Sunday, 5 July 2015
SHIRIKISHO LA SOKA NIGERIA LATOA UAMUZI MGUMU DHIDI YA KOCHA WAKE
LAYIII
Shirikisho la soka Nigeria NFF baada ya kupitiwa taarifa za Kamati ya Nidhamu, Ufundi na Maendeleo. limefikia uamuzi wa kumtimua kazi kocha mkuu wa timu ya Taifa ‘Super Eagles’, Steven Keshi kuendelea kuifundisha timu hiyo

Uamuzi mgumu wa uongozi wa Shirikisho la soka Nigeria kwa kocha wa timu ya Taifa…
Shirikisho la soka Nigeria NFF baada ya
kupitiwa taarifa za Kamati ya Nidhamu, Ufundi na Maendeleo. limefikia
uamuzi wa kumtimua kazi kocha mkuu wa timu ya Taifa ‘Super Eagles’, Steven Keshi kuendelea kuifundisha timu hiyo.
DIAMOND ATOA SALUT KWA AY KATIKA PAGE YAKE YA FACEBOOK SOMA HAPA
LAYIII
LAYIII
NA KATIKA KOMBE LA DUNIA LA WANAWAKE JAPANI KUCHUANA NA MAREKANI
LAYIII
Fainali:Japan kuchuana na Marekani
Mabingwa watetezi Japan watajaribu
kulihifadhi taji lao la kombe la dunia upande wa wanawake wakati ambapo
wanakutana na Marekani kwa kipute cha fainali ya kombe hilo kwa mra ya
pili mfululizo.
KATIKA MASHINDANO YA CCOPA AMERICA CHILE YACHUKUA USHINDI
LAYIII

Chile imewashinda Argentina kupitia kwa mikwaju ya penalti na kushinda kombe kubwa zaidi kati ya nchi za Marekani ya kusini la Copa Amerika.

KIMENUKA ZITTO ATAJA WALIOFICHA FEDHA BENK
LAYIII
Jana Zitto Kabwe alikua akiwahutubia wakazi wa jiji la Dar es salaam katika viwanja vya Mwembe Yanga na kutaja orosha ya majina ya Watanzania wlaioficha mabilioni ya fedha katika benki ya Uswis.

Hata ni maneno aliyoyazunguza:-

Sentensi nne za Zitto Kabwe akiwataja Watanzania walioficha fedha benki ya Uswis (Pichaz&Audio)
Jana Zitto Kabwe alikua akiwahutubia wakazi wa jiji la Dar es salaam katika viwanja vya Mwembe Yanga na kutaja orosha ya majina ya Watanzania wlaioficha mabilioni ya fedha katika benki ya Uswis.
Hata ni maneno aliyoyazunguza:-
Saturday, 4 July 2015
IKULU YA JK YAVAMIWA NA KITOTO kauli ikulu si ya babako ndo inatumika kwa sana
LAYIII
"IKULU SIO YA BABA'KO"!
Hii ni kauli ambayo inatumika kwenye Project Mpya ya kisiasa inayovuma nchini kwa jina la DJ (Dogo Jembe).
Projekti hii, yenye uwekezaji mkubwa na inayofanyika kwa viwango vya hali ya juu vya kiteknolojia katika uzalishaji na usambazaji wake, inamtumia kijana wa umri chini ya miaka 18, ambaye anataja mifano ya changamoto za nchi na kuzishangaa ni kwa namna gani zinashindwa kutatuliwa wakati inawezekana!
Kinachoipa nguvu hii projekti, ni namna ambavyo DJ huyo ameweza 'kuchukua' fomu ya Urais kupitia CCM na kutia nia ya kujitosa kwenye uongozi huo wa juu, ili kuweza kuwafundisha mafisadi cha kufanya katika kuiletea nchi maendeleo kwa upande wa afya, elimu, miundombinu na kadhalika.
Kwa namna inavyoendeshwa, hakuna shaka kwamba ina 'mkono mzito' wa mmoja wa watia nia ya urais nchini. Ni jambo jema, lakini usiri wake unazua maswali lukuki.
Watu wengi sasa wanajiuliza; Je, Ni nani aliye nyuma ya hii projekti? Ni nini haswa 'motive' ya hii projekti? Anafaidikaje kutokana na huu uwezekezaji?
Sasa basi, Napenda tusugue vichwa kwa pamoja, na tuanze kuunganisha nukta ili kuweza kumtambua muhusika wa hili suala.
Tuko nyakati za mambo mengi sasa kisiasa, kwahiyo ni vema tukajua michezo yote inayochezwa, iwe misafi ama michafu ili tusije tukaachwa feri!

Dondoo: Huu mradi
unamiliki tovuti ya kisasa, vipande vya video vimerekodiwa kwa ubora wa
hali ya juu, Kurasa zake kwenye mitandao ya kijamii zimedhaminiwa, na
waandishi wa habari wenye wafuasi wengi pia wanashiriki kuisambaza
(mfano, MillardAyo).
STARS NA UGANDA ZATOKA SARE 1-1
LAYIII
ANZANIA imetupwa nje ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya sare ya 1-1 jioni ya leo Uwanja wa Nakivubo, Kampala, Uganda.
Matokeo hayo yanamaanisha, Stars imetolewa kwa kipigo cha jumla cha mabao 4-1, baada ya awali kufungwa 3-0 katika mchezo wa kwanza wa Raundi hiyo ya kwanza visiwani Zanzibar wiki mbili zilizopita.
Dakika 45 za kwanza zilimalizika kukiwa hakuna timu iliyopata bao na kipindi cha pili na kipindi cha pili, John Bocco ‘Adebayor’ alianza kuifungia Tanzania kwa penalti dakika ya 53 kwa penalti.
Penalti hiyo ilitolewa baada ya beki wa Uganda kuunawa mpira uliopigwa na mshambuliaji wa Tanzania, Rashid Mandawa.
ANZANIA imetupwa nje ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya sare ya 1-1 jioni ya leo Uwanja wa Nakivubo, Kampala, Uganda.
Matokeo hayo yanamaanisha, Stars imetolewa kwa kipigo cha jumla cha mabao 4-1, baada ya awali kufungwa 3-0 katika mchezo wa kwanza wa Raundi hiyo ya kwanza visiwani Zanzibar wiki mbili zilizopita.
Dakika 45 za kwanza zilimalizika kukiwa hakuna timu iliyopata bao na kipindi cha pili na kipindi cha pili, John Bocco ‘Adebayor’ alianza kuifungia Tanzania kwa penalti dakika ya 53 kwa penalti.
![]() |
Kikosi cha Taifa Stars kilichotoa sare ya 1-1 na Uganda leo Kampala |
WEMA SEPETU APATA BONGE LA SHAVU KATIKA SAFARI YAKE YA UBUNGE NA JOSE CHAMELEON
LAYIII
Jose Chameleone yupo tayari kumsaidia Wema Sepetu kwenye harakati zake za kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.

Jose Chameleone aahidi kumpiga jeki Wema kwenye safari yake ya kuwania ubunge
Jose Chameleone yupo tayari kumsaidia Wema Sepetu kwenye harakati
zake za kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.
Petit ambaye ni mmoja wa watu walio karibu na Wema amepost screeshot
kwenye Instagram ya mazungumzo na Chameleone kwenye WhatsApp.
NUHU MZIWANDA HANA CHAKE ALIYE ZAA NA SHILOLE ANENA YAKE
LAYIII
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
Hata hivyo alipoulizwa kama anasikia wivu anasikia na kumuona Shilole akila raha na mpenzi wake mpya msanii Nuh Mziwanda alisema kuwa haoni wivu kwa kuwa Nuh anakula makombo yake kwani yeye ndiye aliyeanza kuwa na msanii huyo.
‘’Sioni wivu kabisa miye ndiyo niliyeanza huyo Nuh anakula makombo yangu,hata hivyo mimi nina mke na familia yangu huku Igunga,’aliongeza Makala.
Msanii Shilole alipoulizwa alisema kuwa hawezi kumzungumzia mwanaume huyo ambaye hajui kama mtoto wake anaishi vipi,anasoma wapi, na anakula nini.
‘’Huwa sipendi kabisa kumzungumzia mwanaume huyo ambaye hajui mtoto wake anaishi vipi,anasoma wapi na anakula nini,’’alijibu Shilole.
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
ule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema Makala.Hata hivyo alipoulizwa kama anasikia wivu anasikia na kumuona Shilole akila raha na mpenzi wake mpya msanii Nuh Mziwanda alisema kuwa haoni wivu kwa kuwa Nuh anakula makombo yake kwani yeye ndiye aliyeanza kuwa na msanii huyo.
‘’Sioni wivu kabisa miye ndiyo niliyeanza huyo Nuh anakula makombo yangu,hata hivyo mimi nina mke na familia yangu huku Igunga,’aliongeza Makala.
Msanii Shilole alipoulizwa alisema kuwa hawezi kumzungumzia mwanaume huyo ambaye hajui kama mtoto wake anaishi vipi,anasoma wapi, na anakula nini.
‘’Huwa sipendi kabisa kumzungumzia mwanaume huyo ambaye hajui mtoto wake anaishi vipi,anasoma wapi na anakula nini,’’alijibu Shilole.
EBANA EEE UNAJISKIAJE UKIKUTANA NA MPENZI ANAYEKUPA MAJIBU HAYA
LAYIII
Eti ukiwa unachat mpenzi wako anakupa majibu kama haya unamchukuliajeee
mfano
1.ukimwambia kila ukimwambia bby i love you much au nakupenda sana mpenzi wangu
yeye hujibu asante au thanks badala ya kusema i love you too mpenzi wangu
2.ukimtumia vocha hukaa kimya ukimpigia hujibu asante nimeipataa.
3.ukimwambia nimekumic mpenzi wangu hujibu asante au thanks au k thanks
4.ukimwambia kuhusu sex huandika k au sawa au bila kujibu
jee unamuongeleajee mpenzi kama huyu kwa wale wataalamu saikolojia
Hivi Unamchukuliaje Mpenzi Wako Mwenye Majibu Kama Haya Ukichat Nae

mfano
1.ukimwambia kila ukimwambia bby i love you much au nakupenda sana mpenzi wangu
yeye hujibu asante au thanks badala ya kusema i love you too mpenzi wangu
2.ukimtumia vocha hukaa kimya ukimpigia hujibu asante nimeipataa.
3.ukimwambia nimekumic mpenzi wangu hujibu asante au thanks au k thanks
4.ukimwambia kuhusu sex huandika k au sawa au bila kujibu
jee unamuongeleajee mpenzi kama huyu kwa wale wataalamu saikolojia
CUBA SHANGWE TUPU HAKUNA UKIMWI WALA KASWENDE
LAYIII
Mafanikio hayo ya kutajika yanafuatia kampeini ya muda mrefu
miongoni mwa wanawake waja wazito ambao wamekuwa wakishauriwa kuanza
kupokea matibabu mapema na kufanyiwa vipimo mahsusi ilikujua hali ya
afya ya mama na mwanaye .
WHO inatumai kuwa mafanikio hayo ya Cuba yataigwa na mataifa mengine.
Shirika la afya duniani WHO, limethibitisha kuwa Cuba imemaliza kabisa maambukizi ya ukimwi kutoka kwa mama mzazi na Kaswende.
Mkuu wa shirika hilo WHO, Daktari Margaret Chan, ametaja ufanisi huo kuwa ''ni mkubwa zaidi kuwahi kutokea kwa afya ya umma.''WHO:Cuba haina Kaswende, ukimwi kwa watoto
WHO inatumai kuwa mafanikio hayo ya Cuba yataigwa na mataifa mengine.
WAZIDI KUFANYA NGONO ETI DAWA YA UKIMWI IMEPATIKANA WACHANGANYIKIWA BAADA YA DAWA HIYO KUKOSOLEWA
LAYIII

Kwa muda mrefu wahudumu wa afya ya
masuala ya ngono wamesisitiza matumizi ya mipira ya kondomu kama mbinu
bora zaidi dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Lakini tabia moja hatari ya kutumia madawa ya kulevya na wapenzi wa jinsia moja inazidi kuibua wasiwasi.Dawa mpya ya ukimwi yakosolewa
Kwa muda mrefu wahudumu wa afya ya
masuala ya ngono wamesisitiza matumizi ya mipira ya kondomu kama mbinu
bora zaidi dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Lakini tabia moja hatari ya kutumia madawa ya kulevya na wapenzi wa jinsia moja inazidi kuibua wasiwasi.RAMAMEL FALCAO ATINGA CHELSEA
LAYIII
Chelsea imemsajili mshambuliaji wa klabu ya Monaco Radamel Falcao kwa makubaliano ya mkopo lakini kuna uwezekano wa kuongeza kandarasi hiyo na kuwa ya kudumu.

Chelsea yamsajili Radamel Falcao
Chelsea imemsajili mshambuliaji wa
klabu ya Monaco Radamel Falcao kwa makubaliano ya mkopo lakini kuna
uwezekano wa kuongeza kandarasi hiyo na kuwa ya kudumu.
Falcao
mwenye umri wa miaka 29 alicheza kama mchezaji wa mkopo katika kilabu ya
Manchester United na kufanikiwa kufunga mabao manne katika mechi 29.MAN U YA FUJA PAUNI MILLION 100 KISA USAJIRI MZITO PIA ................
LAYIII
Manchester City wanatarajiwa kutumia pauni milioni 100 ili kuwasajli wachezaji wapya msimu huu baada ya vikwazo walivyowekewa kuhusu ununuzi wa wachezaji kuondolewa na UEFA.
City ilipigwa faini ya pauni milioni 49 na kulazimishwa kutoa kikosi chenye upungufu wa wachezaji 21 msimu uliopita baada ya kukiuka sheria za UEFA.

Ununuzi wa mchezaji wa Aston Villa Fabian Delph atakayegharimu
Manchester City wanatarajiwa kutumia pauni milioni 100 ili kuwasajli wachezaji wapya msimu huu baada ya vikwazo walivyowekewa kuhusu ununuzi wa wachezaji kuondolewa na UEFA.
City ilipigwa faini ya pauni milioni 49 na kulazimishwa kutoa kikosi chenye upungufu wa wachezaji 21 msimu uliopita baada ya kukiuka sheria za UEFA.
Mancity kutumia pauni milioni 100 msimu huu
Lakini baada ya kuafikia masharti hayo ,timu hiyo sasa iko huru kuwasaka wachezaji wapya akiwemo Paul Pogba,Kevin De Bruyne na Raheem Sterling.Ununuzi wa mchezaji wa Aston Villa Fabian Delph atakayegharimu
NYOMI YA JITOKEZA KATIKA KINYANG`ANYIRO CHA MILLIONI HAMSINI
LAYIII
Pazia la shindano la kuimba Bongo Star Search mwaka 2015, limeanza rasmi leo mkoani Mwanza ambapo usaili umefanyika kwenye hoteli inayojulikana kama Lakairo.
Shindano hilo linaloibua vipaji vya
vijana mwaka huu lina kauli mbiu mpya ya ‘Kuwa Original Chagua Original’
ambayo inawahimiza vijana kujitokeza na kuonesha vipaji vyao.
BSS 2015 kazi imeanza mwanza, picha 15 za usaili ziko hapa
Pazia la shindano la kuimba Bongo Star Search mwaka 2015, limeanza rasmi leo mkoani Mwanza ambapo usaili umefanyika kwenye hoteli inayojulikana kama Lakairo.
Shindano hilo linaloibua vipaji vya
vijana mwaka huu lina kauli mbiu mpya ya ‘Kuwa Original Chagua Original’
ambayo inawahimiza vijana kujitokeza na kuonesha vipaji vyao.
Shindano hilo la kusaka vipaji vya
kuimba kwa mwaka linatafanya usaili mikoa 5 ambapo Mwanza July 4-5 ndani
ya ukumbi wa La kairo, July 11-12 Arusha ukumbi wa Triple 7,
Friday, 3 July 2015
ULIPITWA NA MAGAZETI YA LEO CHEKI HAPA
LAYIII
Wakati vikao vya juu vya CCM vikikaribia kuanza mchakato wa kumpata mgombea Urais wa chama hicho, mji wa Dodoma umeanza kupokea wageni kutoka maeneo mbalimbali.

StoriKUBWA >> Makao Makuu CCM Dom.. Waliosimamishwa Bungeni, Hakimu Feki Mahakamani !!
MWANANCHI
Wakati vikao vya juu vya CCM vikikaribia
kuanza mchakato wa kumpata mgombea Urais wa chama hicho, mji wa Dodoma
umeanza kupokea wageni kutoka maeneo mbalimbali.
Uchunguzi uliofanywa na Gazeti la
Mwananchi kwenye maeneo ya katikati ya mji wa Dodoma hadi jana, umebaini
kuwa tayari nyumba nyingi za kulala wageni na hoteli zimeshajaa.
Subscribe to:
Posts (Atom)