Wednesday, 13 April 2016

HILI NALO JIBU KIJANA UKITAKA KUOA UO MANAMKE MWENYE NYOTA WENGINE MBWEMBWE

LAYIII

Kuna kitu kipo lakini watu hawajui au hawjawahi kukifikiria!! Nacho ni Nyota ya mwanamke!! Ndio nyota
Leo nimeambiwa kisa kimoja ambacho kimelipua mawazo yangu yaliyolala kwa kitu ambacho nilshakua nakuona
STORY
Kuna jamaa yangu anataka kuoa mke wa pili baada ya kuombwa na mke wa kwanza afanye hivo!!Jamaa kamuoa mke wa kwanza miaka michache iliopta na alikua mambo safi kwa sabab bahati

MBONA HATUELEWI HAMA HAMA YA WATANGAZAJI A RADIO

LAYIII

Watangazaji sasa wanabadilisha vituo kama team za soccer.

Gadner katoka Efm kaenda Clouds.

PJ na Hando wametoka Clouds wameenda Efm.

Jabir saleh na Bi Hindu wametoka Times fm wameenda Efm.

Dj Senyorita na Mami wametoka East Africa radio wameenda Clouds.

DIAMOND SIPENDI KUISHI MAREKANI NIMENUNUA NYUMBA SOUTH AFRICA

LAYIII

Msanii Diamond Platnumz amefunguka kuhusu suala la yeye kutonunua nyumba nchini Marekani kama wasanii wenzake wakubwa wa Afrika wanavyofanya.

Diamonda amefunguka hilo kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kuwa haoni umuhimu wa yeye kununua nyumba Marekani, tofauti na alivyonunua Afrika Kusini, kwani kule ilimlazimu.

MUGABE SIFI HADI NIFIKISHE MIAKA 100

LAYIII
Mugabe:Sifi hadi nifikishe miaka 100.
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Februari mwaka huu ametimiza umri wa miaka 92 lakini lengo lake anasena ni kuishi miaka 100. Mwanasiasa huyo alizaliwa Februari 21, 1924. “Nina furaha kwa sababu nakaribia kufikia umri ninaotaka. Unajua umri ninaotaka kufika, miaka 100 kwa hiyo imebaki miaka minane tu,” anasema Rais Mugabe wakati anahojiwa na Shirika la Utangazaji la Zimbabwe (ZBC).

Tuesday, 12 April 2016

SHAMSA FORD KASEMA ALIACHANA NA NAY WA MITEGO KISA MANENO YA WATU ILA KWA SASA AKISEMA WARUDIANE YUPO TAYARI

LAYIII
Ukweli vigodoro haviwezi kuisha dar bonyeza picha hii kushudia vigodoro vingine huko bichi

Baada ya kauli ya rapa Ney wa Mitego kwa mpenzi wake wa zamani, Shamsa Ford kwamba kama anachagua wasichana wa kurudiana naye atakuwa wa kwanza kutokana na ukarimu na mapenzi yake, mrembo huyo ameibuka na kufurahia kauli hiyo.
Shamsa ambaye mara zote alikuwa amepambwa na Bashasha, alidai Penzi lake na rapa huyo lilivunjwa na maneno ya watu.

TANZANIA TUMEPATA MWANAMKE WA KWANZA KUIPAISHA NDEGE AINA YA BOIENG

LAYIII
Huyu amekuwa Rubani wa Kwanza Mwanamke kuipasha ndege aina ya Boieng Tanzania.
Kati ya wanawake wa Kitanzania waliopeperusha bendera yetu vizuri nje ya nchi kielimu ni Kapteni Hilda Wendy Ringo ambaye sasa ni rubani.

Elimu yake ya sekondari aliipata katika Shule ya Tambaza jijini Dar es Salaam na baadaye Chuo Cha Urubani cha Progress Flight Academy cha jijini Pretoria, Afrika Kusini.

Ni mwanamke wa kujivunia katika nchi yetu kwa sababu amekuwa akirusha ndege yaani rubani. Amewahi kuhojiwa na vyombo mbalimbali vya habari nchini na kuhusu kazi yake hiyo anasema:
“Kurusha ndege ni jambo zuri linalofurahisha.”

BAADA YA MIAKA KADHAA LADY JAYDEE AKUTANA NA RAY C

LAYIII
Hakika vigodoro haviwezi kuisha dar bonyeza picha hii kushudia vigodoro vingine
Lady Jaydee kakutana Ray C baada ya miaka 6, Kaamua kumuandikia huu Ujumbe.
Kwa mujibu wa Diva wa Muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee, ni kwamba hawakuwahi kuonana na Diva mwenzie Ray C kwa zaidi ya miaka 6.
Sasa juzi wakali hawa wamekutana tena, japo haijawekwa wazi ni wapi lakini furaha ya Jaydee Hit maker wa Ndindindi ilikuwa kubwa kiasi cha kuandika ujumbe mzito Instagram.
“Thank you for visiting me doll( Ray C) A message of Hope: Kila Mtu Anapitia Magumu Katika Maisha

Saturday, 9 April 2016

Download | Bexy Wamusic - Vanessa [Official Audio & Video]

LAYIII

Download | Nikki Mbishi Feat. Becka Title - Kwanini Mimi [Audio]

LAYIII


Download | Lonka Brown - Ndoto Yangu [Audio]

LAYIII

Download | Mabeste Feat. Barakah Da Prince - Macho Kwa Macho / Nakuchana Leo [Audio]

LAYIII


VIWANJA VYA DAR ES SALAAM VYATAKIWA KUKARABATIWA

LAYIII


Shirikishio la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeishukuru kampuni ya bia ya Heineken ambao ni wadhamini wakuu wa michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UEFA) kwa kujitolea kufanya ukarabati wa viwanja vitatu vya mpira wa miguu vilivyopo jijini Dar es salaam.
Katika barua ya Meneja Mkuu wa Heineken nchini Tanzania, Michael Mbugu kwenda kwa wakurugenzi ya Manispaa wilaya za Ilala na kinondoni, nakala yake kutumwa kwa Rais wa TFF, imeeleza mdhamini ameelekeza nguvu zake kwenye kukarabati baadhi ya viwanja nchini ili viwe katika hali nzuri na salama ili kukuza vipaji vya vijana kwenye mchezo wa soka.

TFF YAZITAKIA HERI AZAM FC YANGA AFRICAN

LAYIII


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezitakia kila la kheri klabu za Azam FC na Young Africans ambao ni wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa itayochezwa wikiendi hii.
TFF imevitaka vilabu hivyo kupambana katika michezo inayowakabili na kuweza kufanya vizuri kwa kupata ushindi, ili kutengeneza mazingira mazuri katika michezo ya marudaino itakayochezwa Aprili 19-20 mwaka huu.

UJUMBE MZITO WAKUTWA KABURINI KWA KANUMBA

LAYIII
IMG_3360Ujumbe uliokutwa kaburini kwa Kanumba.
Stori:  Mayasa Mariwata na Gladness mallya, Ijumaa
Wakati mama yake, Flora Mtegoa (pichani), baadhi ya wasanii na mashabiki wake wakikumbuka miaka minne ya kifo cha aliyekuwa staa mkubwa wa filamu za Kibongo, Steven Charles Kanumba ‘The Great’, kumezuka sintofahamu ya kukutwa ujumbe mzito wa kimapenzi kaburini kwa msanii huyo ambao unadaiwa kuwekwa na mrembo aliyefika mahali hapo mapema wiki hii.

Thursday, 7 April 2016

NI SIKU MBILI TU AAMEDAI ANA MIMBA YANGU E NDELEA NA KISA HIKI

LAYIII
BONYEZA PICHA KUSKILIZA HADITHI KWA NJIA YA SAUTI
Wiki iliyopita ya Pasaka nilipewa taarifa na ndugu yangu sista alieolewa na muhindi, kwamba wanaomba msaada jumatatu saa6 usiku niwapeleke airport wanaelekea india, kwa sababu hawakua na gari, nikawakubalia, ilivyofika hjiyo cku nikawafuata saa 5 ucku, ili waandae mizgo yao kwanza.

Ghafla nashtuka namuona mtoto mrembo kavaa kanga ni mweupe akiwasaidia kubeba mabegi na kupakia kwenye gari, ikabidi nimuulize sista kwamba huyu dada ni nani, akanijibu ni dada wa nyumba ya pili hapo tumemuomba awe anakaa hapa kwa mda sisi tukiwa india, maana hapakua na mtu nyumba yote ile. nikamjibu OK, akili yote iliamia kwa yule mrembo.

Muda ukafika nikawapeleka airport nikakaa nao mpaka saa saba nikageuza kurudi zangu. nikasema hata lazima nirudi kulekule kwa sista nikamalizane nae yule mtoto, kwa kisingizio cha kusahau ufunguo. aisee nilikamua mafutaa mpaka mbez beach, ninakaa nao karbu umbali wa km3 toka kwao.

WAKATI MWINGINE MWANAMKE KUTOKA NDANI YA NYUMBA WANAUME MNAJITAKIA WENYEWE

LAYIII
Bonyeza picha kuskia hadithi kwa njia ya sauti
Hili suala nimelifikiria kwa kipindi kirefu sana., naona mifano mingi kupitia kwa marafiki zangu na hata ndugu zangu na watu wangu wa karibu. Unakuta mwanaume upo kwenye mahusiano ya kawaida na msichana bado hamjafunga ndoa alafu migogoro na kuachana mara kwa mara, tena unakuta wewe ndo unaachwa na huyo mwanamke alafu unambembeleza mnarudiana. Mwanamke haonyeshi upendo wowote kwako lakini

MTOTO WA DARASA LA TANO AKUTWA KAJINYONGA

LAYIII
ccccccccccccccc-zDada wa marehemu akilia baada ya mdogo wake kujinyonga.
STORI: Dustan Shekidele, Wikienda
Morogoro: Mshtuko! Mwanafunzi wa wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Mchikichini ‘B’ ya mjini hapa, Anosisye Gidion (12), ameacha viulizo kibao baada ya kujinyonga kwa kutumia kitenge cha mama yake, Judith Kilalu ‘Mama Kapipi’.

GUMZO MWANAFUNZI WA KIUME ANAYEPATA HEDHI

LAYIII
Chanzo na BBSWAHILI
UNAWEZA BONYEZA PICHAA KUJIUNGA NAMI KTK HABARI KAMILI MTU WANGU KWA NJIA YA VIDEO
https://www.youtube.com/watch?v=esy9_7JKdjk
George Fellowes ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwenye umri wa miaka 22 na anaamni kwamba hata yeye hupatwa na ''hedhi ya kiume''.
Anasema kuwa ni rafiki wa karibu wa Amber May Ellis jirani yake na hivyobasi hupata uchungu wa hedhi kila mwezi rafikiye anapopata hedhi.
Uchungu huo anasema huwa mkali hadi kulazimika kuchukua likizo ya kuwa mgonjwa.Akizungumza na Newsbeat,George anaelezea:Nadhani ni swala la kifikra kwa sababu sisi ni marafiki wa karibu sana na tuna

MUIMBAJI MAARUFU AFARIKI JUKWAANI

LAYIII
 
Huzuni na mshangao umeghubika Indonesia baada ya muimbaji maarufu Irma Bule, aliyekuwa akiwatumbuiza mashabiki wake kuanguka na kufariki dunia jukwaani
Yamkini bi Bule aliumwa na nyoka yapata dakika 45 zilizotangulia katika ''shoo yake'' iliyokuwa magharibi mwa Java Indonesia.
Vyombo vya habari vinaripoti kuwa muimbaji huyo nyota alimkanyaga kimakosa nyoka huyo ambaye alikuwa sehemu ya ''shoo'' yake na kwa bahati mbaya nyoka huyo akamuuma kwenye paja.
Japo nyoka huyo alikuwa ameng'olewa chonge zake , kwa njia moja au nyingine aliweza kum'gata na

Wednesday, 6 April 2016

MAMBA WA AJABU AUWAWA HUKO FROLIDA

LAYIII
CHANZO na bbc swahili
unaweza bonyeza picha kujiunga nami habari kwa njia ya video
Lightseyh
Mamba mkubwa mla ng’ombe ameuawa katika jimbo la Florida nchini Marekani.
Mnyama huyo alikuwa na uzani wa kilo 360.
Mwindaji Lee Lightsey amesema mamba huyo wa ukubwa wa futi 15 (4.5m) ndiye mkubwa zaidi ambaye amekumbana naye katika kipindi cha miaka 18.
Baada ya kumuua, alihitaji trekta kumbeba.
Bw Lightsey alimgundua mnyama huyo akiwa na mwelekezi wa wawindaji Blake Godwin walipokuwa

advertise here