Tuesday 2 August 2016

VIDEO: MENEJA WA DIAMONDPLATNUMZ BABU TALE KAKAMATWA LEO ASUBUHI CHANZO NINI SOMA HAPO CHINI

BONYEZA PICHA SUBSCRIBE NASI YOUTUBE
https://www.youtube.com/watch?v=0C7blewgMygMeneja wa mwanamuziki wa kimataifa Diamond Platnumz, Hamis Tale Tale maarufu kwa jina la ‘Babu Tale’ hivi sasa yupo mikononi mwa polisi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

Babu Tale amekamatwa leo na kufikishwa mahakamani hapo ili ajieleze ni kwa nini asifungwe kwa kushindwa kutekeleza hukumu ya Mahakama iliyomwamuru alipe fidia ya Sh250 milioni kwa makosa ya kuvunja sheria ya Hakimiliki.


Babu Tale anatakiwa alipe fedha hizo kutokana na kuvunja mkataba kati yake na Shekhe Mbonde, kwa kuuza na kusambaza nakala za mawaidha (DVDs) bila ridhaa ya shekhe huyo, jambo ambalo ni kinyume na haki miliki.

No comments:

Post a Comment

advertise here