Divaloness ajibu tuhuma za kujiuza Hyatt hotel baada ya Chat Kuvuja akichati na Danga...
Kupitia Kwenye Ukurasa wake wa Instagram ameandika haya hapa :
...
#Regrann from #divathebawse - LOL jaman wanawake wana mambo hahaha
anyways . unaambiwa alietengeneza chat zangu za so called kudanga kwenye
system ya cyber crime anaitwa Mirry au Maarufu kama Tzshade sijui nini
anaishi Dubai , alichat na mwenzie akaenda whatsapp yangu ya biashara na
ku crop kisha kuunganisha chat zake aka edit ila pia akasahau crop
vizuri 😂😂 ,
Kibarua changu kipo hatarini kuota mbawa, anayeniponza ni mke wa boss.
Boss wangu ni mtu mzima kidogo umri umeenda lakini mke wake ni kabinti
kadogo alafu bado kabichi kabisa ni kabinti ambako saizi yake ni kijana
mchapakazi kama mimi.
Nimeingia kwenye mtihani mzito mimi ni Dereva mara nyingi huwa namchukua
na
Unadhani kwanini pamoja na kuwa kinywaji na brand maarufu duniani,
Coca-Cola inaendelea kumwaga fedha nyingi kwaajili ya matangazo?
Kampuni hiyo hutumia zaidi ya dola bilioni 3 duniani kote kwaajili ya
matangazo kila mwaka. Kwanini sasa wanahitaji fedha nyingi kiasi hicho
kujitangaza wakati kila mmoja katika dunia hii anaijua Coca-Cola?
Ni hivi – matangazo hayakukumbushi uende kununua soda pale unapokuwa na
kiu – lahashaa! Kazi yake ni kuhakikisha jina lake linakaa zaidi
kichwani kwako, na ni jina ndilo unalolinunua. Kwahiyo watahakikisha
wanajitangaza ili ile nembo ya Coca-Cola ikae daima kichwani kwako.
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika
kipindi chenu chenye faida tele cha Ijue Afya Yako. Leo tutazungumzia
tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo Urinary Tract Infection
ugonjwa ambao unawasumbua sana wanawake wengi na watoto katika nchi
nyingi zinzoendelea.
Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa
wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara
yake ni kama haya:
Orodha ya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016, Jumamosi ya Oktoba
22 kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome, Afrika Kusini imetoka – kuna
vipengele tisa. Tanzania inawakilishwa na Alikiba, Diamond na Navy
Kenzo.
Hii ni orodha kamili ya wasanii waliochaguliwa kuwania tuzo hizo
Kundi la Navy Kenzo ambalo linaundwa na Aika na Nahreel limefanikiwa
kuingia katika Mchakato (Nomination) wa kutafuta washindi wa MTV Mama
Awards 2016 Kwenye kipengele cha Group Bora la Muziki Afrika,
Nimeanza na kuandika Hard Work Pays Kwasababu ni dhahiri kuwa hawa jamaa
wamefanya kazi
Kocha mpya wa timu ya taifa ya Ubelgiji Roberto Martinez amesema
mchezaji wa zamani wa klabu za Arsenal na Barcelona, Thierry, ambaye
aling’aa sana wakati akichezea timu ya taifa ya Ufaransa, atakuwa mmoja
wa wasaidizi wake.
Henry alikuwa mmoja wa wakufunzi wa timu ya vijana Arsenal lakini
akajiuzulu Julai baada ya
Tatizo la mimba kutoka au kutolewa ni jambo ambalo limewakumba kina mama
wengi walio katika umri wa kuzaa. Aidha mijadala kuhusu kuhalalishwa au
kuendelea
kuharamishwa kwa utoaji mimba ni jambo linalochukua nafasi ya mazungumzo ya kila siku katika maisha yetu.
Kwa
baadhi ya nchi, suala la utoaji mimba ni jambo lililohalallshwa
kisheria ingawa kwa nchi kama Tanzania, suala hili halijahalalishwa
isipokuwa tu pale panapokuwa na sababu za kitabibu zinazolazimisha
kufanya hivyo.
Have your Google adSense account is disapproved ??? Are you worried
about that ???...so this article will tell you, why your account is
disapproved and what you can do to approve it or what other than you can
do. Google is very strict to their policies and they have made
different policies for different countries. They always keep on
reviewing and editing all these for the benefits of publisher as well as
advertiser. New users need to have some patience in their mind. For new
users and even old bloggers they need some points to be followed right
from ...
Leo tutashauriana changamoto ya jinsi ya kujua biashara inayolipa kwenye
eneo unaloishi. Moja ya changamoto kubwa ambayo watu wengi wanakutana
nayo ni kushindwa kujua biashara gani wafanye kwenye maeneo yao ili
kuweza kupata faida.
Mara nyingi watu wamekuwa wakiomba ushauri sehemu mbalimbali ikiwemo
kwenye mitandao kuhusu biashara gani wafanye kwenye maeneo yao.
Leo nitakushauri biashara unayoweza kufanya kwenye eneo lolote unaloishi na kupata faida kubwa sana.
KUNA vita ya maneno kati ya makundi mawili ya mashabiki wa Muziki wa
Bongo Fleva, wanaowashabikia wasanii Alikiba na Nasibu Abdul ‘Diamond’,
kila upande ukidai mtu wao ndiye anajua zaidi kuliko mwingine.
Ni mjadala mpana katika mitandao ya kijamii, mitaani na hata miongoni
mwa wasanii wenyewe ambao kwa kificho au waziwazi, wamewahi kuzungumzia
nani mkali katika wawili hao ambao wote ni vijana wenye asili ya Kigoma.
Alikiba ama King Kiba, ndiye wa kwanza kuingia na kupata jina katika
Muziki wa Bongo Fleva, katikati ya miaka ya 2000 akiwa na singo yake ya
kwanza, Cinderella ndiyo ilimfungulia milango, kwani alichomoza hadi juu
ambako alidumu kwa muda mrefu.
Huenda Diamond amewahi kuimba kwa kuiga baadhi ya nyimbo za Alikiba, kwa
sababu yeye alianza kupata jina mwaka 2009, mwaka ambao mwenzake tayari
alishakuwa na albamu mtaani.
Unapotaka kufanya ulinganisho wa wawili hawa ni lazima uchague unataka
kuwalinganisha nini, vinginevyo unaweza kujikuta umewekeza katika chuki
au ushabiki, kitu ambacho hakitakiwi. Kwa mfano, vigumu kupata idadi
kamili ya mashabiki wa wasanii hao, ingawa mapokeo ya kazi zao yanaweza
kumuongoza mtu kuelewa.
Kitu kimoja cha msingi ambacho wengi wanakubaliana ni kwamba Alikiba ana
uwezo mkubwa wa kuimba na mwenye sauti nzuri kuliko Diamond. Msanii
mmoja chipukizi, Ibrahim Kidugu ‘Wizzy Rapper’ katika kibao chake cha
Kote Nisikike, kwenye mojawapo ya vesi anasema “Ali ni mwanamuziki,
Nasibu Mfanyabiashara.”
Maana ya Wizzy Rapper ni kuwa Diamond anafanya biashara ya muziki, ndiyo
maana anaonekana kuwa juu ya Alikiba ambaye anafanya muziki kwa mazoea.
Katika ubora wake, Alikiba aliwahi kukutana na mkali wa R&B duniani,
R Kelly, katika projekti iliyoitwa One8, ambapo wakali nane wa Afrika
walifanya ngoma moja iliyoitwa Hands Across Africa ambao walikuwa ni
yeye, Fally Ipupa, 2Face, Amani, Movaizhaleine, 4X4, Navio na JK.
Licha ya Kiba kufika nyumbani kwa R Kelly, studio kwake, alishindwa
kutumia ushawishi wa msanii huyo mkubwa ili aweze kumsaidia kuingia
katika soko la Marekani. Mbaya zaidi, alishindwa pia kujitangaza
kimataifa kupitia Fally Ipupa na 2Face ambao ni maarufu kuliko yeye.
Ambwene Yessaya ‘AY’ alimkutanisha Diamond na Davido wa Nigeria na
akafanya naye Ngoma ya Number One Remix. Hapa kijana yule wa Tandale
hakutaka kuishia kwa msanii huyo pekee, akaingia nchini humo na kufanya
kazi na wasanii karibu wote wakubwa, wakiwemo waliofanikiwa zaidi, P
Square.
Hiyo imempa Diamond kujulikana zaidi na kumfanya kuwa mmoja wa wasanii
wakubwa Afrika, kiasi cha wengi kuhitaji kolabo naye kutoka Afrika
Kusini, Zimbabwe, Ivory Coast na kwingineko Afrika.
SUBSCRIBE HAPA USIPITWE NA VIDEO KALI ZINAZO TUFIKIAWakuu nawasalimu!!
Ama hakika kama siku haijafika haijafika tu.July 16 2016 nilimsindikiza
binamu yangu kwa ajili ya matibabu nchini India,yeye alikuwa atangulie
na ndege ya Oman Air kupitia Muscat mpaka India ambapo mimi ningefuata
siku tisa au kumi baadae.Kwa bahati mbaya siku hiyo ilitokea "dhahama"
uwanjani hapo na safari kuahilishwa,hivyo waliondoka siku inayofuata.
BONYEZA PICHA HAPA KUONA VIDEO USIACHE KUSUBSCRIBEMsanii
wa muziki ambaye pia anafanya ‘modeling’ na utangazaji kwenye Kituo cha
Redio cha Choice FM cha jijini Dar, Gift Stanford ‘Gigy Money’
amejitangazia ushindi wa kumnasa aliyekuwa mpenzi wa Wema Sepetu, Idris
Sultan huku akitamba kuwa, sasa atamzalia mtoto.
BONYEZA HAPA KUIONA VIDEO USIACHE KULIKE COMMENT NA KUSUBSCRIBE NASI Mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
Diamond
Muimbaji huyo amesema yeye na mpenzi wake Zari wanategemea mtoto wa kiume.
“Yah kweli mimi ni baba kijacho,” Diamond alikiambia kipindi cha Leo
Tena “Natarajia Mama Tiffa anipatie tena mtoto mwingine, atakuwa wa
kiume,”
BONYEZA PICHA SUBSCRIBE NASI YOUTUBE Meneja wa mwanamuziki wa kimataifa Diamond Platnumz, Hamis Tale Tale
maarufu kwa jina la ‘Babu Tale’ hivi sasa yupo mikononi mwa polisi
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
Babu Tale amekamatwa leo na kufikishwa mahakamani hapo ili ajieleze ni
kwa nini asifungwe kwa kushindwa kutekeleza hukumu ya Mahakama
iliyomwamuru alipe fidia ya Sh250 milioni kwa makosa ya kuvunja sheria
ya Hakimiliki.
Kipindi cha ujauzito kwa mama ni kipindi muhimu sana ambacho kwa wakati
huu mama hatakiwi atumie kitu chochote cha kujitibu bila ushauri wa
daktari kwani kinaweza kudhuru mtoto lakini pia kipindi cha ujauzito ni
kipindi ambacho mama hatakiwi kunywa kileo chochote kile unachokifahamu.
Sio bia, sio spirit, wala mvinyo au wine. wanawake wengi wa siku hizi
hubeba mimba bila kufahamu kwamba wana mimba na huja kugundua baada ya
mwezi mmoja au miwili baada ya kumshindilia mtoto pombe za kutosha.tabia
hii ina madhara makubwa sana kwa mama na mtoto kama ifuatavyo...