Tuesday, 4 August 2015
BEKI HUYU MBIONI KUINGIA MAN U ..NI BAADA YA KUPOTEZA MATUMAINI YA KUMPATA RAMOS
LAYIII
Klabu ya Manchester United imekuwa ikimuwania beki wa Real Madrid ya Hispania Sergio Ramos kwa muda mrefu licha ya kuwa Real Madrid walikataa kumuuza beki huyo kwenda Manchester United kwani bado walikuwa wanahitaji huduma yake. Man United walikuwa na matumaini ya kumsajili Ramos baada ya yeye kukiri kutokuwa na furaha Real Madrid.
Baada ya Rais wa klabu ya Real Madrid Florentino Perez kutangaza kuwa wamefikia makubaliano ya kuongeza mkataba na Ramos, Man United wamebadili mawazo yao na kukubali yaishe
THAMANI YA VIPODOZI VILIVYOTEKETEZWA NA TFDA KWA MWAKA 2014/2015 HII HAPA
LAYIII

Mmlaka ya chakula na Dawa TFDA
imeatoa ripoti ya mwaka wa fedha kuhusu bidhaa mbalimbali zilizokamatwa
na kuteketezwa kwa mujibu wa sheria na hatua zilizochukuliwa.
Mkurugenzi wa TFDA Hitti Sillo
amesema katika mwaka wa fedha wamekamata na kuteketeza vipodozi
ambavyo vimepigwa marufuku tani 16.61 ambazo thamani yake ni shilingi
milioni 44.2
KAMA HUKUONA AU KUSKIA KUHUSU MWAFRIKA ALIYE VULIWA NGOZI NYEUSI NA KUVISHWA NYEUPE ILI AWE MZUNGU ONA HAPA
LAYIII
See wonderful Russian Laboratory has invented a way to remove the black Skin layer of black People
ADD US ON BBM 56899A10
This is unbelievable and yet real. According to a publication of
the Moscow Faculty of Sciences , researchers have developed a chemical
process to « w
KIJASHO KIDOGO CHAMTOKA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA KISA KUMBEBA LOWASSA UKAWA
LAYIII

Taarifa za gazeti la Uhuru la leo ni kuwa Profesa Lipumba kajiuzulu
uenyekiti CUF baada ya shinikizo kali kutoka kwa wanachama na viongozi
wa CUF wasiotoa rushwa wala kupokea rushwa wa upande wa Zanzibar
kutokana na sekeseke la yeye na al-maruhuni wenzie kumbeba Lowasa na
kutaka awe mgombea UKAWA.
ILI KUHAKIKISHA HAUPITWI NIMEKUWEKEA PICHA ZOTE ZA MKUTANO WA CHADEMA HAPA MLIMANI CITY UNAO FANYIKA LEO 4/8/2015
LAYIII
Headlines nyingine zilianza kuandikwa
Tanzania kwenye Siasa 2015, ambapo July 28 2015 Waziri Mkuu wa zamani na
Mbunge wa Monduli alikaribishwa CHADEMA na kupewa Kadi za Uanachama
yeye pamoja na mkewe, Mama Regina Lowassa.
Monday, 3 August 2015
BREAKING NEWS!!! MAAMUZI MAGUMU YA CHADEMA DHIDI YA DR SLAA
LAYIII

Hatimaye baraza kuu la Chadema
limeridhia kusimama kwa muda kufanya kazi za chama aliyekuwa katibu mkuu
wa chama hicho Dr Wilbrod Slaa.
Ni kishindo cha baraka za baraza
kuu la Chadema likiridhia kupumzika kwa Dk Wilibroad Slaa ambaye tangu
kujiunga kwa wazir mkuu mstaafu Edward Lowassa amekuwa hao
Saturday, 1 August 2015
KAULI HII NDIO INAYO MMALIZA LOWASA KABISA
LAYIII
WATANZANIA TUJIPANGE KUMPINGA LOWASSA KWA NGUVU ZOTE.
Ni napenda kuungana na watanzania wote hususani wanachama wa vyama vinavyounda
HII NDO KAULI NZITO INAYO MMALIZA LOWASA KABISA ...INAYO SAMBAA MITANDAONI
WATANZANIA TUJIPANGE KUMPINGA LOWASSA KWA NGUVU ZOTE.
Ni napenda kuungana na watanzania wote hususani wanachama wa vyama vinavyounda
KIJANA WA MIAKA 12 NUSURU AMEZWE NA CHATU
LAYIII
dah noma sana huu mtindo jamani utaisha lini eti mtu unampiga picha BADALA ya kuokoa dah it's hurt me alot jaman , kama unaona huwezi kuokoa acha ushamba fanya uwezavyo

Amezwa na Nyoka aina ya Anaconda
Friday, 31 July 2015
BATA ALIYOKULA VEE MONEY SOUTH AFRIKA YALETA GUMZO MJINI
LAYIII
Utapenda kuona matembezi aliofanya VeeMoney Johannesburg South Africa. (Pichaz)
DR SLAA AJIBU MAPIGO TUHUMA ZA KUHAMA CHADEMA
LAYIII
Uchambuzi wa magazeti umekupita? Nimefanya jitihada ya kukusogezea zile zote kubwakubwa zilizoweka headlines kwa sauti yake kabisa kutoka Redioni.

Uchambuzi wa magazeti umekupita? Nimefanya jitihada ya kukusogezea zile zote kubwakubwa zilizoweka headlines kwa sauti yake kabisa kutoka Redioni.
Lowassa na Urais CHADEMA, Dk. Slaa?, BVR Dar? Lembeli na Esther Bulaya? Jangwani.. Majibu yako hapa (Audio)
Uchambuzi wa magazeti umekupita?
Nimefanya jitihada ya kukusogezea zile zote kubwakubwa zilizoweka
headlines kwa sauti yake kabisa kutoka Redioni.
Thursday, 30 July 2015
TUKIWA KATIKA HARAKATI ZA UCHAGUZI KIGOGO AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA.... NAYO CHADEMA YAZIDI KUPAAA KATIKA ANGA YA SIASA
LAYIII

This is very big shame for our country due to these day to day events, most of our leaders are not trustful thus why tried to participate in this dangerous business that destroy our human resources

This is very big shame for our country due to these day to day events, most of our leaders are not trustful thus why tried to participate in this dangerous business that destroy our human resources
LOWASSA GUMZO OFISI ZA CHADEMA
LAYIII
Aliyekuwa Waziri mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa amechukua Fomu rasmi ya kugombea urais kupitia tiketi ya Chadema.
Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu amesema baada ya kuchukua fomu hizo Lowassa atakuwa tayari kuzunguka nchi nzima kujitambulisha kwa wananchi kama mgombea rasmi wa Chadema.
Wednesday, 29 July 2015
BREAKING NEWZ WEMA SEPETU NAYE NDANI YA UKAWA
LAYIII
Soon nitakupatia habari mpya kuhusu wema sepetu kujiunga na ukawa endelea kuwa nami na usiache kulike page yangu swaxbz

Soon nitakupatia habari mpya kuhusu wema sepetu kujiunga na ukawa endelea kuwa nami na usiache kulike page yangu swaxbz
CCM YATOA SIRI ZA LOWASSA NJE
LAYIII
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
picha na Maktba
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
picha na Maktba
Ndugu
wananchama wa Chama cha Mapinduzi-CCM ni wiki mbili tangu tulipo maliza
mchakato ndani ya chama kumpata mgombea wa Urais hapo Octoba 25, 2015.
Tuesday, 28 July 2015
BAHARI ILIYOGUNDULIWA NA WANASAYANSI KATIKA SAYARI YA MARTH YALETA KITENDAWILI KIKUBWA SANA KWA WAMAREKANI
LAYIII
WANASAYANSI wa anga kwa muda mrefu wamekuwa wakitafuta uwezekano wa maisha katika sayari nyingine, mbali na dunia.Kuna imani kuwa kwenye sayari hizo, huenda zikapatikana raslimali nyingi kwa urahisi kuliko duniani ambako binadamu wameishi mamilioni ya miaka hadi sasa.

Wataalamu hao wa anga wamekuwa wakifanya hivyo kwa muda sasa na moja ya mambo muhimu wanayoangalia ni upatikanaji wa maji. Popote maji yanapopatikana, wanaamini maisha

HIVI NDIVYO CHADEMA ILIVYO MPOKEA LOWASSA
LAYIII
July 27 2015 Mbunge James Mbatia ambaye
ni mmoja ya Viongozi wa juu wa Jumuiya ya Vyama vinavyounda umoja wa
UKAWA aliongea maneno haya baada ya Viongozi wote kukaa Kikao na
kukubaliana >>>> “Nachukua fursa hii kumualika Mheshimiwa Lowassa ajiunge na UKAWA na tuko tayari kushirikiana nae kuiondoa CCM madarakani”— James Mbatia.
Subscribe to:
Posts (Atom)