layiii
BREAKING NEWS : LOWASA AJIUNGA CHADEMA RASMI, PICHA NA VIDEO ZA KILICHOONGELEWA LEO NMEKUWEKEA
Uamuzi wa Mhe Edward Lowassa kuhama kutoka kwenye chama chake cha enzi
(CCM) na kujiunga na chama kingine cha siasa, ni uamuzi mgumu lakini
sahihi kwa kadri itakavyompendeza.
Leo, watu wanabashiri endapo
atafanya uamuzi huo, basi huo utakuwa ndio mwisho wake wa kisiasa na
hata kiuchumi, kwa madai kwamba 'madudu' yake yote yatatumiwa
kumbananisha kwenye kona na kummaliza kabisa ili asifurukute. Mmmmh!!!
Eti Lowassa Akijitoa CCM, Atafilisiwa na Kufanyiwa Hujuma, Nani Kasema?