Thursday, 5 January 2017
WAZIRI MKUU AONYA UJENZI HOLELA MANISPAA YA KIGAMBONI

WAZIRI
Mkuu, Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Manispaa ya Kigamboni
kuhakikisha unasimamia ujenzi wa kisasa na kutenga maeneo maalumu ya
wazi katika manispaa hiyo, ili kuepusha makosa ya ujenzi holela
yaliyofanyika katika maeneo mengine jijini Dar es Salaam.
Pamoja
na hayo, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa amesema manispaa
hiyo mpya kwa sasa inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa majisafi na
salama na wakazi wake wanatumia maji ya visima pekee ambayo si safi na
salama.
SHERIA YA OBAMACARE TRUMP KUITUPILIA MBALI KWA KISHINDO
Rais Barack Obama amewahimiza
wanachama wa chama cha Democratic kupigania sheria yake ya bima ya afya
ambayo utawala wa Donald Trump umeahidi utaibatilisha upesi baada ya
kuingia madarakani.
Kwenye mkutano wa faraghani wa saa mbili, Bw
Obama aliwahimiza wabunge wa chama hicho kuitetea sheria hiyo, huku
wanachama wa Republican nao wakichukua hatua kufuta sheria hiyo.Wednesday, 4 January 2017
TOTTENHAM YASIMAMISHA CHELSE 2-0
Tottenham imefutilia mbali ndoto ya
Chelsea kutaka kuweka historia katika ligi kuu ya England kwa kushinda
michezo 14 baada ya vinara hao kuchakazwa 2-0 White Hart Lane.
Spurs
wamekwaa mpaka nafasi ya tatu ya msimamo wa ligi baada ya Dele Alli
kufunga magoli yote mawili kwa njia ya kichwa hii ikiwa ni mwishoni mwa
kipindi cha kwanza na dakika ya 54.EPUKA KUMWAMBIA MJAMZITO MANENO KAMA HAYA
Hakuna ubishi kuwa mama anapokuwa katika hali hii hupenda kuishi maisha yasiyo na bughudha ama rabsha. Pamoja na kuwa watu wengi hukubaliana na changamoto zinazowapata wanawake
ALIYEZIKWA KISIRI KUFUKULIWA

Familia moja jijini Arusha inadaiwa kumzika kwa siri mtoto wao mdogo wa kike wa miaka mitatu katika kaburi lililofichwa, huku majirani wakidanganywa kuwa binti huyo yupo hai.
Taarifa za kisa hicho cha kusikitisha zimevifikia vyombo vya usalama. Kwa sasa kuna mipango ya kuhakikisha kuwa mwili wa binti huyo, Nuru Losipha aliyezikwa kwa siri na familia yake,
ARSENAL ILIVYO PAMBANA KIUME NYUMBANI KWA BOURNEMOUTH
Arsenal imeambulia alama moja nyumbani kwa Bournemouth baada ya kutoka nyuma kwa magoli 3-0.
Ilikuwa
nii kama kutimiza lengo kwa the Gunners baada ya kufunga magoli matatu
ndani ya dakika 20, kabla ya hapo Bournemouth ambao walikuwa wenyeji
walikuwa wakiongoza kwa magoli 3-0.Alexis Sanches alianza kuiandikia bao la kwanza Arsenal dakika ya 70 kabla ya Lucas Perez
Tuesday, 3 January 2017
EWURA IMETANGAZA BEI MPYA ZA PETROL
BONYEZA PICHA HAPA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE USIACHE KUSUBSCRIBE MTU WANGU
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA) imetangaza bei mpya za Petrol, Diesel na mafuta ya Taa zinazoanza kutumika leo Jumatano huku bei ya mafuta ya Taa na Diesel ikiwa imeshuka kwa wastani wa shilingi 66 kwa lita.
KUHUSU MADAWA YA KULEVYA HAYA NI MANENO MAZITO YA LEMUTUZ

⏩BY@lemutuz_nation - Wiki hii the National Debate is MADAWA YA KULEVYA kama ulivyo ushoga it is another very sensitive Subject niliwahi huko nyuma kusema kwamba binafsi ninalifahamu sana hili la Drugs kwa sababu nimewahi kuishi at the Source of it New York City nilichokiona kwa macho yangu ni kwamba once binadam akishajikita kwenye kuyatumia madawa ya kulevya huwa anafikia kutumia Cocaine kwa njia ya kujidunga Sindano that is the end of story ni almost impossible kwa yule binadamu kuja ku recover...I am just being realistic na sio kumkatisha anybody tamaa mfumo wa Ubepari Capitalism una tabia moja ya kuheshimu walioshinda tu lakini hauna nafasi kwa walioshindwa tunawahitaji sana Investors like kutoka USA but tatizo ni kwamba wanapokuja kuwekeza wanakuja na utamaduni wao pia au the American Culture ambayo inapokuja
Thursday, 29 December 2016
Saturday, 10 December 2016
LORI LA MAFUTA LALIPUKA KENYA NA KUSABABISHA VIFO

Lori la mafuta limelipuka nje ya mji wa Nivasha nchini Kenya usiku wa Jumamosi December 10 2016 na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 40.
Taarifa iliyotolewa mapema leo December 11 2016 asubuhi na msemaji wa idara ya taifa ya mambo ya dharura nchini Kenya Pius Masai amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo na kwamba magari zaidi ya 11 yameteketezwa kwa moto katika barabara ya Nairobi-Naivasha.
ALI KIBA AJIZOLEA TUZO ZA EATVAWARD
Mgeni rasmi katika tukio hilo alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye huku msema chochote akiwa mtangazaji wa zamani wa kituo hicho, Salama Jabir.
ZIJUE SIFA 10 ZA MTU MWENYE MAPENZI YA KWELI NA WEWE
Ipo zana potofu kwamba kumfundisha mtoto mapenzi ni kumharibu, jambo ambalo si kweli bali inategemea mtoto huyo anafundishwa nini na kwa wakati gani. Lakini cha kushangaza zaidi hata watu wazima ambao ni wadau wa mapenzi hawayajui, matokeo yake wanajiingiza kwenye uhusiano wakiwa bumbumbu na hivyo kuteshwa na changamoto zinazowakabili.
Thursday, 8 December 2016
MIONGONI MWA WASANII WAKUBWA AFRICA MTANZANIA MMOJA ATAJWA
Mara nyingi tumezoea kuona list za wasanii wakubwa wakitajwa kuingiza
pesa nyingi zaidi Afrika, wiki hii imetoka list iliyoandikwa na eDaily
kupitia ripota Brian Okoth ambayo imewataja wasanii watano kutoka Afrika
wanaotajwa kuingiza pesa nyingi zaidi mwaka 2016.
5. Diamond Platnumz (Tsh. Bilioni 9,665,923,190.55)
Related imageMtanzania Diamond Platnumz huenda akawa msanii anayezungumzwa au kutajwa sana kwasasa barani Afrika kutokana na headlines anazotengeneza kila siku, mikataba yake na
5. Diamond Platnumz (Tsh. Bilioni 9,665,923,190.55)
Related imageMtanzania Diamond Platnumz huenda akawa msanii anayezungumzwa au kutajwa sana kwasasa barani Afrika kutokana na headlines anazotengeneza kila siku, mikataba yake na
Tuesday, 6 December 2016
MATAIFA YA ULAYA KUTUMA CHOMBO SAYARI YA MARS
Mawaziri wa utafiti kutoka bara
Ulaya wanaokutana mjini Lucerne, Uswizi wamesisitiza kwamba mpango wa
kutuma chombo maalum kinachoweza kusafiri kwenye sayari ya Mars mwaka
2021 bado utaendelea.
Wameahidi kutoa jumla ya euro €436m ambazo zinahitajika kufanikisha mpango huo.Mradi huo umechelewa kiasi na unagharimu pesa zaidi kuliko ilivyotarajiwa, jambo lililoibua wasiwasi kwamba mataifa wanachama wa Shirika la Anga za Juu la Ulaya (ESA) huenda wakaufuta
Subscribe to:
Posts (Atom)