Tuesday, 2 August 2016

VIDEO :ZARI THE BOSS LADY AKIONYESHA UJAUZITO MCHANGA DIAMOND KASEMA ATAJIFUNGUA MWEZI DISEMBA

BONYEZA HAPA KUIONA VIDEO USIACHE KULIKE COMMENT NA KUSUBSCRIBE NASI
https://www.youtube.com/watch?v=0C7blewgMygMkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
Diamond

Muimbaji huyo amesema yeye na mpenzi wake Zari wanategemea mtoto wa kiume.

“Yah kweli mimi ni baba kijacho,” Diamond alikiambia kipindi cha Leo Tena “Natarajia Mama Tiffa anipatie tena mtoto mwingine, atakuwa wa kiume,”


Aliongeza, “Na itakuwa mwezi Disemba mwaka huu! Baada ya hapo sitaongeza tena mtoto mwingine, ni muda wa kula bata sasa ndio unafata na watoto wetu wawili”

Diamond na Zari tayari wana mtoto mmoja wa kike, ‘Tiffa’ ambaye hivi karibuni atatimiza mwaka mmoja.

No comments:

Post a Comment

advertise here