Wednesday, 11 March 2015
Monday, 9 March 2015
KILE ULICHO NGOJA KUTOKA APPLE IKI HAPA
Saa babu kubwa inayo tamba mtaani kwa sasa kutoka kampuni ya apple ni nouma. imetengenezwa kwa madini ya aluminiamu yenye samani ya dola za kimarekani $349
imeanza kuuzwa kwa dola 549 yenye version ndogo mpaka dola 1049 version kubwa nini kikubwa ni kwamba apple edition inayotamba mtaani inauzwa kwa dola 10000 za kimarekani
nini hasa
imeanza kuuzwa kwa dola 549 yenye version ndogo mpaka dola 1049 version kubwa nini kikubwa ni kwamba apple edition inayotamba mtaani inauzwa kwa dola 10000 za kimarekani
MADAMUUUU WEMA SEPETU NDANI YA STUDIO ZA RADIO 5 ARUSHA
NI NOUMA NDANI YA RADIO 5 ARUSHA YAAANI NI HAPATOSHI A TAWOO CHEKI SNAPE ZAKE HAPA WANGU
Wema Sepetu akiwa ndani
ya studio za Radio 5 jana mara baada yan kufanya ziara fupi mjengoni
hapo akielezea pia kuhusu show yake ya black and white party
swaxbz on poz full kula hewa at malumbi beach resort tamarindiiii
Subscribe to:
Posts (Atom)