Sunday, 14 June 2015
KWA MARA YA KWANZA TANZANIA YAPATA RAIS MWANAMKE JIONEE MWENYEWE HAPO CHINI..........
LAYIII ON SPOT
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk. Mwale Malecela pichani kabla ya kuingia katika chumba cha habari katika Redio ya Mwambao iliyopo Tanga eneo la Kange ndani..........................................................
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk. Mwale Malecela pichani kabla ya kuingia katika chumba cha habari katika Redio ya Mwambao iliyopo Tanga eneo la Kange ndani..........................................................
DK. MALECELA ASAKA WADHAMINI KATIKA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS
MAKALA YA SIASA SITTA AKATAA MIL 140 JE NI ZA NINI KIPI KIMEFUATA ,,,,,,,?KILICHO FUATA STORY NYINGINE
LAYIIIII

Magazeti
Ni kweli SITTA alikaata rushwa mil.140? Baba amchinja mwanaye wa mwaka 1 Dar, wimbo wa albino wamtoa chozi JK..#MAGAZETINI JUNE14
MWANANCHI
Makada wa CCM waliotangaza nia au
kuchukua fomu za kuomba kupitishwa na chama hicho kuwania urais,
wameeleza jinsi rushwa, ufisadi na udhaifu katika ukusanyaji kodi huku
wakijinadi kuwa wao ndiyo wataondoa uovu huo iwapo watapitishwa kushika
nafasi hiyo ya juu kisiasa.
Lakini hakuna hata mmoja aliyeiponda
Serikali kwa kushindwa kudhibiti rushwa, ambayo baadhi walishasema kuwa
imekithiri hata kwenye chama hicho tawala, huku mmoja akisema kuwa iwapo
CCM itampitisha mlarushwa, atajiondoa.
Kati ya waliotangaza nia na kuchukua
fomu, makada 11 ni mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Nne wakiwamo
mawaziri waandamizi walioshika nafasi za juu na waliofanya kazi katika
awamu zote nne.
Pia wamo makada waliokuwamo kwenye
Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Nne, lakini wakaondoka kwa
sababu tofauti, huku kundi jingine likihusisha watendaji wakuu wa zamani
wa Idara ya Usalama wa Taifa.
KASHFA MPYAA YA BEYONCE ....... KUMBE HATA SUPER STAAAZ WA DUNIA WEZI
LAYIII
Beyonce kwenye kashfa ya kuiba nyimbo ya ‘Xo’ kutoka kwa underground.
Stori za
madai ya wasanii mbalimbali kudaiwa kuiba nyimbo za wasanii wengine bado
zimeendelea kuchukua nafasi zaidi kwenye nchi mbalimbali duniani.
Mara nyingi
wasanii wadogo ndio wamekuwa wakilalamika sana kuibiwa nyimbo zao kila
wakati na malalamiko haya huenda moja kwa moja kwa mastaa wenye majina
makubwa kwenye muziki.
JUX BADO NI GUMZO .........ALICHO KISEMA MKE WA MABESTE SIRI YAKO ONA MWENYEWE
NA LAYIII
Usiku wa KTMA ni usiku uliotupa majibu na kufanya tuwafahamu wakali kutoka Tanzania ambao kwa nafasi zao kwenye muziki walipigiwa kura na Wananchi na kupata TUZO zao.
Miongoni mwa watu waliopata tuzo ni pamoja na Jux,Jux alipata tuzo ya Wimbo bora wa Rnb baada ya ushindi huo Mke wa Mabeste alitoa ya moyoni kwa Jux.
Kwenye sentensi yake alianza kwa kuandika>>’@juma_jux @juma_juxtaposed to@juma_jux meeen I am so dissapointed wit yah! @mabeste_tanzania aliniacha ndani naumwa akaja studio kukesha na wewe three days kukuandikia SISIKII na Ukweli ni kwamba hukumpa mabeste 2million’
Alichokisema Mke wa Mabeste kuhusu ushindi wa Jux kwenye KTMA…
Miongoni mwa watu waliopata tuzo ni pamoja na Jux,Jux alipata tuzo ya Wimbo bora wa Rnb baada ya ushindi huo Mke wa Mabeste alitoa ya moyoni kwa Jux.
Kwenye sentensi yake alianza kwa kuandika>>’@juma_jux @juma_juxtaposed to@juma_jux meeen I am so dissapointed wit yah! @mabeste_tanzania aliniacha ndani naumwa akaja studio kukesha na wewe three days kukuandikia SISIKII na Ukweli ni kwamba hukumpa mabeste 2million’
JUX KIMENUKA ........... NI BAADA YA TUZOZA KILI
LAYIII
KISHAWAKA TUZO ZA KILI ZAFICHUA HILI ...MABESTE AMLIPUA KWA KUMSHAMBULIA JUX NA KUTOBOA SIRI BAADA YA KUSHINDA TUZO
fickenscher@juma_jux @juma_juxtaposed to @juma_jux meeen I am so dissapointed wit yah! @mabeste_tanzania aliniacha ndani naumwa akaja studio kukesha na wewe three days kukuandikia SISIKII na Ukweli ni kwamba hukumpa mabeste 2million alikuambia use me tuu kua umemlipa two million coz alitaka ajitangaze kibiashara akija MTU mwingine kutaka aandikiwe amlipe coz he needed money by that time as I was sick.... I was your no.1 fan ndio maana @mabeste_tanzania aliponiambia nijikaze aje studio nilukubali na apart from that I am @mabeste_tanzania Manager! Kwanza kabisa Leo ndo nimeona kua sisikii imeingia kwenye utunzi bora na Ukweli ni si wewe uliye andika hiyo ngoma na cover ya ngoma ilikua mabeste ndo mwandish lakini umeshindwa kumpa haki yake uwaambie kili hiyo ni haki ya mabeste....the bad thing ingine is SISIKII imechukua tuzo umewapa watu S/O umeshindwa kumpa mabeste??? Kama mmezoea mabeste mpole I am sorry Manager Niko serious na kazi na naendelea vizuri narudi mzigoni very soon!!! @juma_jux @juma_jux
Saturday, 13 June 2015
CHIBU VANESSA MDEE NDANI YA MTV 2015
NA LAYIII ON SPOT
DIAMOND, VANESSA MDEE WATAJWA TUZO ZA MTV 2015
ALI KIBA KUMFUNIKA DIAMOND ILE MBAYAAA KATIKA TUZO ZA KILI AWARD
NA LAYIII
Joh Makini akiwashukuru mashabiki wake (hawapo pichani) baada ya kuchukua Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka wa Hip Hop akiwa na Nikki wa Pili (kushoto).
2. KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB
3. BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA
WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015, ALI KIBA AIBUKA NA TUZO TANO, DIAMOND PLATINUMZ MBILI
MAJINA YA WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015
1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND2. KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB
3. BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA
SNOOP DOG LAZIMA NIWE KING TWITTER
LAYIII ON SPOT
#ifSnoopWasTwitterCEO…
Kwenye headlines kubwa za siku ya leo ipo hii moja inayomhusu Mkurugenzi wa Twitter, Dick Costolo kutangaza kujiuzulu kama mkurugenzi wa Kampuni hiyo kutokana na malalamiko kwamba inajiendesha kihasara.
Headlines sasa hivi sio kuhusu Dick Costolo tena, ni Snoop Dogg.. Ishu unajua ni nini? Jamaa kasema eti yuko tayari kabisa kushika nafasi hiyo!!
Snoop Dog alichukua time na kuweka post kadhaa kwenye ukurasa wake @Twitter kwamba yuko tayari kabisa kuiongoza Kampuni hiyo ikiwa tu watampa nafasi.
Trend kwenye Twitter ikawa hivi>>> #BAADA YA TUZO ZA KTMA KUTOLEWA MABADILIKO BAB KUBWA YAMETOKEA
LAYIII ON SPOT

Leo June 12 2015 tunahesabu saa chache
tu kushuhudia Historia ikiandikwa kwenye Burudani ya Muziki TZ, Tuzo
kubwa za Muziki Tanzania, KTMA 2015 leo kuna kipya kilichotangazwa na
waandaaji wa Tuzo hizo.
“Kuna
mabadiliko machache tofauti na ilivyokuwa mwaka jana… tumebadilisha
mpangilio wa Venue ambao kwa mwonekano watu wote wataangalia
mbele… mbali na hayo baada ya Show tumeandaa sherehe ambayo
itawajumuisha watu wote kuburudika kwa pamoja tofauti na kipindi
kilichopita“>>> Pamela Kikuli
NABII KAAMINI AKIZIKWA MZIMA ATAFUFUKA KILICHOJILI DUUU KICHEKO SI KICHEKO ICHEKI HAPO
NA LAYIIII ON SPOT

Nimekutana na stori hii kutoka Zimbabwe inamhusu Nabii mmoja kutoka nchi hiyo kufariki akiwa kwenye mishemishe za kupata nguvu za ziada ili akemee mapepo.
Nabii huyo Shamiso Kanyama alifatwa
na familia moja wakamuomba aje nyumbani kwao ili afanye maombezi
kuondoa mapepo yaliyokuwepo kwenye nyumba ya wanafamilia hao.
Nabii huyo akaenda kufanya maombezi na
wanafamilia hao… Wakiwa katika maombezi hayo, nabii huyo alidai kuwa
roho mtakatifu amezugumza nae na kuwaomba wanafamilia hao kuchimba
kaburi nje ya nyumba ili wamzike akiwa hai, alafu akifufuka atakuwa na
nguvu mpya ya kuendelea na maombezi hayo.
Friday, 12 June 2015
DUNIA IMEISHA MSANII MWINGINE CHIPUKIZI KAACHIA MIPICHA YAKE ILI APATE KIKI MITANDAONI ONA PICHA ZAKE
NA LAYIIII ON SPOT
Posted by
Boss Ngasa
a
BAISKELI INAYO PAA YAVUMBULIWA INAKWENGA KWA JINA LA Hoverbike NA NICKNAME NI Flike
NA LAYIII ON SPOT
Aeroflex’s flying bike, called Hoverbike and nicknamed Flike, has made its first successful manned flight in Hungary. Though Hoverbike’s top speed is 30 mph, maximum flying height is 15 feet and it sustains flight for about 30-40 minutes; it uses anti-gravity technology, emits zero emissions and does not crash.
A team of flight enthusiasts at the Hungarian research institute, Bay Zoltan Nonprofit Ltd, designed and developed the all-electric cycle, a personal tricopter, in just six months. Flike’s creators write on their website:
Aeroflex’s flying bike, called Hoverbike and nicknamed Flike, has made its first successful manned flight in Hungary. Though Hoverbike’s top speed is 30 mph, maximum flying height is 15 feet and it sustains flight for about 30-40 minutes; it uses anti-gravity technology, emits zero emissions and does not crash.
A team of flight enthusiasts at the Hungarian research institute, Bay Zoltan Nonprofit Ltd, designed and developed the all-electric cycle, a personal tricopter, in just six months. Flike’s creators write on their website:
All Electric Flying Bike Has Successful First Flight
See Here: thttp://anonhq.com/?p=22857
See Here: thttp://anonhq.com/?p=22857
Subscribe to:
Posts (Atom)