LIKE PAGE YETU HAPA
Rich Mavoko ametambulishwa rasmi leo June 2 2016 kuwa chini ya lebo ya WCB inayosimamiwa na Diamond Platnumz, ikiwa ni saa kadhaa baada ya kutambulishwa Rick katuletea video mpya inaitwa ‘Ibaki Story’ ambayo imefanyika Johannesburg South Africa, ukishaitazama utuachie na comment
Thursday, 2 June 2016
VIRUSI SAWA NA HIV YA PAKA VIMEGUNDULIWA HUKO KENYA
LIKE PAGE YETU HAPA
Bonyeza picha ya paka huyu kuiona video ya ajabu

Je unamiliki paka?
Taarifa hii bila shaka itakuwa yenye manufaa kwako.
Nchini Kenya, virusi hatari aina ya FIV, vinaavyofananana kabisa na virusi vya HIV vinavyosababisha Ukimwi vimegunduliwa katika paka mmoja kupitia uchunguzi wa kimaabara.
Hii ni baada ya uchunguzi wa kina wa damu ya paka huyo kuthibitisha uwepo wa viini vinavyofanana kabisa na vile vinavyoathiri binaadamu.
Wafugaji wa paka na wanyama wa nyumbani wameonywa kuwapeleka wanyama wao kufanyiwa uchunguzi wa afya wanapowashuku wanyama wao wanaugua.

RICH MAVOKO RASMI NDANI YA WCB RECORDING LEBAL
LIKE PAGE YETU HAPA
Ni June 2, 2016 ambapo
label ya Wasafi inayomilikiwa na staa Diamond Platnumz inaingia kwenye
headlines za Bongo Fleva baada ya kumtambulisha rasmi msanii wao mpya Rich Mavoko ambaye anakuwa ni msanii wa nne atakayesimamiwa kazi zake katika label hiyo.
Kwa mujibu wa Diamond Platnumz alisema…’Kwasasa Label yangu inakuwa na jumla ya wasanii wanne ukiachana na Rich Mavoko kuna Dada yangu Queen Darling ambaye sijawahi kumtambulisha lakini anakuwa ni msichana wa kwanza katika label yangu kwahiyo tutakuwa na Raymond, Harmonize, Rich Mavoko na Queen Darling’- Diamond Platnumz
Wednesday, 1 June 2016
JUA NAMNA YA KUITAMBUA SIMU FEKI
LIKE PAGE YETU HAPA
Kama mtakumbuka serikali ilitangaza namna ya kuzigundua simu feki na orginal leo tutapata kuona kwa njia ya video namna ya kuzitambua simu hizo bonyeza picha kwenda moja kwa moja ktk video husika au shuka chini

PAMOJA NA KUTOKA NA DIAMOND PLATNUMZ JACKLINE WOLPER AMESEMA DIAMOND NI BABA MKWE WAKE
LIKE PAGE YETU HAPA
bonyeza picha kuona video nyingine
jackline wolper pamoja na kutoka na diamond kwa sasa anamchukulia kama mkwewe.Wolper ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na zamaaradi katika kipindi chake cha take one and action. mskilize mwenyewe hapa katika hii video kama ulikosa kipindi chao mtu wangu

Tuesday, 31 May 2016
WOLPER KUMBE MKONGO ALIMLIA PESA BALAA
LIKE PAGE YETU HAPA
Msanii wa filamu, Jacqueline Wolper
baada ya kukiri kwamba anatoka kimapenzi na Harmonize, amefunguka na
kueleza madai ya kufilisiwa na Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake wa
zamani.
Akiongea katika promo ya kipindi kipya cha Take One ambacho kinatarajiwa kuruka Jumanne hii, Wolper amedai yeye ndiye aliyetendwa na Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake, kwani wakati anaanza naye mahusiano alikuwa ana gari na nyumba lakini baadae akijikuta hana hata sehemu yakulala.

DIAMOND PLATNUMZ | HAKUNA RECORD LEBAL YA KUNISAINISHA TANZANIA WATANILIPA NINI AMBACHO SIJAFANYA
LIKE PAGE YETU HAPA
Diamond Platnumz hana mpango wa kuwa chini na record label yoyote
duniani. Infact hitmaker huyo amedai kuwa makampuni kibao yamewahi
kummendea yakitaka awe chini yake lakini akayapiga kibuti.
“Mimi nimeshaapprochiwa na makampuni mengi sana kutaka kunisaini, mengi sana, mengi hata wanayoyasikia, mengine wanayasikia,” Diamond ameiambia 255 kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM.
“Lakini nafikiria kwamba unapotaka kunisaini mimi unataka kunifanyia nini? Una kitu gani cha kunioffer cha kuona mimi unisaini? Video? Mimi naweza kufanya video zangu hadi za wasanii

Monday, 30 May 2016
WEMA AJIBU MAPIGO AKITEMBEA NA BAJAJI INAWAHUSU NINI??? GIGY KUMCHANA SHILOLE MAUNO
LIKE PAGE YETTU HAPA

STORI: Imelda Mtema, Wikienda
STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema
vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj
na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo hayamhusu mtu yeyote.
Akizungumza na gazeti hili juzikati,
Wema alisema kuwa anashangazwa sana na watu ambao wanafuatilia maisha
yake kila kona kwa kuwa yeye ni binadamu kama walivyo wengine
LULU DIVA AMGEUKIA BELLE 9 / NAY KUCHEPUKA
LIKE PAGE YETU HAPA
Lulu Diva
SIYO siri tena! Baada ya mkali
wa Muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuchepuka
kwa msichana wa Kihabeshi mwenye asili ya Ethiopia, aliyekuwa mpenzi
wake Lulu Abass ‘Lulu Diva’ naye ameamua kugeukia kwa staa wa muziki,
Abedinego
Sunday, 29 May 2016
BASI LA MWENDOKASI LIMEPATA AJARI
LIKE PAGE YETU HAPA
BONYEZA PICHA HII KUIONA VIDEO YA AJARI HUSIKA
Kwa taarifa iliyoifikia leo asubuhi ya May 29 2016 ni ajali iliyohusisha moja kati ya Mabasi yaendayo haraka na gari ndogo aina ya Vitz New Model eneo la Magomeni Usalama Jijini Dar es Salaam baada ya gari hizo kugongana, tunazifuatilia taarifa zaidi na nitakuwekea hapa hapa
BONYEZA PICHA HII KUIONA VIDEO YA AJARI HUSIKA

Friday, 27 May 2016
KISA CHURA SNURA ANUSULIKA KICHAPO
Bonyeza picha hapo chini kushuhudia video kali ya chura hapo
STAA wa Muziki wa Bongo Fleva,
Snura Mushi ‘Chura’ juzikati akiwa kwenye shoo iliyofanyika Masasi,
Mtwara alijikuta katika wakati mgumu baada ya kutaka kupigwa na
mashabiki kisa kikiwa eti ni kutokuimba Wimbo wa Chura ambao umefungiwa.
Kwa mujibu wa chanzo, tukio hilo lilijiri mida ya usiku katika ukumbi mmoja maarufu uliopo Masasi ambapo
Snura alikuwa akifanya shoo hapo na alipotaka kumaliza, mashabiki
walimtaka amalize na Wimbo wa Chura ndipo kizaazaa kilipoanzia na kutaka
kumpiga
ALI KIBA KUTAMBULISHA WASANII WALIOKO CHINI YA LEBAL YAKE
LIKE PAGE YETU HAPA
Bonyeza picha kumskiliza alikiba kwa njia ya video hapa
Hivi unajua kama Ali Kiba aliwahi kuwasimamia wasanii kadhaa chini ya
‘label’ yake kama tunavyoona kwa baadhi ya wasanii wa hapa nchini kwa
sasa,iliishia wapi ana mpango wa kurudi tena kusimamia wasanii.
’Hivi vitu nilikuwa navyo muda mrefu ila havikuwa ‘promoted’unajua vitu vyangu vingi huwa vinakuwa kimyakimya nilikuwa na wasanii wengi lakini nilivyopumzika kufanya muziki kipindi kile ilibidi niwapumzishe kwasababu ya vitu ambavyo vilitokea nilichukua likizo, na sasa ili niweze kukaa sawa ndio lazima waweze nao kufanikiwa katika vitu vyao vya muziki, siwezi mimi nikawa nimepumzika halafu mashabiki wakawa wamenimis halafu nikamtoa msanii na watu wanielewa,
Bonyeza picha kumskiliza alikiba kwa njia ya video hapa

’Hivi vitu nilikuwa navyo muda mrefu ila havikuwa ‘promoted’unajua vitu vyangu vingi huwa vinakuwa kimyakimya nilikuwa na wasanii wengi lakini nilivyopumzika kufanya muziki kipindi kile ilibidi niwapumzishe kwasababu ya vitu ambavyo vilitokea nilichukua likizo, na sasa ili niweze kukaa sawa ndio lazima waweze nao kufanikiwa katika vitu vyao vya muziki, siwezi mimi nikawa nimepumzika halafu mashabiki wakawa wamenimis halafu nikamtoa msanii na watu wanielewa,
WANASAYANSI WA CHINA WANATUMIA NGURUWE KUTIBU UPOFU
LIKE PAGE YETU HAPA

Sasa wamesema wana imani kwamba hilo litafaa sana kutokana na uhaba wa konea za binadamu.
Inakisiwa kuwa Wachina wapatao 5 milioni wanakabiliwa na matatizo ya konea, sehemu ya mbele ya jicho iliyo ngumu na inayowezesha miali ya mwanga kupenya.
Lakini ni konea 5,000 pekee ambazo hupatikana kila mwaka.
Wanasayansi wa Uchina wamefaulu katika tiba yao mpya ya majaribio ya kutibu upofu.
Walitumia nguruwe katika majaribio hayo ya tiba ya kuondoa upofu, ambapo walitumia konea kutoka kwa wanyama hao.Sasa wamesema wana imani kwamba hilo litafaa sana kutokana na uhaba wa konea za binadamu.
Inakisiwa kuwa Wachina wapatao 5 milioni wanakabiliwa na matatizo ya konea, sehemu ya mbele ya jicho iliyo ngumu na inayowezesha miali ya mwanga kupenya.
Lakini ni konea 5,000 pekee ambazo hupatikana kila mwaka.
Klabu ya soka yafungwa mabao 44 Ecuador
LIKE PAGE YETU HAPA

Mshambuliaji wa Pelileo Ronny Medina alifunga mabao 18.
Rais wa Indi Native Diego Culequi amesema matokeo hayo hayakutarajiwa na wachezaji hawakuwa wamezoea joto kali ambalo anasema lilichangia kushindwa kwao.
Mwandishi wa habari Mwingereza Tim Vickery, ambaye amekuwa Brazil kwa miaka 20, amesema Bon Accord kwa sasa wamejadiliwa sana katika vyombo vya habari Ecuador.
Klabu moja ya soka nchini Ecuador imepata ushindi mkubwa ambao ukiidhinishwa basi itakuwa rekodi mpya ya ufungaji mabao duniani.
Klabu
hiyo ya Pelileo Sporting Club ilicharaza Indi Native mabao 44-1 katika
mechi ya ligi ya daraja la tatu nchini humo mbele ya mashabiki 200.Mshambuliaji wa Pelileo Ronny Medina alifunga mabao 18.
Rais wa Indi Native Diego Culequi amesema matokeo hayo hayakutarajiwa na wachezaji hawakuwa wamezoea joto kali ambalo anasema lilichangia kushindwa kwao.
Mwandishi wa habari Mwingereza Tim Vickery, ambaye amekuwa Brazil kwa miaka 20, amesema Bon Accord kwa sasa wamejadiliwa sana katika vyombo vya habari Ecuador.
ANG'ATWA UUME NA NYOKA UKO THAILAND
LIKE PAGE YETU HAPA
Bonyeza picha hii kujiunga na BZTV

Madaktari wanasema kuwa Bw Attaporn ambaye alipoteza damu nyingi anaendelea vyema na
Bonyeza picha hii kujiunga na BZTV
Raia mmoja wa Thailand anaendelea
kuuuguza jeraha katika hospitali moja baada ya nyoka aina ya chatu
kutokea ndani ya choo na kumng'ata uume wake.
Attaporn
Boonmakchuay,ambaye alipoteza damu nyingi amesema kuwa nyoka hiyo
ilikuwa ikimvuta baada ya yeye na mkewe kujaribu kuipiga.Madaktari wanasema kuwa Bw Attaporn ambaye alipoteza damu nyingi anaendelea vyema na
Tuesday, 24 May 2016
CHINA HATUUZI NYAMA ZA BINADAMU AFRIKA
LIKE PAGE YETU HAPA
Wizara ya maswala ya kigeni nchini China imekana ripoti kwamba kampuni
za chakula nchini humo zinaweka nyama ya binaadamu na kuuza barani
Afrika kama nyama ya ng’ombe.
Chombo cha habari nchini humo Xhinua kimesema kuwa jarida moja nchini Zambia lilimnukuu kimakosa mwanamke mmoja ambaye hakutajwa anayeishi China.
Alisema kuwa kampuni za China zilikuwa zikichukua miili ya wafu kuitia katika viungo na kuiweka katika mikebe.
Msemaji wa China Hong Lei amesema kuwa ripoti hizo hazina uwajibikaji.
Balozi wa China nchini Zambia,Yang Youming ,amesema kuwa ripoti hizo zililenga kuharibu

WAZIRI MKUU MSTAAFU AKIWA KATIKA KIBANDA CHA MPESA AKISUBIRI MUHAMALA WAKE

Waziri
Mkuu mstaafu Mhe.Mizengo Pinda akiwa kibanda cha MPESA akisubiri
kupokea malipo ya muamala wake. Hii ni mara ya kwanza kwa mtu aliyepata
kuwa kiongozi mkubwa serikalini kuonekana hadharani akitumia huduma ya
kutoa fedha kwa njia ya simu. Kwangu naona ni mfano bora kwa viongozi,
kuishi REAL.
ALI KIBA NA KAMPUNI YA SONY .VIJUWE VIJEMBE JUU YAKE VINAVYOENDELEA
LIKE PAGE YETU FACEBOOK HAPA
bonyeza hapa kuiona interview ya king kiba hapa
Muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania unazidi kupata nafasi ya kuwa
muziki mkubwa duniani.Hii ni baada ya msanii Ali Kiba kusaini mkataba na
kampuni ya Sony , kampuni inayojihusisha na kazi ya kusimamia
wasanii.Baadhi ya wasanii wengine wakubwa wa kimataifa waliosimamiwa na
Sony ni
bonyeza hapa kuiona interview ya king kiba hapa

Monday, 23 May 2016
SPIKA.. KUNA WA BUNGE WANAINGIA BUNGENI AKIWA WAMETUMIA VILOBA NA POMBE
LIKE PAGE YETU HAPA
Kama unashangaa kusikia kwamba aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Charles Kitwanga, ametimuliwa kwa kuingia bungeni akiwa amelewa.
Bila shaka utachoka zaidi ukisikia kuna wabunge kadhaa huingia kwenye ukumbi wa Bunge wakiwa wametumia vilevi vikali zaidi vikiwamo bangi, viroba na dawa za kulevya.
Spika wa Bunge, Job Ndugai, ndiye aliyefichua siri hiyo jana.
Kutokana na hali hiyo, Ndugai alisema sasa wanafikiria kuweka vifaa maalumu vya kupima ulevi kwa watunga sheria hao na kutafuta wataalamu wa ushauri nasaha watakaowapa msaada wa kisaikolojia.

Sunday, 22 May 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)