Sunday, 20 March 2016

KIZUNGU CHA SHILOLE CHA KADILIWA KUMPA MASHABIKI WENGI KATIKA ANGA ZAKE ZA MZIKI

LAYIII
Kwa utafiti uliofanyika na swaxbz.com inaonekana kwamba kama shilole ataendelea kutumia swaga zake za uongeaji wa kizungu chake cha kuchekesha chekesha basi itamsaidia sana kumpa kiki na kuufanya mziki wake uendelee kukua.
BONYEZA PICHA UJICHEKEE MWENYEWE KIZUNGU ANACHOTUMIA SHILOLE AKIWA KATIKA MATAMASHA YAKE NDANI NA NJE YA NCHI
show flani amizing aliyowahi kuifanya shilole
 https://www.youtube.com/watch?v=iAzdoV5TW1Y
Msanii Shilole au Shishi Baby, anatafuta mwalimu wa kumnoa kwenye lugha ya kingereza, ikiwa ni maandalizi ya kuonana na msanii wa Marekani Nicki Minaj.
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Shilole amendika tangazo akimtaka mtu ambaye ni mwalimu wa lugha hiyo kuwasiliana, ili aweze kuanza mafunzo hayo.

MKONGO AZIDI KUWACHANGANYA MASOGANGE , JACLINE WOLPER

LAYIII
Ojuku Abraham
UNA mshkaji anaitwa Mwami Radjabu, wadau wanamtaja kama kijana mwenye uraia wa nchi jirani ya Kongo (DRC), kwamba ni mfanyabiashara mwenye ukwasi wa kutosha. Kutokana na mkwanja wa kutosha alionao, ana ukaribu na akina dada wengi wa Kibongo, hasa hawa wenye majina katika tasnia ya filamu, wenyewe tukiwajua zaidi kama Bongo Muvi
JE UNAPENDA KUKAA BILA PESA BASI KAMA UNATAKA KUTENGENEZA PESA BONYEZA PICHA HAPA JIUNGE NA MERIDIAN KICHA ANZA KUBET SASA NA UJISHINDIE PESA YA KUTOSHA
MASOGANGE5Ojuku Abraham
UNA mshkaji anaitwa Mwami Radjabu, wadau wanamtaja kama kijana mwenye uraia wa nchi jirani ya Kongo (DRC), kwamba ni mfanyabiashara mwenye ukwasi wa kutosha. Kutokana na mkwanja wa kutosha alionao, ana ukaribu na akina dada wengi wa Kibongo, hasa hawa wenye majina katika tasnia ya filamu, wenyewe tukiwajua zaidi kama Bongo Muvi.

RIPOT INAONYESHA WAPAKA RANGI WANATEMBEA NA WAKE ZA WATU SANA

LAYIII
STORI: Waandishi Wetu, Ijumaa
Dar es Salaam: Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia masaji za miguu wanawake, wamegandwa na skendo ya kutembea na wateja wao hao huku mazingira ya kazi yao yakitajwa kuwa chanzo, Ijumaa lina ripoti ya kutisha!
 JE UNATAKA KUTENGENEZA PESA UMEKAA BONYEZA PICHA KUBETONLINE NA MERIDIAN MTU WANGU WA NGUVU JISAJIRI SASA
Rangi
 Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia masaji za miguu wanawake wakiendelea na kazi yao.
STORI: Waandishi Wetu, Ijumaa
Dar es Salaam: Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia masaji za miguu wanawake, wamegandwa na skendo ya kutembea na wateja wao hao huku mazingira ya kazi yao yakitajwa kuwa chanzo, Ijumaa lina ripoti ya kutisha!

Saturday, 19 March 2016

UKIKUTA MAHUSIANO YAKO YA KIMAPENZI HAKUNA VITU HIVI BASI PITA KUSHOTO

LAYIII
NI VEMA UKAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA:
1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote.
2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa.
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI KTK VIDEO HOTS YOUTUBE USIACHE KUSUBSCRIBE NAMI YOUTUBE
https://www.youtube.com/watch?v=M3iWPmDcf5g
3.Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema.
4. Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote.
5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu.
6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi.

ISHUDIE HII MWIZI AKIMNG`ANG`ANIA POLISI APELEKWE KITUONI

LAYIII
Kama alivyokutwa huyu mwizi kariakoo huku raia wakimuomba afande awaachie mwizi huyo angalau dakika 5 wamlainishe mtuhumiwa apate kwenda vizuri
 BONYEZA PICHA KUSHUDIA AJALI YA MOTO YA KITUO CHA MAFUTA HUKO SUMBAWANGA
 
Kama alivyokutwa huyu mwizi kariakoo huku raia wakimuomba afande awaachie mwizi huyo angalau dakika 5 wamlainishe mtuhumiwa apate kwenda vizuri polisi,Lakini kilisikika kilio kutoka kwa mwizi huyo aliyejitambulisha kwa jina la alfani akisema” kaka mkubwa afande twende wote sentro kaka watanimaliza

CHIDI BENZI WATANZANIA NISAIDIENI

LAYIII
Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema bado uwezo kimuziki anao lakini wale aliowaita wadau walioushikilia muziki wamemtupa.
BONYEZA PICHA KUONA ILE VIDEO YA VOLCANO ILIYO TOKEA NDANI YA MAJI
https://www.youtube.com/watch?v=8B2S3rtS304
Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema bado uwezo kimuziki anao lakini wale aliowaita wadau walioushikilia muziki wamemtupa.
Amesema wakati wa kilele chake, alikuwa akifanya show kila siku katika wiki, lakini kwa sasa mambo yamebadilika kabisa. “Matatizo yangu na stress zangu ambazo niko nazo zinanisababishia mwili wangu

Friday, 18 March 2016

MAHUSIANO YALIYOPO KATI YA OMMMY DIMPOZ NA DIAMOND PLATNUMZ YANATIA KIGUGUMIZI ........

LAYIII
“Hapa hakuna mambo ya kufichaficha, kwamba haina noma hata jana nilikuwa naye. Vitu viko wazi vinaonekana hatuko karibu kama zamani, hilo liko wazi. Lakini itakapotokea huko mbele mimi sina tatizo kabisa,” amesema.
BONYEZA PICHA KUSUBSCRIBE NAMI YOUTUBE

Ommy Dimpoz aliwahi kuwa rafiki mkubwa wa Diamond lakini urafiki wao kwa sasa umeonekana kupungua au haupo kabisa.

Hitmaker huyo wa ‘Achia Body’ ametueleza hali ilivyo sasa.

Amesema hana ukaribu sana na Diamond kwa sasa lakini hana tatizo naye.

MHADHIRI ALIYE IGIZA FILAMUN YA NGONO AJIUZURU

LAYIII
Mhadhiri mmoja mashuhuri wa somo la kemia katika chuo kimoja kikuu nchini Uingereza amejiuzulu baada ya kugunduliwa kuwa amekuwa akiishi maisha mara mbili.
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO NAMI YOUTUBE USIACHE SUBSCRIBE NAMI 
Goddard
Mhadhiri mmoja mashuhuri wa somo la kemia katika chuo kimoja kikuu nchini Uingereza amejiuzulu baada ya kugunduliwa kuwa amekuwa akiishi maisha mara mbili.
Amekuwa akifunza kama Profesa na vilevile kuigiza kisiri katika filamu za ngono.

SIMBA ATOROKA KATIKA HIFADHI NA KUJERUHI KENYA

LAYIII
Wiki kadhaa zimepita tangu Simba 6 walioripotiwa kutoroka kwenye hifadhi ya wanyamapori ya Nairobi Park na kuonekana wakielekea mji wa Langata.
BONYEZA PICHA HAPO CHINI KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Wiki kadhaa zimepita tangu Simba 6 walioripotiwa kutoroka kwenye hifadhi ya wanyamapori ya Nairobi Park na kuonekana wakielekea mji wa Langata.
Leo March 18 2016 inaripotiwa tena Simba mmoja ametoroka kutoka Hifadhi ya Taifa ya Nairobi nchini

Wednesday, 16 March 2016

MAJIMBO YOTE MUHIMU NCHINI MAREKANI NGOME YA TRUPH

LAYIII
Donald Trump amepiga hatua katika kukaribia kutwaa tiketi ya kuwania urais kupitia chama cha Republican nchini Marekani baada ya kushinda mchujo majimbo matatu makubwa, likiwemo jimbo la Florida.
Bilionea huyo kutoka New York ameshinda majimbo ya Illinois na North Carolina.Hata hivyo ameshindwa na John Kasich jimbo la Ohio.
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Trump
Mgombea anayeongoza chama cha Democratic Hillary Clinton naye amepanua uongozi wake kwa kupata ushindi majimbo ya Florida, Ohio, Illinois na North Carolina.
Marco Rubio, mmoja wa waliotarajiwa kutoa ushindani kwa Trump katika chama cha Republican amejiondoa baada ya kushindwa na Trump katika jimbo lake la nyumbani la Florida.

ULIIPATA HII YA MAGUFULI KUHUSU VIJANA WOTE KUFANYA KAZI BASI JIUNGE NAMI HAPA

LAYIII
Rais wa Tanzania John Magufuli amelalamikia tabia ya vijana wengi kukaa vijiweni na kucheza pool badala ya kufanya kazi mijini na maeneo ya mashambani. Rais Magufuli ametoa wito kwa wakuu wa mikoa kuhakikisha watu wanafanya kazi hususani vijana.
MSIKILIZE RAIS MAGUFULI HAPA BONYEZA PICHA
 Magufuli
Rais wa Tanzania John Magufuli amelalamikia tabia ya vijana wengi kukaa vijiweni na kucheza pool badala ya kufanya kazi mijini na maeneo ya mashambani.
Rais Magufuli ametoa wito kwa wakuu wa mikoa kuhakikisha watu wanafanya kazi hususani vijana.
"Haiwezekani vijana wawe wanashinda vijiweni wanacheza pool, wakati wazee na akina mama wapo

PICHA YA UTUPU WA KIM KARDASHIAN ZAFUTWA AUSTRALIA

LAYIII

Picha iliochorwa ya utupu wa Kim Kardashian imefutwa siku chache tu baada kuchorwa na msanii mmoja mjini Melbourne nchini Australia. Picha hiyo ilichorwa na msanii Lush Sux katika ukuta mmoja wa makaazi ya mji huo. Lakini picha hiyo yenye urefu wa mita 10 ilirushiwa rangi mbali na kuwekewa maandishi machafu yalioandikwa chini yake.
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE KUONA VIDEO HOTShttps://www.youtube.com/watch?v=Wi8fn43BXLM
Picha iliochorwa ya utupu wa Kim Kardashian imefutwa siku chache tu baada kuchorwa na msanii mmoja mjini Melbourne nchini Australia. Picha hiyo ilichorwa na msanii Lush Sux katika ukuta mmoja wa makaazi ya mji huo. Lakini picha hiyo yenye urefu wa mita 10 ilirushiwa rangi mbali na kuwekewa maandishi machafu

Tuesday, 15 March 2016

UNAJUA MILIONI 50 ALIZOSHINDA KAYUMBA HUKO BONGO STAR SEARCH ZILITUMIKAJE BASI JIUNGE NAMI HAPA

LAYIII
Baada ya mshindi wa Bongo Star Search, Kayumba Juma kushinda kiasi cha pesa za kitanzania Milioni 50 bado ameonekana kukaa kwenye kambi ya Mkubwa na Wanawe.
Stori zinazo endelea mtaani juu ya mshindi wa Bongo Star Search Kayumba Juma ni kuwa toka ashinde shindano hilo na kukabidhiwa milioni 50, bado anaishi kwa kufadhiliwa katika kituo cha Mkubwa na Wanawe.

BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE

JE KUNA UKWELI KUHUSU RAIS MAGUFULI KUWAPUZIA MARAIS WASTAAFU ULINZI ........ UKWELI WOTE HAPA

LAYIII
Kwenye Gazeti la JamboLEO, toleo namba 2381 la tarehe 15 March 2016 limechapisha taarifa yenye kichwa cha habari kisemacho Magufuli awapunguzia ulinzi marais wastaafu
Taarifa yake kamili ipo katika ukurasa wa nne na inaeleza kuwa Rais Magufuli amewapunguzia

Monday, 14 March 2016

UNAJUA KUWA MAMA DIAMOND ALITOBOA KISA CHA ZARI NA MAISHA YAKE BONGO

LAYIII
Source na Bongoswagzz.com
Mama mzazi wa staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ametoboa siri ya mkaza mwanaye, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kushindwa kuishi Bongo na badala yake kukimbilia nchini Afrika Kusini ‘Sauz’.

UNATAKA KUONA ILE VIDEO YA DADA ALIYEKUWA AKICHEZA OFISINI BASI BONYEZA PICHA HII CHINI


Mama mzazi wa staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ametoboa siri ya mkaza mwanaye, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kushindwa kuishi Bongo na badala yake kukimbilia nchini Afrika Kusini ‘Sauz’.

Sunday, 13 March 2016

VIJUE VIWANJA VYA NDEGE HATARI DUNIANI

LAYIII
Wakati Tanzania magari yanasimama treni ipite spain magari yanasimama ndege ipite mtu wangu. Kuna hatari nyingi sana duniani na hii ni moja ya hizo hatari….. inanishtua hata mimi kuona kiwanja cha ndege kipo pembeni ya bahari yani Pilot akikosea kidogo tu inakua stori nyingine, tazama hii video hapa chini.
PICHA ZOTE NA LINK YA VIDEO ZA VIWANJA VYA MAAJABU NA HATARI DUNIANI

(JE ULIIJUA HII ) GARI LINALOJIENDESHA LA GOOGLE LAGONGA BASI

LAYIII
Gari moja la Google linalojiendesha liligonga basi moja mjini California mwezi uliopita.Hakuna mtu aliyejeruhiwa.Sio mara ya kwanza kwa gari linalojiendesha la kampuni ya Google kuhusika katika ajali,lakini huenda ni mara ya kwanza kwa magari hayo kufanya ajali.Kampuni ya Google inataraijiwa kukutana na idara ya magari mjini California ili kuzungumzia kuhusu kisa hicho na kubaini ni nani wa kulaumiwa.
 







https://www.youtube.com/watch?v=9sM6NHl7Xzw
Mnamo tarehe 14 mwezi Februari gari hilo ambalo lilikuwa likisafiri kwa kasi ya kilomita 3 kwa saa liligonga basi moja la umma lililokuwa likisafiri kwa kasi ya kilomita 24 kwa saa.
Mtu aliyekuwa katika gari hilo la Google aliripoti kwamba alidhani basi hilo

KAMA HUKUJUA HIZI NDIO SIMU ZITAKAZO ACHA KUTUMIA WHATSUP YAANI ZITATUPWA NA WHATSUP APPL

LAYIIII
Huduma ya WhatsApp haitatumika tena katika simu zinazotumia mifumo kadha ya programu ikiwemo Blackberry 10, Nokia Symbian S60 na Windows Phone 7.1.
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO YA NAMNA YA KUHACK FACEBOOK
WhatsApp 
Kampuni ya Facebook inayomiliki huduma hiyo imesema inataka kuangazia kustawisha “huduma katika mifumo inayotumiwa na watu wengi.”
WhatsApp, itaacha kufanya kazi katika mifumo hiyo ya programu kufikia Desemba 2016.
Licha ya kuacha kutumika katika simu nyingi za Blackberry, WhatsApp bado itaendelea kutumiwa katika simu za kisasa zaidi za Blackberry kwa sababu simu hizo hutumia mfumo wa Android.

KAINGIA KITANZINI BAADA YA KUSEMA MUGABE NI MZEE

LAYIII
Afisa mmoja wa polisi amefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe baada ya kulaumiwa kwa kusema kuwa rais Robert Mugabe ambaye sasa ana umri wa miaka 92 ni mzee sana kuwa kiongozi. Thomson Joseph Mloyi pia anadaiwa kumtusi mkewe rais Mugabe, Grace, kuwa kahaba kwa mujibu wa gazeti la kibinafsi nchini humo.
 BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI MATUKIO KWA NJIA YA VIDEO



Rais Mugabe

Afisa mmoja wa polisi amefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe baada ya kulaumiwa kwa kusema kuwa rais Robert Mugabe ambaye sasa ana umri wa miaka 92 ni mzee sana kuwa kiongozi.

Saturday, 12 March 2016

MBADALA WA DK SLAA CHADEMA HUYU HAPA

LAYIII
Usiku wa March 12 2016, Chadema imeweka kumbukumbu mpya ya kumpata Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Vicent Mashinji anayechukua nafasi ya Dk. Wilbroad Slaa, kwenye kikao cha Baraza kuu la Chadema nimekusogezea sentensi zake na picha baada ya kuupata Ukatibu Mkuu.
BONYEZA PICHA KUSHUDIA VIDEO YA SHANGWE ZA CHADEMA
Usiku wa March 12 2016, Chadema imeweka kumbukumbu mpya ya kumpata Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Vicent Mashinji anayechukua nafasi ya Dk. Wilbroad Slaa, kwenye kikao cha Baraza kuu la Chadema nimekusogezea sentensi zake na picha baada ya kuupata Ukatibu Mkuu.
Image00002
Wajumbe wa Baraza kuu Chadema wa pili kulia ni Tundu Lissu.

advertise here