LIKE PAGE YETU HAPANimeleta mada hii tujadili tuone ni wapi mtu anapokuwa sahihi na wapi mtu anakosea.
Mkataba wa ndoa unawataka wanandoa kuvumiliana katika SHIDA na RAHA.
Sasa chukulia mmeoana halafu inafikia mahali maisha yanakuwa magumu hata
milo miwili inashindikana, hivyo mwanamke anaamua kumkimbia mumewe.
Mwanaume anapobaki mwenyewe anaparangana japo maisha yanarudi kwenye
mstari, na hapo mwanamke anaanza kutaka kurudi tena kwa nguvu kwakuwa
bado ni mke halali.
LIKE PAGE YETU HAPA Dar es Salaam. Uhaba wa sukari umeendelea kushika kasi nchini
baada ya wafanyabiashara wa maduka ya jumla kuanza kuuza kwa rejareja,
huku ile nyeupe kutoka India ikipatikana kwa urahisi katika baadhi ya
maduka.
Utafiti uliofanywa na waandishi wa gazeti hili jijini Dar es Salaam,
Kahama mkoani Shinyanga na wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro, bei ya
sukari imeendelea kuwa juu huku upatikanaji wake nao ukiwa wa shida.
Baadhi ya wafanyabiashara walihojiwa walibainisha kuwa bei ya sukari kwa
kilo, inaanzia kwa Sh2,500 hadi 3,900, na bei hiyo imetofautiana
kulingana na aina ya sukari. Sukari nyeupe inauzwa kwa Sh120,000 kwa
mfuko wa kilo 50 na Sh2,500 kwa kilo kwa bei ya rejareja.
Uchunguzi wa kidaktari kutoka jimbo
la Minnesota nchini Marekani umebaini kuwa mwanamuziki Prince alikufa
kutokana na kuzidisha kiwango cha dawa.
Kwa mujibu wa madaktari
waliofanya uchunguzi huo wa kifo cha mwanamuziki Prince, wanasema
alizidisha kiwango cha dawa za kutuliza maumivu zijulikanazokama
Fentanyl .
Dawa hizo zinadaiwa kuwa na nguvu mara hamsini zaidi ya dawa za kulevya za Heroin.
Hata hivyo dawa hizo hutumika wakati wa upasuaji na hasa wagonjwa ambao miili yao ni sugu kwa
LIKE PAGE YETU HAPA
Kanisa la urefu wa mita 16 lililojengwa kwa kutumia vigae vya glasi
linalofanana na viatu vyenye visigino virefu vinavyopendwa sana na
wanawake limejengwa huko Taiwan kwa lengo la kuwavutia wanawake zaidi.
Bonyeza picha kuiona video usiache kusubscribe nami youtube Likiwa limejengwa kwa kutumia vigae vya glasi takriban 320,kanisa
hilo la rangi ya buluu lina upana wa mita 10 na limegharimu takriban
dola 686,000.
Picha iliopigwa juu ya kanisa hilo pia imeonyesha ukubwa wa kanisa hilo pamoja na uzuri wa eneo lililojengwa.
DAR ES SALAAM: Dunia imekwisha! Ndivyo
unavyoweza kusema kufuatia mastaa wa kike Bongo ambao wamekuwa vinara wa
kuweka picha zao chafu mitandaoni, kuweka wazi viwango vyao vya malipo
endapo mtu atahitaji picha zao za utupu (X).
Miongoni mwa wasanii hao ni muuza nyago maarufu Bongo, Gift Stanford
‘Gigy Money’, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, Asha Salum ‘Kidoa’ na Isabela
Mpanda ‘Bella’ ambao kila mmoja amekiri kuwa yupo tayari kupiga dili
hilo ili aweze kujiingizia ‘mkwanja’ mnono na kudai kwa sababu wao
hawatoshiriki ni picha tu hivyo hakuna ubaya.
GIGY
"Hee, ninavyoijua pesa jina langu lenyewe linajieleza, sasa nawezaje
kukataa dili la hela ikiwa sidhuriki chochote maana kama ni picha zangu
kila kukicha natupia mtandaoni, mtu si anaweza kuchukua tu, lakini mpaka
kaniomba kaniheshimu itabidi anilipe kama shilingi milioni 50.”
DIVA
"Ni kweli napiga picha zisizo na maadili kwa nchi yetu ambazo zinaweza
kumshawishi mtu kunipa dili la aina hiyo japo kwa kucheza sipo tayari,
ila picha akinipa shilingi milioni 200 nakubali anipige hizo picha.”KIDOA
Kwa kuwa hiyo pesa nitakuwa sijaitolea jasho siwezi kuiacha, nikilipwa shilingi milioni 500 napiga hilo dili kwa moyo mkunjufu
ISABELA
“Kipindi hiki pesa ilivyokuwa ngumu naanzaje kukataa, kwani
ninavyoweka picha zangu huko mtandaoni kuna mtu ananilipa na mbona
nasemwa sana, bora nikasemwa nikiwa nimefaidika tena kupitia picha yangu
tu tatizo liko wapi, nikipewa shilingi milioni 100 nakubali.”
NENO LA MHARIRI:
Ni vyema wasanii hawa wakazingatia maadili ya Kitanzania kwa kuepuka
kupiga picha za utupu kwa namna yoyote. Watafute fedha kwa njia halali
kutokana na kazi zao. Waache kuiga mastaa wa nje kama vile Rihanna, Kim
Kardashian, Amber Rose na wengineo ambao wamekuwa wakilipwa pesa ndefu
kwa kupiga picha hizo ambazo zimekuwa zikitumika kwenye majarida na
mitandao mbalimbali
Mchezaji kandanda bora barani Afrika
wa mwaka huu Pierre-Emerick Aubameyang ametawazwa kuwa mshindi wa tuzo
la mwaka huu la mchezaji bora katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga
Aubameyang
ambaye ni raia wa Gabon na mshambulizi wa Borussia Dortmund alimpiku
mshambulizi wa Bayern Munich Robert Lewandowski kwa asilimia 0.2%.
Tuzo hilo hutolewa na shirikisho la wachezaji nchini humo VDV.
''Ni furaha kubwa kutambuliwa na wachezaji wenzangu '' alisema Aubameyang
LIKE PAGE YETU HAPA Rich Mavoko ametambulishwa rasmi leo June 2 2016 kuwa chini ya lebo ya WCB inayosimamiwa na Diamond Platnumz, ikiwa ni saa kadhaa baada ya kutambulishwa Rick katuletea video mpya inaitwa ‘Ibaki Story’ ambayo imefanyika Johannesburg South Africa, ukishaitazama utuachie na comment
Taarifa hii bila shaka itakuwa yenye manufaa kwako.
Nchini Kenya, virusi hatari aina ya FIV, vinaavyofananana kabisa na
virusi vya HIV vinavyosababisha Ukimwi vimegunduliwa katika paka mmoja
kupitia uchunguzi wa kimaabara.
Hii ni baada ya uchunguzi wa kina wa damu ya paka huyo kuthibitisha
uwepo wa viini vinavyofanana kabisa na vile vinavyoathiri binaadamu.
Wafugaji wa paka na wanyama wa nyumbani wameonywa kuwapeleka wanyama wao
kufanyiwa uchunguzi wa afya wanapowashuku wanyama wao wanaugua.
Ni June 2, 2016 ambapo
label ya Wasafi inayomilikiwa na staa Diamond Platnumz inaingia kwenye
headlines za Bongo Fleva baada ya kumtambulisha rasmi msanii wao mpya Rich Mavoko ambaye anakuwa ni msanii wa nne atakayesimamiwa kazi zake katika label hiyo.
Kwa mujibu wa Diamond Platnumz alisema…’Kwasasa Label yangu inakuwa na jumla ya wasanii wanne ukiachana na Rich Mavoko kuna Dada yangu Queen Darling ambaye sijawahi kumtambulisha lakini anakuwa ni msichana wa kwanza katika label yangu kwahiyo tutakuwa na Raymond, Harmonize, Rich Mavokona Queen Darling’- Diamond Platnumz
LIKE PAGE YETU HAPA
Kama mtakumbuka serikali ilitangaza namna ya kuzigundua simu feki na orginal leo tutapata kuona kwa njia ya video namna ya kuzitambua simu hizo bonyeza picha kwenda moja kwa moja ktk video husika au shuka chini
LIKE PAGE YETU HAPA
bonyeza picha kuona video nyingine
jackline wolper pamoja na kutoka na diamond kwa sasa anamchukulia kama mkwewe.Wolper ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na zamaaradi katika kipindi chake cha take one and action. mskilize mwenyewe hapa katika hii video kama ulikosa kipindi chao mtu wangu
Msanii wa filamu, Jacqueline Wolper
baada ya kukiri kwamba anatoka kimapenzi na Harmonize, amefunguka na
kueleza madai ya kufilisiwa na Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake wa
zamani.
Akiongea katika promo ya kipindi kipya cha Take One ambacho
kinatarajiwa kuruka Jumanne hii, Wolper amedai yeye ndiye aliyetendwa na
Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake, kwani wakati anaanza naye mahusiano
alikuwa ana gari na nyumba lakini baadae akijikuta hana hata sehemu
yakulala.
LIKE PAGE YETU HAPA Diamond Platnumz hana mpango wa kuwa chini na record label yoyote
duniani. Infact hitmaker huyo amedai kuwa makampuni kibao yamewahi
kummendea yakitaka awe chini yake lakini akayapiga kibuti.
“Mimi nimeshaapprochiwa na makampuni mengi sana kutaka kunisaini, mengi
sana, mengi hata wanayoyasikia, mengine wanayasikia,” Diamond ameiambia
255 kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM.
“Lakini nafikiria kwamba unapotaka kunisaini mimi unataka kunifanyia
nini? Una kitu gani cha kunioffer cha kuona mimi unisaini? Video? Mimi
naweza kufanya video zangu hadi za wasanii
STORI: Imelda Mtema, Wikienda
STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema
vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj
na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo hayamhusu mtu yeyote.
Akizungumza na gazeti hili juzikati,
Wema alisema kuwa anashangazwa sana na watu ambao wanafuatilia maisha
yake kila kona kwa kuwa yeye ni binadamu kama walivyo wengine
SIYO siri tena! Baada ya mkali
wa Muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuchepuka
kwa msichana wa Kihabeshi mwenye asili ya Ethiopia, aliyekuwa mpenzi
wake Lulu Abass ‘Lulu Diva’ naye ameamua kugeukia kwa staa wa muziki,
Abedinego
LIKE PAGE YETU HAPA
BONYEZA PICHA HII KUIONA VIDEO YA AJARI HUSIKA Kwa taarifa iliyoifikia leo asubuhi ya May 29 2016 ni ajali iliyohusisha moja kati ya Mabasi yaendayo haraka na gari ndogo aina ya Vitz New Model eneo la Magomeni Usalama Jijini Dar es Salaam baada ya gari hizo kugongana, tunazifuatilia taarifa zaidi na nitakuwekea hapa hapa
LIKE PAGE YETU HAPA
Bonyeza picha kumskiliza alikiba kwa njia ya video hapa Hivi unajua kama Ali Kiba aliwahi kuwasimamia wasanii kadhaa chini ya
‘label’ yake kama tunavyoona kwa baadhi ya wasanii wa hapa nchini kwa
sasa,iliishia wapi ana mpango wa kurudi tena kusimamia wasanii.
’Hivi vitu nilikuwa navyo muda mrefu ila havikuwa ‘promoted’unajua vitu
vyangu vingi huwa vinakuwa kimyakimya nilikuwa na wasanii wengi lakini
nilivyopumzika kufanya muziki kipindi kile ilibidi niwapumzishe
kwasababu ya vitu ambavyo vilitokea nilichukua likizo, na sasa ili
niweze kukaa sawa ndio lazima waweze nao kufanikiwa katika vitu vyao vya
muziki, siwezi mimi nikawa nimepumzika halafu mashabiki wakawa
wamenimis halafu nikamtoa msanii na watu wanielewa,
Wanasayansi wa Uchina wamefaulu katika tiba yao mpya ya majaribio ya kutibu upofu.
Walitumia nguruwe katika majaribio hayo ya tiba ya kuondoa upofu, ambapo walitumia konea kutoka kwa wanyama hao.
Sasa wamesema wana imani kwamba hilo litafaa sana kutokana na uhaba wa konea za binadamu.
Inakisiwa
kuwa Wachina wapatao 5 milioni wanakabiliwa na matatizo ya konea,
sehemu ya mbele ya jicho iliyo ngumu na inayowezesha miali ya mwanga
kupenya.
Lakini ni konea 5,000 pekee ambazo hupatikana kila mwaka.
Klabu moja ya soka nchini Ecuador imepata ushindi mkubwa ambao ukiidhinishwa basi itakuwa rekodi mpya ya ufungaji mabao duniani.
Klabu
hiyo ya Pelileo Sporting Club ilicharaza Indi Native mabao 44-1 katika
mechi ya ligi ya daraja la tatu nchini humo mbele ya mashabiki 200.
Mshambuliaji wa Pelileo Ronny Medina alifunga mabao 18.
Rais
wa Indi Native Diego Culequi amesema matokeo hayo hayakutarajiwa na
wachezaji hawakuwa wamezoea joto kali ambalo anasema lilichangia
kushindwa kwao.
Mwandishi wa habari Mwingereza Tim Vickery, ambaye
amekuwa Brazil kwa miaka 20, amesema Bon Accord kwa sasa wamejadiliwa
sana katika vyombo vya habari Ecuador.