Kikwapa
ni tatizo la kutoa harufu mbaya sehemu ya kwapani katika mwili wa
binadamu. Tatizo la kikwapa husababishwa na bakteria wanaovutiwa na
jasho au unyevunyevu chini ya kwapa.
Tatizo la Kikwapa ni kero kwa sababu husababisha mtu kutoa harufu inayokuwa kero kwako na kwa mtu mwingine aliyeko jirani yako.
Ili kwapa lako liwe na harufu nzuri, kavu na safi fanya yafuatayo
Tatizo la Kikwapa ni kero kwa sababu husababisha mtu kutoa harufu inayokuwa kero kwako na kwa mtu mwingine aliyeko jirani yako.
Ili kwapa lako liwe na harufu nzuri, kavu na safi fanya yafuatayo
- Paka kipande cha limao kwenye kwapa na kuacha lipate hewa safi ili kuua vijidudu na kutoa tezi za jasho kuondoa harufu mbaya
- Vaa nguo safi zenye nyuzinyuzi za asili kama pamba, hariri na sufu zitasaidia kufyonza