Monday, 28 March 2016
WALIOKATA TIKETI ZA CHAD KUREJESHEWA PESA ZAO
LAYIII
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania
Timu ya taifa ya Chad ‘Les Sao’ ilijiondoa katika michuano ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) itakayofanyika mwaka 2017 nchini Gabon kutokana na matatizo ya kifedha.
Mashabiki wa soka waliokuwa
wamenunua tiketi za mechi kati ya timu ya taifa ya Tanzania na Chad
ambayo imetibuka watarejeshewa fedha zao.
Rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) Jamal Malinzi amesema utaratibu unawekwa kuwarejeshea mashabiki pesa zao.Timu ya taifa ya Chad ‘Les Sao’ ilijiondoa katika michuano ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) itakayofanyika mwaka 2017 nchini Gabon kutokana na matatizo ya kifedha.
CHAD YAJIONDOA, TANZANIA MASHAKANI
LAYIII

CAF: Chad yajiondoa mashindanoni na kuicha Tanzania Taifa Stars mashakani
Katika barua iliyotumwa kwa shirikisho la soka la Tanzania,mwenyekiti wa shirikisho la soka la Chad
CAF: Chad yajiondoa mashindanoni na kuicha Tanzania Taifa Stars mashakani
Chad imejiondoa kutoka kwenye
kinyang'anyiro cha kufuzu kwa dimba la mataifa ya Afrika linalotarajiwa
kufanyika mwakani huko Gabon.
Shirikisho la soka la Chad limefikia kauli hiyo kutokana na ukosefu wa fedha.Katika barua iliyotumwa kwa shirikisho la soka la Tanzania,mwenyekiti wa shirikisho la soka la Chad
RAC ANASWA KAZIMIKA
LAYIII
Ray C akiwa hoi na kinachodaiwa kuwa ni utumiaji wa madawa ya kulevya.
Ray C akiwa hoi na kinachodaiwa kuwa ni utumiaji wa madawa ya kulevya.
Stori: Musa Mateja, Wikienda
DAR ES SALAAM: LICHA ya kutumia nguvu nyingi kukanusha habari zinazochapishwa na Magazeti Pendwa ya Global Publishers kuwa, amerejea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’, hatimaye staa wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amenaswa ‘laivu’ akiwa ‘ameangusha gari’ kando ya barabara, habari ndiyo hiyo!

Ray C ambaye kila anapoandikwa na
Magazeti ya Global kuhusu kurejea kwenye unga, amekuwa
Sunday, 27 March 2016
KUHUSIANA NA LILE KANISA LA AJABU NIMEKUSOGEZEA PICHA HAPA
LAYIII
Je ulikosa kuiona ile video ya kijana aliyefariki tangu mwaka 2013 kisha kuonekana mwaka huu basi bonyeza picha yoyote hapo chini

The church originated in USA and spread very fast in EUROPE, ASIA and now its found in some of African countries such as Nigeria, Cameroon, South Africa, the people that pray in this church are very cool and they believe that they are praying to the real GOD

UFAHAMU UGONJWA WA PRESHA YA KUPANDA NA MATIBABU YAKE.. [HYPERTENSION]
LAYIII
Je ulipitwa na video ya mtoto aliyekuwa amekufa toka mwaka 2013 basi bonyeza picha hii hapa
Hypertension ni nini? Huu ni ugonjwa ambao hugunduliwa pale presha ya damu inapokua juu sana kupita kiwango chake cha kawaida.
Kawaida damu inasukumwa na moyo kwenda sehemu mbalimbali za mwili lakini nguvu inayotumika kusukuma damu hiyo kutoka moyoni kwenda sehemu zote za mwili na ile ambayo inakuwepo kwenye mishipa ya damu wakati damu inapita ndio inaitwa presha ya damu. Hivyo binadamu yeyote lazima awe na

WEMA SEPETU FILAMU YA DAY TO DAY YAINGIA MITINI
LAYIII
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO YA NYANI ALIVYOKUWA AKIMBEMBELEZAA MMEWE
KUMBE HATA KWA WANYAMA
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO YA NYANI ALIVYOKUWA AKIMBEMBELEZAA MMEWE
KUMBE HATA KWA WANYAMA
Wema
Sepetu ni bingwa wa kutumia gharama kubwa kufanya filamu na kutengeneza
kiu kubwa kwa mashabiki wake halafu then mradi unageuka kuwa kama album
ya Detox ya Dr Dre, ambayo haijawahi kutoka hadi leo.
MSANII TEKNO MILES KUNOGESHA TAMASHA LA JOHNNIE WALKER “GROWN & SEXY THE GOLD FINALE”
LAYIII
Mkurugenzi
wa Straight up Vibes Omary Abood (wa kwanza kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla iliyofanyika katika
hoteli ya Serena jijini Dar es salaam ya kumtambulisha rasmi Msanii
Tekno Miles (Katikati) ambaye anatarajiwa kuburudisha katika Tamasha la
mwisho la “Grown and Sexy, the Gold finale” litakalofanyika katika
ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga karibu na Best Bite katika mkesha
wa mwaka mpya.
Dj
rasmi wa msanii Jay Z wa Marekani al maarufu kama “Young Guru”
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla
iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam ya
kumtambulisha rasmi Msanii Tekno Miles (Katikati) ambaye anatarajiwa
kuburudisha katika Tamasha la mwisho la “Grown and Sexy, the Gold
finale” litakalofanyika katika ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga
karibu na Best Bite katika mkesha wa mwaka mpya. Dj huyo atasimamia
vilivyo kazi yake katika shughuli nzima ya Tamasha
MAMBO AMBAYO WANAUME WANAKOSEA WAKATI WA KUMTONGOZA MWANAMKE
LAYIII
BONYEZA PICHA HAPA KUONA VIDEO KALI KISHA JISAJIRI YOUTUBE NA MIMI ILI KILA SIKU UPATE VIDEO MPYA ZA MATUKIO MBALI MBALI
1.PAPARA
wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka

Saturday, 26 March 2016
WAGOMBEA URAHISI MAREKANI WAGOMBANA KISA WAKE ZAO
LAYIII
Chanzo na bbc wahili
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE

Wagombea wa urais nchini Marekani kupitia tiketi ya chama cha Republican Ted Crus na Donald Trump walirushiana cheche za matusi katika mjadala
Chanzo na bbc wahili
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Wagombea wa urais nchini Marekani kupitia tiketi ya chama cha Republican Ted Crus na Donald Trump walirushiana cheche za matusi katika mjadala
Wagombeaji wawili wa Urais wa chama cha Republican nchini Marekani wamegombana vikali na kurushiana matusi juu ya wake zao.
Seneta
wa Texas, Ted Cruz, amemlaumu mpinzani wake, mfanyabiashara Donald
Trump kwa kuzusha uvumi kuwa yeye alikuwa mzinifu na kumdanganya mkewe,
Heidi.RONALDO ASHINDWA NA PENALTI
LAYIII
BONYEZA PICHA JIUNGE NAMI YOUTUBE

Portugal ilitawala mechi hiyo lakini mlinzi wa Bulgaria Leiria alikataa katakata kuwapisha washambuliaji wa
BONYEZA PICHA JIUNGE NAMI YOUTUBE
Mshambuliaji wa Real Madrid
Cristiano Ronaldo alikosa penalti kwa mara ya pili mfululizo huku timu
yake Portugal ikipoteza nyumbani dhidi ya Bulgaria katika mechi ya
kirafiki.
Marcelinho alifunga bao lake la kwanza na hivyobasi
kuwapatia wageni hao uongozi katika kipindi cha kwanza alipofunga kupita
pasi nzuri.Portugal ilitawala mechi hiyo lakini mlinzi wa Bulgaria Leiria alikataa katakata kuwapisha washambuliaji wa
KAMA HUKUJUA VIDEO ZA JUSTIN BIEBER ZATAZAMWA MARA BILION 10 MTANDANION
LAYIII
BONYEZA PICHA NJOO YOUTUBE KUCHEKI VIDEO KALI

Kutazamwa kwa video zake mara bilioni 4 kulifanyika baada ya Septemba mwaka jana na mwanamuziki
BONYEZA PICHA NJOO YOUTUBE KUCHEKI VIDEO KALI
Mwanamuziki Justin Bieber amevunja rekodi ya Vevo kwa video yake kutazamwa mara bilioni 10.
Msanii
huyo wa Canada ambaye alitoa kibao kipya Purpose in Novemba alipata
idadi hiyo katika kipindi cha miaka sita na miezi mitatu au siku 2,316.Kutazamwa kwa video zake mara bilioni 4 kulifanyika baada ya Septemba mwaka jana na mwanamuziki
JE UNAJUA KUHUSU KANISA JIPYA LA BEYONCE ( THE NATIONL CHURCH OF BEY )
LAYIII
Msanii Beyonce knowles wa marekani ameacha maswali mengi baada ya kuanzisha kanisa lake na kuliita "THE CHURCH OF BEY"
bonyeza picha kushuhudia na usiache kujiunga nami youtube bofya picha yoyote
means church of Beeyonce Ambapo yeye ndio Mungu wa kanisa hilo na maelfu ya watu wanamuabudu kwa jina la "mother bey"

Friday, 25 March 2016
NA NOLNIZ | 2 PAC NI MZIMA AMWANDIKIA BARUA YA KURUDI NYUMBANI WILLOW SMITH ............Udaku na (bzudaku)
LAYIII
bonyeza picha kuiona video ya nyani akichezea .............. BONYEZA PICHA YOYOTE
Willow Smith ameonesha picha ya barua yake aliyomuandikia legend wa music wa Hip Hop duniani, Tupac Shakur aliyefariki hata kabla ya Willow kuzaliwa
Huku hili likitokea, bado ule uvumi kwamba mama yake na Willow Smith, Jada Pinket Smith alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Late Tupac Shakur na kwamba inawezekana waliamua kutengeneza (danganya) mazingira ya kifo chake na yeye kuhamia Cuba.

GUMZO MTANDAONI JARIDA LA PICHA ZA PLAYBOY KUUZWA SASA
LAYIII
BONYEZA PICHA JIUNGE NAMI YOUTUBE
Jalada la jarida moja la Playboy
BONYEZA PICHA JIUNGE NAMI YOUTUBE
Kampuni inayochapisha majarida ya picha za utupu ya Playboy huenda ikauzwa, ripoti nchini Marekani zinasema.
Kampuni
hiyo ya Playboy huenda ikauzwa zaidi ya $500m (£354m), kwa mujibu wa
duru zilizonukuliwa na mashirika ya habari yakiwemo Wall Street Journal
na Financial Times.Thursday, 24 March 2016
ZITTO KABWE AFUNGUKA TENA KUHUSU RUSHWA KAMATI YA BUNGE AWATAJA TAKUKURU
LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Zitto juzi alitangaza kujiuzulu katika Kamati Bunge Huduma za Jamii
aliyokuwa akihudumu kwa madai ya baadhi ya wajumbe kupokea rushwa.
Kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii wa 'Facebook' Mbunge Zitto amesema kwamba hatua inayochukuliwa na TAKUKURU ni hatua nzuri itakayopelekea ukweli kujulikana na watakaokutwa na makosa kuchukuliwa hatua stahiki.
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii wa 'Facebook' Mbunge Zitto amesema kwamba hatua inayochukuliwa na TAKUKURU ni hatua nzuri itakayopelekea ukweli kujulikana na watakaokutwa na makosa kuchukuliwa hatua stahiki.
Subscribe to:
Posts (Atom)