Wednesday, 20 July 2016

VIDEO: VILOJA NA MBWEMBWE ZA MSANII IDRISS SULTANI MSHINDI WA BIG BROTHER AFRIKA HIZI NDIO BAADHI YA VIDEO ZAKE ZA KUCHEKESHA

Aliye kuwa mshindi wa shindano la big brother africa linalo fanyika nchini africa kusini kila mwaka idriss sultan amekuwa akijizolea umaarufu kila kukicha kutokana na vituko anavyo vionyesha huko
instagram na hiz ni baadhi ya video za matukio mchanganyiko alizowahi kutupia huko instagram


No comments:

Post a Comment

advertise here