Friday, 25 March 2016

NA NOLNIZ | 2 PAC NI MZIMA AMWANDIKIA BARUA YA KURUDI NYUMBANI WILLOW SMITH ............Udaku na (bzudaku)

LAYIII
bonyeza picha kuiona video ya nyani akichezea .............. BONYEZA PICHA YOYOTE
Willow Smith ameonesha picha ya barua yake aliyomuandikia legend wa music wa Hip Hop duniani, Tupac Shakur aliyefariki hata kabla ya Willow kuzaliwa
Huku hili likitokea, bado ule uvumi kwamba mama yake na Willow Smith, Jada Pinket Smith alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Late Tupac Shakur na kwamba inawezekana waliamua kutengeneza (danganya) mazingira ya kifo chake na yeye kuhamia Cuba.

GUMZO MTANDAONI JARIDA LA PICHA ZA PLAYBOY KUUZWA SASA

LAYIII
BONYEZA PICHA JIUNGE NAMI YOUTUBE

PlayboyJalada la jarida moja la Playboy 
Kampuni inayochapisha majarida ya picha za utupu ya Playboy huenda ikauzwa, ripoti nchini Marekani zinasema.
Kampuni hiyo ya Playboy huenda ikauzwa zaidi ya $500m (£354m), kwa mujibu wa duru zilizonukuliwa na mashirika ya habari yakiwemo Wall Street Journal na Financial Times.

Thursday, 24 March 2016

ZITTO KABWE AFUNGUKA TENA KUHUSU RUSHWA KAMATI YA BUNGE AWATAJA TAKUKURU

LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE

Zitto juzi alitangaza kujiuzulu katika Kamati Bunge Huduma za Jamii aliyokuwa akihudumu kwa madai ya baadhi ya wajumbe kupokea rushwa.

Kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii wa 'Facebook' Mbunge Zitto amesema kwamba hatua inayochukuliwa na TAKUKURU ni hatua nzuri itakayopelekea ukweli kujulikana na watakaokutwa na makosa kuchukuliwa hatua stahiki.

YANGA YAJIANDAA KUKABILIANA NA AL AHLY

LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Yanga
 Kikosi cha Yanga
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Hans van der Pluijm, amesema atahakikisha wanafanya maandalizi mazuri kuweza kuikabili timu ya Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Raundi ya Pili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika .
Yanga imefuzu hatua hiyo baada ya kuitoa APR ya Rwanda kwa jumla ya mabao 3-2 kwa mechi

ULIKOSA KULIONA GOLI LA SAMATTA NIMEKUWEKEA HAPA MTU WANGU

LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
March 23 2016 Taifa Srars ilicheza na Chad katika uwanja wa Idriss Mahamat Chad, Taifa Stars ikiwa ugenini, ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na nahodha wa timu hiyo Mbwana Samatta dakika ya

Wednesday, 23 March 2016

NDEGE KUBWA KUPITA ZOTE DUNIANI KUZINDULIWA

LAYIII
UNATAKA KUJUA NAMNA YA KUHACK FACEBOOK ACC BASI USIJALI BONYEZA PICHA YOYOTE HAPA CHINI
https://www.youtube.com/watch?v=M3iWPmDcf5g
The Airlander 10 ina urefu wa mita 92 ikiwa ni mita 18 zaidi ya urefu wa ndege ya kawaida.
Picha mpya za ndege ndefu zaidi duniani zimetolewa kabla ya kuzinduliwa kwa mara ya kwanza.
Ndege hiyo inayojulikana kama (The Airlander 10) ina urefu wa mita 92 ikiwa ni mita 18 zaidi ya urefu wa ndege ya kawaida.

GUMZO LA WANASAYANSI POVU LA CHURA DAWA YA VIDONDA

LAYIII
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO YA MWANAMKE ALIYEKUWA AKICHEZA OFISINI KIMAHABA
Chura
Povu linalotengenezwa na vyura wadogo kwa ajili ya kulinda mayai yao linaweza kuponya majeraha ya wagonjwa walioungua, wanasema wanasayansi.
Povu gumu linaweza kukusanywa na kutumiwa katika mchakato wa matibabu kama kizuizi baina ya bandeji na ngozi iliyoungua, wanaamini.

RAIS MPYA WA FIFA NDANI YA SUDANI YA KUSINI

LAYIII
Rais mpya wa FIFA Gianni Infantino amefungua afisi ya shirikisho la kandanda la Sudan Kusini katika safari yake ya kwanza ya kimataifa tangu achaguliwe rais wa shirikisho hilo la soka duniani mwezi uliopita.

.
Infantino alilakiwa kwa shangwe na vigelegele na wenyeji wake.
Aidha Infantino alitumia ziara hiyo kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.

BABU TALE AIYONA AFYA YA CHID BENZ AMKIMBIZA KWENYE MATIBABU

LAYIII
Mastaa kadhaa wa Tanzania walitumia time yao kumuongelea rapper Chidi Benz akiwemo staa wa bongo hiphop Fid Q ambaye alisema Chidi Benz asisimangwe wala kunyooshewa kidole kwa kutelezea kwenye utumiaji wa dawa za kulevya bali asaidiwe… ambapo baada ya kuonekana kwenye D’Wikend chat show ya CloudsTV watu walianza kusambaza picha zake za zamani na muonekano wake wa sasa akionekana 

Tuesday, 22 March 2016

TUHUMA ZA RUSHWA KAMATI YA BUNGE ZITTO KABWE AMEJIHUZURU UJUMBE WA KAMATI YA JAMII

LAYIII
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI BZTV

TUHUMA ZA RUSHWA KAMATI ZA BUNGE: Mbunge Zitto amejiuzulu ujumbe wa Kamati ya Huduma za Jamii. Amwandikia Spika kumuomba achunguze na

WEMA DIAMOND MTANIITA CHIZI (OOOPSS JAPO YA ZAMANI INAUZITO WAKE ) Udaku for fans3###########

LAYIII
BONYEZA PICHA KUZAMA KATIKA VIDEO YA UBUYU USIACHE KUSUBSCRIBE YOUTUBE
https://www.youtube.com/watch?v=M3iWPmDcf5g

 Mwanadada wema sepetu amzidi kuonesha mapenzi aliyonanyo kwa kijana mkuu wa WCB – Diamond Platnumz baada ya kuamua kufunguka kwa mara nyingine tena juu yake kama inavyosomeka katika maneno hayo hapo chini…

MJUE DANGOTE HAPA KWA MUJIBU WA FORBES

LAYIII
 BONYEZA PICHA HII KUJISAJILI NA MERIDIAN UJISHINDIE MILIONI 10 KILA SIKU
https://meridianbet.co.tz/index2.jsp?affiliate=9051&campaign=8930&refer=aIQdLFigObtprhErnczA4A#!join 
Aliko Dangote, president of Dangote group, is now richer than Donald Trump, Republican front runner; Roman Abramovich, owner of Chealsea football club and Oprah Winfrey, the richest black woman, put together. 
BONYEZA PICHA HAPA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Aliko Dangote, president of Dangote group, is now richer than Donald Trump, Republican front runner; Roman Abramovich, owner of Chealsea football club and Oprah Winfrey, the richest black woman, put together.

Dangote, who came in at the 51st position of the 2016 ranking by Forbes Magazine, is also richer than the

Monday, 21 March 2016

LULU MAHAKAMA YAZUNGUMZIA KIBALI CHAKE CHA KWENDA NIGERIA

LAYIII
Stori: Sifael Paul, Wikienda
Dar es Salaam: Mwisho wa malumbano! Tofauti na inavyodaiwa kuwa staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alikiuka maagizo ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ya kutoka nje ya nchi kufuatia kesi inayomkabili ya kifo cha mwigizaji Steven Kanumba, Ijumaa Wikienda limechimba ukweli.

BONYEZA PICHA JIUNGE NAMI YOUTUBE ILI VIDEO KALI ZA MATUKIO ZISIKUPITE MTU WANGU
_tubongetz (1)Staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu.
Stori: Sifael Paul, Wikienda
Dar es Salaam: Mwisho wa malumbano! Tofauti na inavyodaiwa kuwa staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alikiuka maagizo ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ya kutoka nje ya nchi kufuatia kesi inayomkabili ya kifo cha mwigizaji Steven Kanumba, Ijumaa Wikienda limechimba ukweli.

DIAMOND ATEKETEZA MILLIONI 100 ULAYA

LAYIII
Stori: Erick Evarist na Musa Mateja, Wikienda
DAR ES SALAAM: Kufuru! Ndilo neno pekee linaloweza kuakisi takriban Sh. milioni 100 ambazo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameziteketeza akiwa na msururu mrefu wa wanafamilia wa Wasafi Classic Baby (WCB) barani Ulaya, akianzia nchini Ujerumani kufanya shoo sambamba na kula bata, Wikienda linakupa habari kamili.

BONYEZA PICHA HII JISAJIRI NA USHINDE MILIONI 100 KILA UTAKAPO BASHIRI MECHI
UKIBONYEZA HAPA UTAJIUNGA MOJA KWA MOJA BILA PROMO CODE 
https://meridianbet.co.tz/?affiliate=9051&campaign=8930&refer=aIQdLFigObtprhErnczA4A#!join
unaweza bonyeza icha kujiunga nami youtube
vlcsnap-2016-03-19-13h35m55s944Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na familia yake.
Stori: Erick Evarist na Musa Mateja, Wikienda
DAR ES SALAAM: Kufuru! Ndilo neno pekee linaloweza kuakisi takriban Sh. milioni 100 ambazo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameziteketeza akiwa na msururu mrefu wa wanafamilia wa Wasafi Classic Baby (WCB) barani Ulaya, akianzia nchini Ujerumani kufanya shoo sambamba na kula bata, Wikienda linakupa

Sunday, 20 March 2016

KIZUNGU CHA SHILOLE CHA KADILIWA KUMPA MASHABIKI WENGI KATIKA ANGA ZAKE ZA MZIKI

LAYIII
Kwa utafiti uliofanyika na swaxbz.com inaonekana kwamba kama shilole ataendelea kutumia swaga zake za uongeaji wa kizungu chake cha kuchekesha chekesha basi itamsaidia sana kumpa kiki na kuufanya mziki wake uendelee kukua.
BONYEZA PICHA UJICHEKEE MWENYEWE KIZUNGU ANACHOTUMIA SHILOLE AKIWA KATIKA MATAMASHA YAKE NDANI NA NJE YA NCHI
show flani amizing aliyowahi kuifanya shilole
 https://www.youtube.com/watch?v=iAzdoV5TW1Y
Msanii Shilole au Shishi Baby, anatafuta mwalimu wa kumnoa kwenye lugha ya kingereza, ikiwa ni maandalizi ya kuonana na msanii wa Marekani Nicki Minaj.
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Shilole amendika tangazo akimtaka mtu ambaye ni mwalimu wa lugha hiyo kuwasiliana, ili aweze kuanza mafunzo hayo.

MKONGO AZIDI KUWACHANGANYA MASOGANGE , JACLINE WOLPER

LAYIII
Ojuku Abraham
UNA mshkaji anaitwa Mwami Radjabu, wadau wanamtaja kama kijana mwenye uraia wa nchi jirani ya Kongo (DRC), kwamba ni mfanyabiashara mwenye ukwasi wa kutosha. Kutokana na mkwanja wa kutosha alionao, ana ukaribu na akina dada wengi wa Kibongo, hasa hawa wenye majina katika tasnia ya filamu, wenyewe tukiwajua zaidi kama Bongo Muvi
JE UNAPENDA KUKAA BILA PESA BASI KAMA UNATAKA KUTENGENEZA PESA BONYEZA PICHA HAPA JIUNGE NA MERIDIAN KICHA ANZA KUBET SASA NA UJISHINDIE PESA YA KUTOSHA
MASOGANGE5Ojuku Abraham
UNA mshkaji anaitwa Mwami Radjabu, wadau wanamtaja kama kijana mwenye uraia wa nchi jirani ya Kongo (DRC), kwamba ni mfanyabiashara mwenye ukwasi wa kutosha. Kutokana na mkwanja wa kutosha alionao, ana ukaribu na akina dada wengi wa Kibongo, hasa hawa wenye majina katika tasnia ya filamu, wenyewe tukiwajua zaidi kama Bongo Muvi.

RIPOT INAONYESHA WAPAKA RANGI WANATEMBEA NA WAKE ZA WATU SANA

LAYIII
STORI: Waandishi Wetu, Ijumaa
Dar es Salaam: Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia masaji za miguu wanawake, wamegandwa na skendo ya kutembea na wateja wao hao huku mazingira ya kazi yao yakitajwa kuwa chanzo, Ijumaa lina ripoti ya kutisha!
 JE UNATAKA KUTENGENEZA PESA UMEKAA BONYEZA PICHA KUBETONLINE NA MERIDIAN MTU WANGU WA NGUVU JISAJIRI SASA
Rangi
 Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia masaji za miguu wanawake wakiendelea na kazi yao.
STORI: Waandishi Wetu, Ijumaa
Dar es Salaam: Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia masaji za miguu wanawake, wamegandwa na skendo ya kutembea na wateja wao hao huku mazingira ya kazi yao yakitajwa kuwa chanzo, Ijumaa lina ripoti ya kutisha!

Saturday, 19 March 2016

UKIKUTA MAHUSIANO YAKO YA KIMAPENZI HAKUNA VITU HIVI BASI PITA KUSHOTO

LAYIII
NI VEMA UKAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA:
1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote.
2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa.
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI KTK VIDEO HOTS YOUTUBE USIACHE KUSUBSCRIBE NAMI YOUTUBE
https://www.youtube.com/watch?v=M3iWPmDcf5g
3.Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema.
4. Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote.
5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu.
6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi.

ISHUDIE HII MWIZI AKIMNG`ANG`ANIA POLISI APELEKWE KITUONI

LAYIII
Kama alivyokutwa huyu mwizi kariakoo huku raia wakimuomba afande awaachie mwizi huyo angalau dakika 5 wamlainishe mtuhumiwa apate kwenda vizuri
 BONYEZA PICHA KUSHUDIA AJALI YA MOTO YA KITUO CHA MAFUTA HUKO SUMBAWANGA
 
Kama alivyokutwa huyu mwizi kariakoo huku raia wakimuomba afande awaachie mwizi huyo angalau dakika 5 wamlainishe mtuhumiwa apate kwenda vizuri polisi,Lakini kilisikika kilio kutoka kwa mwizi huyo aliyejitambulisha kwa jina la alfani akisema” kaka mkubwa afande twende wote sentro kaka watanimaliza

CHIDI BENZI WATANZANIA NISAIDIENI

LAYIII
Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema bado uwezo kimuziki anao lakini wale aliowaita wadau walioushikilia muziki wamemtupa.
BONYEZA PICHA KUONA ILE VIDEO YA VOLCANO ILIYO TOKEA NDANI YA MAJI
https://www.youtube.com/watch?v=8B2S3rtS304
Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema bado uwezo kimuziki anao lakini wale aliowaita wadau walioushikilia muziki wamemtupa.
Amesema wakati wa kilele chake, alikuwa akifanya show kila siku katika wiki, lakini kwa sasa mambo yamebadilika kabisa. “Matatizo yangu na stress zangu ambazo niko nazo zinanisababishia mwili wangu

advertise here