Friday, 5 August 2016

ANUSULIKA NA AJARI YA NDEGE DUBAI

SUBSCRIBE HAPA USIPITWE NA VIDEO KALI ZINAZO TUFIKIAhttps://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sA?sub_confirmation=1Wakuu nawasalimu!!
Ama hakika kama siku haijafika haijafika tu.July 16 2016 nilimsindikiza binamu yangu kwa ajili ya matibabu nchini India,yeye alikuwa atangulie na ndege ya Oman Air kupitia Muscat mpaka India ambapo mimi ningefuata siku tisa au kumi baadae.Kwa bahati mbaya siku hiyo ilitokea "dhahama" uwanjani hapo na safari kuahilishwa,hivyo waliondoka siku inayofuata.

GIGY MONEY AFUNGUKA KUZAA NA IDRIS SULTAN (VIDEO NA GIGY MONEY)

BONYEZA PICHA HAPA KUONA VIDEO USIACHE KUSUBSCRIBEhttps://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sA?sub_confirmation=1Msanii wa muziki ambaye pia anafanya ‘modeling’ na utangazaji kwenye Kituo cha Redio cha Choice FM cha jijini Dar, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amejitangazia ushindi wa kumnasa aliyekuwa mpenzi wa Wema Sepetu, Idris Sultan huku akitamba kuwa, sasa atamzalia mtoto.

Tuesday, 2 August 2016

VIDEO :ZARI THE BOSS LADY AKIONYESHA UJAUZITO MCHANGA DIAMOND KASEMA ATAJIFUNGUA MWEZI DISEMBA

BONYEZA HAPA KUIONA VIDEO USIACHE KULIKE COMMENT NA KUSUBSCRIBE NASI
https://www.youtube.com/watch?v=0C7blewgMygMkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
Diamond

Muimbaji huyo amesema yeye na mpenzi wake Zari wanategemea mtoto wa kiume.

“Yah kweli mimi ni baba kijacho,” Diamond alikiambia kipindi cha Leo Tena “Natarajia Mama Tiffa anipatie tena mtoto mwingine, atakuwa wa kiume,”

VIDEO: MENEJA WA DIAMONDPLATNUMZ BABU TALE KAKAMATWA LEO ASUBUHI CHANZO NINI SOMA HAPO CHINI

BONYEZA PICHA SUBSCRIBE NASI YOUTUBE
https://www.youtube.com/watch?v=0C7blewgMygMeneja wa mwanamuziki wa kimataifa Diamond Platnumz, Hamis Tale Tale maarufu kwa jina la ‘Babu Tale’ hivi sasa yupo mikononi mwa polisi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

Babu Tale amekamatwa leo na kufikishwa mahakamani hapo ili ajieleze ni kwa nini asifungwe kwa kushindwa kutekeleza hukumu ya Mahakama iliyomwamuru alipe fidia ya Sh250 milioni kwa makosa ya kuvunja sheria ya Hakimiliki.

YAFAHAMU MADHARA YA KUNYWA POMBE KIPINDI CHA UJAUZITO

Kipindi cha ujauzito kwa mama ni kipindi muhimu sana ambacho kwa wakati huu mama hatakiwi atumie kitu chochote cha kujitibu bila ushauri wa daktari kwani kinaweza kudhuru mtoto lakini pia kipindi cha ujauzito ni kipindi ambacho mama hatakiwi kunywa kileo chochote kile unachokifahamu.

Sio bia, sio spirit, wala mvinyo au wine. wanawake wengi wa siku hizi hubeba mimba bila kufahamu kwamba wana mimba na huja kugundua baada ya mwezi mmoja au miwili baada ya kumshindilia mtoto pombe za kutosha.tabia hii ina madhara makubwa sana kwa mama na mtoto kama ifuatavyo...

Thursday, 28 July 2016

MAJINA 1091 YA WADAIWA MKOPO ELIMU YA JUU

Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB), inawaarifu wadaiwa wote ambao mpaka hivi sasa hawajaanza kulipa mikopo waliochukua kipindi wanasoma, na wenye majina yao kwenye orodha hii kwamba wamevunja mkataba kutokana na sheria ya bodi hiyo No. 9 ya 2004 (kama ilivyorekebishwa) sehemu ya 19 (1).
 
Na wanataarifiwa kwamba, kulingana na sheria hiyo ya bodi (HESLB)  No. 9 ya 2004, Bodi imedhamiria kutenda yafuatayo:-
 
(i) Bodi itachukua hatua za kisheria kulingana na kipengele cha 19 (a) (1) cha sheria ya bodi.

Wednesday, 27 July 2016

UTAFITI UNAONYESHA KUTIZAMA TV KWA MUDA MREFU KUNAWEZA HATARISHA MAISHA YAKO


Utafiti uliofanywa na wanasayansi wa Japan umethibitisha kwamba kukaa kwa mda mrefu na kutazama vipindi vya televisheni kwa masaa mengi kunahatarisha afya kwani huhusishwa na maradhi yanasababisha mzunguko wa damu mwilini kutokuwa sawa.
Watafiti hao wanasema, hali hiyo pia huenda ikasababisha damu kuganda na kutengeneza vidonge katika sehemu kama vile miguu, na iwapo mgando huo utasukumwa na nguvu za mzunguko wa damu na kuingia sehemu kama vile mapafu, husababisha vifo.
Utafiti huo ulihusiha watu zaidi ya 86,000 ambao hupendelea kutazama televisheni katika mida mbalimbali kwa siku.
Kisha afya zao zilifuatiliwa kwa zaidi ya miaka 19 tangu mwaka 1988 hadi 1990.

Saturday, 23 July 2016

MAMBO YA AJABU YATOKEA,VYANZO VYA MAJI VYAGEUKA DAMU (NI MUDA KIDOGO ILA NIMEPENDA SHARE NA WEWE LABDA ULIIKOSA HII)

JIFUNZE KILIMO BORA CHA VITUNGUU

Vitunguu ni zao la pili ambalo hutumika karibu kila siku katika mlo wa familia za kitanzania. Afrika Mashariki, na Dunia Nzima.

Vitunguu vina chukua nafasi kubwa katika matumizi ya mboga hasa kwa wakazi wa mijini. Vitunguu hutumika katika kutengeneza kachumbari, kiungo cha mboga, nyama na

VIDEO: JACKLINE WOLPER AHAMIA CCM KWA MBWEMBWE, KIKWETE AMPOKEA.


Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyekuwa akimuunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi jana.Wolper alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya

KOFFI OLOMIDE NUSURA AMUUE MWANAMKE KWA KIPIGO..AKAMATWA



Mwanamuziki mashuhuri kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Koffi Olomide amekamatwa na kuzuiliwa na maafisa wa polisi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta.
Olomide amekamatwa muda mfupi baada ya kumaliza mahojiano katika kituo kimoja cha runinga jijini Nairobi.

Mkuu wa polisi nchini Kenya Joseph Boinnet alikuwa ametoa taarifa na kuwaagiza polisi wachukue hatua.

CHIDI BENZ AFUNGUKA MAZITO ADAI JOH MAKINI NA NAY WA MITEGO NI WASANII WAKUTENGENEZWA

Rapper Chidi Benz amefunguka kwa kusema kuwa hakuna msanii wa Hip Hop ambaye amefikia mafanikio yake huku akidai Joh Makini na Nay wa Mitego wametengenezwa ili waje kulishika game la muziki.
Akiongea na Uhuru FM Alhamisi hii, Chidi Benz amedai mpaka sasa hakuna msanii ambaye ameweza kufanikiwa na kufikia mafanikio ambayo aliyafikia katika kipindi cha nyuma.

UJUMBE WA DIAMONDPLATNUMZ KWA MWANAYE WAZUA BALAA :VIDEO NA MAPOKEZI YA RICH MAVOKO WCB

Diamond Platnumz si mgeni kwenye jumbe tata kwenye mitandao ya kijamii.

Lakini ujumbe wake mpya kwa bintiye, Tiffah umesababisha mjadala mkubwa.

Akiweka picha ya binti yake huyo ambaye mwezi ujao anatimiza mwaka mmoja, Diamond aliandika: Buff day Girl! my little Pumpkin😍 My Miss World 👸

UAMUZI WA BODI YA MIKOPO KUHUSU WANAFUNZI AMBAO HAWAJAREJESHA MIKOPO YAO HADI LEO

Mnamo mwezi Machi, 2016, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ilitoa notisi ya siku 60 ikiwataka wanufaika wa mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kujitokeza na kuanza kurejesha mikopo yao.

Aidha, taarifa hiyo pia iliwataka waajiri kuwasilisha taarifa za waajiriwa wao na makato ya marejesho.  Baada ya kipindi hicho kumalizika, kipindi cha notisi hiyo kiliongezwa ambacho pia kimekwisha.

Wednesday, 20 July 2016

LOWASSA AZIDI KUITAMANI 2020 AWATAKA VIJANA WAJIPANGE ZAIDI MBIO ZA URAIS

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA ambaye pia ni waziri mkuu mstaafu Mh. Edward Lowassa amelitaka baraza la vijana la CHADEMA Taifa kutokukubali kugawanywa katika misingi ya kisiasa na badala yake wajikite katika kukiimarisha chama hicho katika ngazi ya chini hasa vijijini.

VIDEO: VILOJA NA MBWEMBWE ZA MSANII IDRISS SULTANI MSHINDI WA BIG BROTHER AFRIKA HIZI NDIO BAADHI YA VIDEO ZAKE ZA KUCHEKESHA

Aliye kuwa mshindi wa shindano la big brother africa linalo fanyika nchini africa kusini kila mwaka idriss sultan amekuwa akijizolea umaarufu kila kukicha kutokana na vituko anavyo vionyesha huko

VIDEO:WEMA ALIVYO IMBA WIMBO KUTOKA LEBAL YA DIAMOND PLATNUMZ KWA HISIA KALI SANA

Kama ulipitwa ikiwa ni siku chache ndani ya interview cloudsfms wakiwa na christian bella kabla ya black tie ema sepetu aliuimba wimbo

KIJUE ALICHOKISEMA MAGUFULI KUHUSU GARI YA RAISI KUKAMATWA

Wakati akizungumza na Maafisa wa Jeshi la polisi aliowapandisha vyeo vya Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ikulu jijini Dar es Salaam, Rais Magufuli alisema kipindi cha nyuma jeshi la polisi lilikuwa linaweka historia mbaya.

Kuna baadhi ya polisi waliowahi kuumizwa siku za nyuma kutokana na kusimamia sheria. Kuna magari au mabasi ya wakubwa ndani ya polisi ambayo ilikuwa ukiyakamata unapata msukosuko kikazi na kimaisha.

Rais akatolea mfano akisema kulikuwa na mabasi yanayoitwa Buffalo, Happy Nation au Happy Tanzania ambayo ukiyagusa lazima utaondolewa kwenye cheo ulichopo.

Rais akawaomba Makamishna kwenda kufanya kazi bila woga na wahakikishe pia hawawabughudhi Maaskari walio chini yao wakati wanatimiza majukumu yao ndani ya sheria na Kanuni za utumishi wao.
VIDEO MAGUFULI AKIZUNGUMZIA KUHUSU SUKARI KAMA ULIKOSA KUIONA
‘’Hata kama askari atakamata gari la IGP, RPC, Waziri au Rais, mwacheni atimize majukumu yake ili wahusika wa hayo magari wakajieleze wenyewe mbele ya sheria. Sheria ni msumeno’’. Rais alisema.

Rais aliendelea kusema, ‘’tunawanyima nguvu hawa Maaskari wa chini wanapotimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria halafu tunawaambia liachie hilo gari. Akishatoka pale yule aliyekuwa amekamatwa huanza kutamba kweli kweli huku askari akiwa amevunjika moyo na nguvu katika kusimamia sheria. Niwaombe sana, Vyeo vyetu tuweke pembeni na sheria tuziweke pembeni’’.

Tuesday, 12 July 2016

VIJANA WA CHADEMA WAMTII MBOWE


Jeshi la Polisi limekwama kuwafikisha mahakamani viongozi wanne wa Taifa wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), baada ya kukosea hati ya mashtaka.

Wanaoshikiliwa ni Mwenyekiti wa Taifa, Patrobas Katambi, Katibu Mkuu, Julius Mwita, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Joseph Kasambala na Mwenyekiti wa Mkoa wa Mbeya, George Tito.

Akizungumza jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa alisema makosa

DARAJA LA KIGAMBONI LAINGIZA BILIONI 1.3



Tangu daraja jipya la Kigamboni lianze kutumika rasmi tarehe 19/04/2016 limekusanya jumla ya shilingi bilioni 1.3 kutokana na tozo za vyombo vya usafiri.

advertise here