, hatimae tumepata kauli ya mwisho kutoka kwa Nicki Minaj kuhusu tetesi hizo.
Mbali na kauli hiyo pia zilishaibuka tetesi Nov 21 mwaka Jana (2016) kuwa Nicki Minaj amempata mwanaume wa kumrithi Meek Mill baada ya kumpiga chini. Mwanaume huyo

MTOTO WA OSAMA KUANDAMWA NA WAMAREKANI SASA


Marekani imemtangaza Hamza mtoto wa Osama ktk orodha ya Magaidi. Azuiwa kufanya biashara na wamarekani na mali zake kutaifishwa.

Aidha kiongozi mkuu wa usalama wa kundi la Al Qaeda, Ibrahim al-Banna ametajwa katika orodha

Thursday 5 January 2017

JUNE 30 MWAKA HUU HIZI NDO SIMU ZITAKAZOIKOSA APP YA WHATSUPP


Kampuni ya Facebook inayomiliki huduma ya Whatsapp imesema kuna baaadhi ya simu za zamani zikiwemo zile zinazotumia mfumo wa Windows Phone 7.1, Android 2.2 na simu aina ya iPhone 3GS/iOS hazitakuwa na huduma za whatsapp kwa sababu wanataka kuendana na mifumo inayotumiwa na watu wengi.

ALICHOKISEMA YOUNG D KUHUSIANA NA TUHUMA ZA KURUDI KWENYE UNGA

Udaku,Young D

Hatimaye rapper Young Dee amejibu kwa ufupi kuhusiana na tetesi kuwa amerudi tena kwenye matumizi ya dawa za kulevya.

Akiandika maneno mafupi sana kwenye post yake mpya ya Instagram, Young Dee amedai kuwa ‘muda utaongea.’

“Time will Tell… Mi sina tatizo na mtu… Tuombeane kheri tu…

WAZIRI MKUU AONYA UJENZI HOLELA MANISPAA YA KIGAMBONI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXh1Y-RieZHLCCKJBe1GIYvY74CIIUexiHhSLfWd9tJkJMFRxWjj0M0bLHFRDY6Ay7ei8jnN85gP7yX799HmcoXAT9OyBbIGDx7Oiyjy4sGbGbmsWRkIGVooizXOfzPBxOXsWG87UE_xs/s1600/1.jpg
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Manispaa ya Kigamboni kuhakikisha unasimamia ujenzi wa kisasa na kutenga maeneo maalumu ya wazi katika manispaa hiyo, ili kuepusha makosa ya ujenzi holela yaliyofanyika katika maeneo mengine jijini Dar es Salaam.

Pamoja na hayo, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa amesema manispaa hiyo mpya kwa sasa inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa majisafi na salama na wakazi wake wanatumia maji ya visima pekee ambayo si safi na salama.

SHERIA YA OBAMACARE TRUMP KUITUPILIA MBALI KWA KISHINDO

Rais Barack Obama amewahimiza wanachama wa chama cha Democratic kupigania sheria yake ya bima ya afya ambayo utawala wa Donald Trump umeahidi utaibatilisha upesi baada ya kuingia madarakani.
Kwenye mkutano wa faraghani wa saa mbili, Bw Obama aliwahimiza wabunge wa chama hicho kuitetea sheria hiyo, huku wanachama wa Republican nao wakichukua hatua kufuta sheria hiyo.

Wednesday 4 January 2017

TOTTENHAM YASIMAMISHA CHELSE 2-0

Dele Alli alikuwa nyota wa mchezo
Tottenham imefutilia mbali ndoto ya Chelsea kutaka kuweka historia katika ligi kuu ya England kwa kushinda michezo 14 baada ya vinara hao kuchakazwa 2-0 White Hart Lane.
Spurs wamekwaa mpaka nafasi ya tatu ya msimamo wa ligi baada ya Dele Alli kufunga magoli yote mawili kwa njia ya kichwa hii ikiwa ni mwishoni mwa kipindi cha kwanza na dakika ya 54.

TANESCO MMOJA AJIHUDHURU WAKURUGENZI WASIMAMISHWA KAZI

Wakuu huku Tanesco hali si shwari mpaka sasa Wakurugenzi wetu watatu wameshushwa vyeo na kuhamishiwa katika chuo cha TANESCO (TSS).

Declan Mhaiki aliyekuwa Deputy Managing Director - Transmission
Sophia Mgonja aliyekuwa Deputy Managing Director - Distribution

UNDANI WA MWANAMKE ALIYETAKA KUMEZWA NA NYOKA MKUBWA HUKO INDIA


 BONEZA PICHA KUONA VIDEO USIACHE KUSUBSCRIBE KATIKA CHANNEL YETU YOUTUBE ILI YAKUFIKIE MAZURI KILA SIKU MTU WANGU
http://go.ad2up.com/afu.php?id=939049
PLAY VIDEO HAPO CHINI USIACHE KUSUBSCRIBE KTK CHANNEL YETU YOUTUBE

EPUKA KUMWAMBIA MJAMZITO MANENO KAMA HAYA

Licha ya kuwa na changamoto nyingi, ujauzito ni hatua yenye faraja kubwa sana wanawake wengi. Kwani kila mmoja huwa na matumaini makubwa kwa kile alichokibeba tumboni.

Hakuna ubishi kuwa mama anapokuwa katika hali hii hupenda kuishi maisha yasiyo na bughudha ama rabsha. Pamoja na kuwa watu wengi hukubaliana na changamoto zinazowapata wanawake

ALIYEZIKWA KISIRI KUFUKULIWA


Familia moja  jijini Arusha inadaiwa kumzika kwa siri mtoto wao mdogo wa kike wa miaka mitatu katika kaburi lililofichwa, huku majirani wakidanganywa kuwa binti huyo yupo hai.


Taarifa za kisa hicho cha kusikitisha zimevifikia vyombo vya usalama. Kwa sasa kuna mipango ya kuhakikisha kuwa mwili wa binti huyo, Nuru Losipha aliyezikwa kwa siri na familia yake,

ARSENAL ILIVYO PAMBANA KIUME NYUMBANI KWA BOURNEMOUTH

Olivier Giroud alikuwa mchezaji bora wa mtanange huo
Arsenal imeambulia alama moja nyumbani kwa Bournemouth baada ya kutoka nyuma kwa magoli 3-0.
Ilikuwa nii kama kutimiza lengo kwa the Gunners baada ya kufunga magoli matatu ndani ya dakika 20, kabla ya hapo Bournemouth ambao walikuwa wenyeji walikuwa wakiongoza kwa magoli 3-0.
Alexis Sanches alianza kuiandikia bao la kwanza Arsenal dakika ya 70 kabla ya Lucas Perez

Tuesday 3 January 2017

EWURA IMETANGAZA BEI MPYA ZA PETROL

BONYEZA PICHA HAPA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE USIACHE KUSUBSCRIBE MTU WANGU
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA) imetangaza bei mpya za Petrol, Diesel na mafuta ya Taa zinazoanza kutumika leo Jumatano huku bei ya mafuta ya Taa na Diesel ikiwa imeshuka kwa wastani wa shilingi 66 kwa lita.

KUHUSU MADAWA YA KULEVYA HAYA NI MANENO MAZITO YA LEMUTUZ


⏩BY@lemutuz_nation -  Wiki hii the National Debate is MADAWA YA KULEVYA kama ulivyo ushoga it is another very sensitive Subject niliwahi huko nyuma kusema kwamba binafsi ninalifahamu sana hili la Drugs kwa sababu nimewahi kuishi at the Source of it New York City nilichokiona kwa macho yangu ni kwamba once binadam akishajikita kwenye kuyatumia madawa ya kulevya huwa anafikia kutumia Cocaine kwa njia ya kujidunga Sindano that is the end of story ni almost impossible kwa yule binadamu kuja ku recover...I am just being realistic na sio kumkatisha anybody tamaa mfumo wa Ubepari Capitalism una tabia moja ya kuheshimu walioshinda tu lakini hauna nafasi kwa walioshindwa tunawahitaji sana Investors like kutoka USA but tatizo ni kwamba wanapokuja kuwekeza wanakuja na utamaduni wao pia au the American Culture ambayo inapokuja

DARASA AMFUNGUKIA DIAMOND PLATNUMZ

Msanii wa bongo fleva Darasa ameweka wazi ule mstari wake wa "sio simba, sio chui, sio mamba" kwa kusema Diamond hakupaswa kujiita simba kwani simba ni mnyama ambaye anaweza kuuliwa anapozidiwa nguvu.

advertise here