Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikiaminika ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makondaakiingia Clouds Media akiwa na askari, Uongozi wa Clouds Media Group umetoa taarifa rasmi leo March 19 2017.
Taarifa imesema…>>>’Kumekuwa na habari mbalimbali kuhusu Clouds Media Group na viongozi mbalimbali akiwemo Askofu Josephat Gwajima na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda. Kiini
Waziri Nape: Nakwenda Clouds Media kuona kilichotokea, Ni kuhusu Ishu ya RC Makonda Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikiaminika ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akiingia Clouds Media akiwa na askari, Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, Nape Nnauye kupitia account yake ya twitter ameyaandika haya……
Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu
Mapema Hii Leo ameweza kuibuka na ushindi wa kishindo cha Chama cha
Wanasheria Tanganyika TLS kwa Kujizolea Asilimia 88 ya Kura Zote.
Kikwapa
ni tatizo la kutoa harufu mbaya sehemu ya kwapani katika mwili wa
binadamu. Tatizo la kikwapa husababishwa na bakteria wanaovutiwa na
jasho au unyevunyevu chini ya kwapa. Tatizo la Kikwapa ni kero kwa sababu husababisha mtu kutoa harufu inayokuwa kero kwako na kwa mtu mwingine aliyeko jirani yako.
Ili kwapa lako liwe na harufu nzuri, kavu na safi fanya yafuatayo
Paka kipande cha limao kwenye kwapa na kuacha lipate hewa safi ili kuua vijidudu na kutoa tezi za jasho kuondoa harufu mbaya
Vaa
nguo safi zenye nyuzinyuzi za asili kama pamba, hariri na sufu
zitasaidia kufyonza
Aliyekuwa
Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa,
amemtaka Rais Dkt. John Magufuli kuifuta kauli yake ya kuwataka wabunge
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wasishirikiane na wabunge wa vyama vya
upinzani.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam jumanne ya Machi 13, 2017 katika eneo la Mongo la Ndege, limeokota mwili wa mtoto wa kike aliyefahamika kwa jina la Imelda Ngonyani (13) aliyekufa maji wakati akijaribu kuvuka mto Msimbazi.
Akizungumza na waandishi wa habari Machi 14, 2017, Kamishna wa Kanda hiyo, Kamanda Simon Sirro amesema marehemu huyo kabla ya kufa maji alikuwa pamoja na wenzake watano walionusurika kifo wakielekea shule ya Msingi ya Mongo la Ndege.
Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na uzima ,Bwn Josephat Gwajima amesema kwamba, vita ndo kwanza imeanza. Ana nyaraka zote zinazoonesha uhalali wa Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwamba jina lake halisi ni Daudi Bashite na kwamba kama anabisha hakuina cheti, ajitokeze kuthibitisha swala hilo.
" Nilichorusha ni kijipande tu, matokeo yake mnayaona. Ajiyokeze akanushe swala hilo kwa evidence
Rais wa Marekani Donald Trump ametaka bunge la Congress kuchunguza ikiwa Barack Obama alitumia vibaya mamlaka yake wakati wa kampeni ya uchaguzi siku moja baada ya kudai kuwa Obama alikuwa akidukua simu zake.
Msemaji wa Trump alisema kwa uchunguzi kuhusu kuingia kwa Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani utasaidia uchunguzi huo.
Trump alitoa madai hayo kwenye mtandao wa tittwer lakini hakutoa ushahidi wowote.
Aliyekuwa mkuu wa ujasusi nchini Marekani James Clapper, wakati wa kampeni alikana
Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ambaye hivi sasa amehamia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametimiza hadi yake kwenda kuonana na Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema ambaye amepata dhamana siku ya Ijumaa na kutoka gerezani.
Muigizaji wa filamu nchini, Yobnesh Yussuf maarufu kama Batuli
amekanusha taarifa iliyotolewa na Wema Sepetu kuwa CCM haijawalipa pesa
za kampeni ya Mama Ongea na Mwanao kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.
Akizungumza na wanahabari kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Protea, Yobnesh
Yusuph ‘Batuli’ akiwa na Ndumbangwe Misayo ‘Thea’,amesema madai
aliyoyatoa Wema Sepetu hayana ukweli wowote kwa sababu
Sasa Wema Sepetu na Batuli ni mbuzi na chui, urafiki ndio umefika
mwisho. Tukio hilo limetokea baada ya Wema kukasirishwa na kitendo cha
Batuli kusema kuwa yeye alishalipwa fedha zake za kampeni na CCM.
Kupitia mtandao wa Instagram, Wema Sepetu ameweka picha ya rafiki yake
huyo wa zamani na kuandika ujumbe ambao umeashiria kuwa urafiki wao ndio
basi tena.
NI
mechi ya vita na kisasi. Ndivyo ambavyo inaweza kutafsiriwa katika
mchezo wa mahasimu wawili Simba na Yanga utakaochezwa leo kwenye Uwanja
wa Taifa, Dar es Salaam.
Mchezo
huo ni vita kwasababu ndizo timu zinazoongoza kwenye msimamo wa Ligi
Kuu Tanzania Bara kwa tofauti ya pointi mbili, Simba ikiwa na pointi 51
katika michezo 22 na Yanga ikishika nafasi ya pili kwa pointi 49 katika
michezo 21 iliyocheza.
Baada ya sauti zilizosambaa zikimuhusisha Mwigizaji Steve Nyerere na
Mama wa mwigizaji Wema Sepetu wakizungumza huku akitaja baadhi ya
viongozi mbalimbali aliodili nao kwenye sakata la Wema kushikwa na
Polisi, leo Steve Nyerere ameita Waandishi wa habari na kuongea nao.
Steve Nyerere amesema kuwa hakuna msanii hata mmoja ambaye anakidai
Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema mambo ambayo anasema Weme Sepetu
kuwa anakidai chama hicho ni uongo na uzushi mtupu.
Amesema katika wasanii mbalimbali ambao huenda walilipwa pesa nyingi
zaidi ni Wema Sepetu pamoja na
BONYEZA PICHA HAPA JIUNGE NAMI YOUTUBE HABARI KWA NJIA YA VIDEO USIACHE KULIKE SHARE NA SUBSCRIBE
Mwimbaji wa bongofleva Barnaba Boy yupo kwenye vichwa vya habari za burudani kwa zaidi ya siku 5 sasa hivi baada ya habari zinazodaiwa kwamba ameachana na Mama mtoto wake.
Barnaba amehojiwa na The weekend chat show na kusema hayo ni maneno ya watu tu ila yeye hajagombana na mama watoto wake Mama Steven japo kila mtu ana matatizo.