LAYIII
Gari moja la Google linalojiendesha liligonga basi moja mjini California mwezi uliopita.Hakuna mtu aliyejeruhiwa.Sio mara ya kwanza kwa gari linalojiendesha la kampuni ya Google kuhusika katika ajali,lakini huenda ni mara ya kwanza kwa magari hayo kufanya ajali.Kampuni ya Google inataraijiwa kukutana na idara ya magari mjini California ili kuzungumzia kuhusu kisa hicho na kubaini ni nani wa kulaumiwa.

Mnamo tarehe 14 mwezi Februari gari hilo ambalo lilikuwa likisafiri kwa kasi ya kilomita 3 kwa saa liligonga basi moja la umma lililokuwa likisafiri kwa kasi ya kilomita 24 kwa saa.
Mtu aliyekuwa katika gari hilo la Google aliripoti kwamba alidhani basi hilo