Waziri wa maswala ya ndani wa ufaransa , Bernard Cazeneuve, ametoa
ushauri kwa wakuu wa miji mbalimbali wenyeji wa kinyanganyiro cha soka
barani ulaya Euro2016, kupiga marufuku matumizi ya pombe katika maeneo
tete siku ya na hata kabla ya siku ya mechi kufanyika.
Staa wa sinema za vichekesho Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na
kumjibu mwigizaji mwenzake, Jacqueline Wolper Massawe kuwa hajawahi
kutaka ‘kiki’ za kijinga wala ugomvi na anachoangalia yeye ni biashara
na maisha yanaenda.
Nisha aliliambia Wikienda kuwa ameshangazwa na habari zinazozagaa
mitandaoni baada ya yeye kuweka picha za wasanii wanne kisha msanii
mwenzake, Wolper kuanza kumrushia maneno wakati yeye aliandaa shoo ya
Harmonize (mpenzi wa Wolper) wiki mbili zilizopita na yupo kibiashara
zaidi
SUBSCRIBE HAPA MTU WANGU
Bonyeza picha hii kuiona video ya hotuba fupi ya zitto usiache kusubscribe mtu wangu Baada ya taarifa za kutoweka, Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto
Kabwe ameibuka leo na kusema yuko salama wa afya huku akilaani mbinu za
Jeshi la Polisi kutaka kumkamata kwa siri bila kufuata utaratibu
unaotakiwa.
Tangu Jumamosi usiku, vyombo mbalimbali vya habari viliripoti Zitto
kutofahamika alikokuwa baada ya simu zake zote kutopatikana huku
viongozi wa chama hicho wakihofia kukamatwa na polisi baada ya kubaini
njia za uviziaji wa kumkamata nyumbani
kwake.
SUBSCRIBE HAPA
Bonyeza picha hii kujua kama simu yako itafungwa
Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft
Bill Gates, amezindua kampeni ya kusaidia watu maskini zaidi barani
Afrika, kusini mwa jangwa la sahara, kwa kufuga kuku
Bilionea huyo Bill Gates anasema kuwa kufuga kuku kunaweza kuwa kifaa muhimu katika kukabiliana na ufukara hohe hahe.
Ameahidi kutoa kuku 100,000, na ukurasa katika mtandao wa mradi huo tayari umewavutia na kusambazwa kwa maelfu ya watu.
SUBSCRIBE HAPA Watoto sita wamekufa maji bila kutarajiwa katika sherehe za kubatizwa
kwao katika mto nchini Zimbabwe.Watoto watatu walinusurika kufa maji ya
mto huo ambao maji yake niya baridi;watoto hao walionekana wakitetemeka
kutokana na baridi wakati miili ya wenzao waliokufa maji ikiopolewa
majini.
Jana
ilikuwa siku kubwa kwa label ya WCB inayomilika na Diamond Platnumz.
Kwa mara ya kwanza ilifanikiwa kumsainisha msanii mkubwa anayesifika kwa
utunzi na uimbaji wa hali ya juu. Kwa kumsajili Rich Mavoko, WCB
ilikuwa kama vile timu ya soka inapomsajili mchezaji maarufu na tena kwa
dau kubwa. Mavoko
ameungana na Diamond mwenyewe pamoja na wasanii waliosainishwa awali,
Harmonize na Raymond. Pia katika utambulisho wa label hiyo ulioendana
sambamba na kumtangaza Mavoko kama msanii wake mpya, Queen Darleen, dada
yake Diamond naye
Leo
naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida
na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi.
Uvaaji wa chupi kihistoria ulianza karne ya 19 baada ya uvumbuzi wa
viwanda na mapinduzi yake yaliyoambatana na mapinduzi ya teknolojia.
Enzi
za mama zetu na babu zetu uvaaji wa chupi haukuwepo hapa Tanzania.
Uvaaji wa chupi uliletwa na wamisionari na wakoloni wakati wanaleta dini
Africa. Kabla ya hapo waafrica hatukuwa na utamaduni wa KUVAA chupi.
Mtoto
akizaliwa hakuvalishwa chupi kamwe kama ilivyo Leo. Mwanamke pia enzi
hizo alikuwa havai chupi. Mwanaume naye pia alikuwa havai chupi? Watu
wote walikuwa hawavai chupi. Mwanamke alikuwa hachuchumai chini pindi
akijisaidia kutokana na kwamba hawakuwa wanavaa chupi hivyo wakitaka
kujisaidia haja ndogo walikuwa
Mkali
wa wimbo ‘Bado’ kutoka WCB, Harmonize amesema hana tabia ya kuchezea
wanawake hivyo kama wakikubaliana na mpenzi wake wa sasa Jacqueline
Wolper watafunga ndoa. Wolper Muimbaji
huyo ambaye ametoka katika familia ya dini ya kiislamu, ameiambia
Bongo5 kuwa dini yake hamruhusu kuwachezea watoto wa kike. “Kwa
sasa kuweka wazi kama tunakaa pamoja au hatukia siyo kitu kizuri cha
kuzungumzia kwa sasa,” alisema Harmonize. “Insha’Allah panapo majaliwa
tutakaa pamoja kwa sababu
SUBSCRIBE HAPA Dar es Salaam. Wanaume wanaoishi na virusi vya Ukimwi sasa huenda
wakapata suluhisho la kupata watoto na wenza wao ambao hawana virusi
hivyo, baada ya kuwapo tiba ya kusafisha mbegu za kiume zenye VVU hapa
nchini.
Tiba hiyo sasa inapatikana hapa nchini katika hospitali moja iliyo
jijini Dar es Salaam, ambayo inatoa huduma za uzazi na upandikizaji wa
mimba katika mirija ya uzazi kitaalamu inayojulikana, In Vitro
Fertilization,(IVF).
SUBSCRIBE HAPA Akiwa
kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Diamond Platnuzm amesema
kitendo alichofanya Wema kupost kazi zake anadhani Wema Sepetu ameanza
kumkubali kimya kimya na ameona labda hakuna sababu yeye kuendelea
kumchukia Diamond Platnumz, ndiyo maana ameonyesha upendo kwa kusupport
kazi zake na za wasanii kutoka kwenye Label yake.
“Kuna wakati inafika watu mnakuwa mmekuwa labda, mtu anaona hana sababu
ya kuendelea kukuchukia au kuwa na vita na wewe, sababu mwanzo mwanzo
mkiwa bado mnaenda mnaona kuna
Utafiti mpya umebaini kuwa wanawake
ambao wamewahi kuugua saratani ya matiti huenda wakanufaika na
chembechembe zinazozuia ugonjwa huo kwa muda mrefu zaidi kuliko muda wa
sasa wa miaka mitano.
Utafiti huo uliofanywa na wanasayansi kutoka
Marekani na Canada umebaini kuwa kutumia dawa hizo kwa miaka kumi
badala ya mitano unapunguza uwezekano wa saratani hiyo kurejea kwa
theluthi moja.
LIKE PAGE YETU HAPANimeleta mada hii tujadili tuone ni wapi mtu anapokuwa sahihi na wapi mtu anakosea.
Mkataba wa ndoa unawataka wanandoa kuvumiliana katika SHIDA na RAHA.
Sasa chukulia mmeoana halafu inafikia mahali maisha yanakuwa magumu hata
milo miwili inashindikana, hivyo mwanamke anaamua kumkimbia mumewe.
Mwanaume anapobaki mwenyewe anaparangana japo maisha yanarudi kwenye
mstari, na hapo mwanamke anaanza kutaka kurudi tena kwa nguvu kwakuwa
bado ni mke halali.
LIKE PAGE YETU HAPA Dar es Salaam. Uhaba wa sukari umeendelea kushika kasi nchini
baada ya wafanyabiashara wa maduka ya jumla kuanza kuuza kwa rejareja,
huku ile nyeupe kutoka India ikipatikana kwa urahisi katika baadhi ya
maduka.
Utafiti uliofanywa na waandishi wa gazeti hili jijini Dar es Salaam,
Kahama mkoani Shinyanga na wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro, bei ya
sukari imeendelea kuwa juu huku upatikanaji wake nao ukiwa wa shida.
Baadhi ya wafanyabiashara walihojiwa walibainisha kuwa bei ya sukari kwa
kilo, inaanzia kwa Sh2,500 hadi 3,900, na bei hiyo imetofautiana
kulingana na aina ya sukari. Sukari nyeupe inauzwa kwa Sh120,000 kwa
mfuko wa kilo 50 na Sh2,500 kwa kilo kwa bei ya rejareja.
Uchunguzi wa kidaktari kutoka jimbo
la Minnesota nchini Marekani umebaini kuwa mwanamuziki Prince alikufa
kutokana na kuzidisha kiwango cha dawa.
Kwa mujibu wa madaktari
waliofanya uchunguzi huo wa kifo cha mwanamuziki Prince, wanasema
alizidisha kiwango cha dawa za kutuliza maumivu zijulikanazokama
Fentanyl .
Dawa hizo zinadaiwa kuwa na nguvu mara hamsini zaidi ya dawa za kulevya za Heroin.
Hata hivyo dawa hizo hutumika wakati wa upasuaji na hasa wagonjwa ambao miili yao ni sugu kwa
LIKE PAGE YETU HAPA
Kanisa la urefu wa mita 16 lililojengwa kwa kutumia vigae vya glasi
linalofanana na viatu vyenye visigino virefu vinavyopendwa sana na
wanawake limejengwa huko Taiwan kwa lengo la kuwavutia wanawake zaidi.
Bonyeza picha kuiona video usiache kusubscribe nami youtube Likiwa limejengwa kwa kutumia vigae vya glasi takriban 320,kanisa
hilo la rangi ya buluu lina upana wa mita 10 na limegharimu takriban
dola 686,000.
Picha iliopigwa juu ya kanisa hilo pia imeonyesha ukubwa wa kanisa hilo pamoja na uzuri wa eneo lililojengwa.
DAR ES SALAAM: Dunia imekwisha! Ndivyo
unavyoweza kusema kufuatia mastaa wa kike Bongo ambao wamekuwa vinara wa
kuweka picha zao chafu mitandaoni, kuweka wazi viwango vyao vya malipo
endapo mtu atahitaji picha zao za utupu (X).
Miongoni mwa wasanii hao ni muuza nyago maarufu Bongo, Gift Stanford
‘Gigy Money’, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, Asha Salum ‘Kidoa’ na Isabela
Mpanda ‘Bella’ ambao kila mmoja amekiri kuwa yupo tayari kupiga dili
hilo ili aweze kujiingizia ‘mkwanja’ mnono na kudai kwa sababu wao
hawatoshiriki ni picha tu hivyo hakuna ubaya.
GIGY
"Hee, ninavyoijua pesa jina langu lenyewe linajieleza, sasa nawezaje
kukataa dili la hela ikiwa sidhuriki chochote maana kama ni picha zangu
kila kukicha natupia mtandaoni, mtu si anaweza kuchukua tu, lakini mpaka
kaniomba kaniheshimu itabidi anilipe kama shilingi milioni 50.”
DIVA
"Ni kweli napiga picha zisizo na maadili kwa nchi yetu ambazo zinaweza
kumshawishi mtu kunipa dili la aina hiyo japo kwa kucheza sipo tayari,
ila picha akinipa shilingi milioni 200 nakubali anipige hizo picha.”KIDOA
Kwa kuwa hiyo pesa nitakuwa sijaitolea jasho siwezi kuiacha, nikilipwa shilingi milioni 500 napiga hilo dili kwa moyo mkunjufu
ISABELA
“Kipindi hiki pesa ilivyokuwa ngumu naanzaje kukataa, kwani
ninavyoweka picha zangu huko mtandaoni kuna mtu ananilipa na mbona
nasemwa sana, bora nikasemwa nikiwa nimefaidika tena kupitia picha yangu
tu tatizo liko wapi, nikipewa shilingi milioni 100 nakubali.”
NENO LA MHARIRI:
Ni vyema wasanii hawa wakazingatia maadili ya Kitanzania kwa kuepuka
kupiga picha za utupu kwa namna yoyote. Watafute fedha kwa njia halali
kutokana na kazi zao. Waache kuiga mastaa wa nje kama vile Rihanna, Kim
Kardashian, Amber Rose na wengineo ambao wamekuwa wakilipwa pesa ndefu
kwa kupiga picha hizo ambazo zimekuwa zikitumika kwenye majarida na
mitandao mbalimbali
Mchezaji kandanda bora barani Afrika
wa mwaka huu Pierre-Emerick Aubameyang ametawazwa kuwa mshindi wa tuzo
la mwaka huu la mchezaji bora katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga
Aubameyang
ambaye ni raia wa Gabon na mshambulizi wa Borussia Dortmund alimpiku
mshambulizi wa Bayern Munich Robert Lewandowski kwa asilimia 0.2%.
Tuzo hilo hutolewa na shirikisho la wachezaji nchini humo VDV.
''Ni furaha kubwa kutambuliwa na wachezaji wenzangu '' alisema Aubameyang
LIKE PAGE YETU HAPA Rich Mavoko ametambulishwa rasmi leo June 2 2016 kuwa chini ya lebo ya WCB inayosimamiwa na Diamond Platnumz, ikiwa ni saa kadhaa baada ya kutambulishwa Rick katuletea video mpya inaitwa ‘Ibaki Story’ ambayo imefanyika Johannesburg South Africa, ukishaitazama utuachie na comment
Taarifa hii bila shaka itakuwa yenye manufaa kwako.
Nchini Kenya, virusi hatari aina ya FIV, vinaavyofananana kabisa na
virusi vya HIV vinavyosababisha Ukimwi vimegunduliwa katika paka mmoja
kupitia uchunguzi wa kimaabara.
Hii ni baada ya uchunguzi wa kina wa damu ya paka huyo kuthibitisha
uwepo wa viini vinavyofanana kabisa na vile vinavyoathiri binaadamu.
Wafugaji wa paka na wanyama wa nyumbani wameonywa kuwapeleka wanyama wao
kufanyiwa uchunguzi wa afya wanapowashuku wanyama wao wanaugua.