Sunday, 22 May 2016
ALI KIBA NA DIAMONDPLATNUMZ KIMENUKA TENA
LIKE PAGE YETU HAPA
Kimenuka! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mafahari wawili wa Bongo
Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
kudaiwa kutupiana vijembe vya kufa mtu baada ya kuwepo kwa madai ya Kiba
kuhujumiwa.
Kwa mujibu wa chanzo makini, ili kuweka hujuma ya kibiashara, hivi karibuni, pamoja na kukanusha mara kadhaa kutokuwa na tatizo na Kiba, Diamond alidaiwa ‘kutengeneza’ kwa makusudi penzi la mwigizaji Jacqueline Wolper Massawe na msanii wa Wasafi Classic Baby (WCB), Rajabu Abdulhan ‘Harmonize’ kisha kuvujisha video ya uhusiano huo mpya siku ambayo Kiba alikuwa akiuachia wimbo wake mpya wa Aje (Jumamosi iliyopita), lengo likiwa kuhamisha upepo mashabiki kutoka

VOLKANO IMEUWA WATU SABA
LIKE PAGE YETU HAPA
BONYEZA picha hii subscribe kuona tukio lingine la mauwaji

Idadi ya watu waliofariki kufikia sasa Nchini Indonesia imepata na kufikia saba.
Watu
hao wamefariki na wengine kadhaa kupata majeraha mabaya baada ya
kuchomwa na gesi iliyochangamana na moshi wa volkeno baada ya mlima
Saturday, 21 May 2016
BUSU A PENNY IMEACHA MASWALI
LIKE PAGE YETU HAPA FACEBOOK
Busu ambalo mtangazaji Peniel Mungilwa ‘Penny’ amempiga mwigizaji Shamsa Ford limezua utata kufuatia watu kumhusisha na tabia isiyofaa.
Hayo yalijiri hivi karibuni baada ya mtangazaji huyo kutupia picha kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram ndipo wafuasi wa mtandao huo walipoanza kumsema vibaya wakidai anajiabisha kwa

MAZUNGUMZO YA AMANI BURUDI KUFANYIKA ARUSHA
LIKE PAGE YETU FACEBOOK HAPA
Bonyeza picha hii kuiona video ya kenya ya vurugu zilizokuwa zikiendelea

Lakini kundi kuu la upinzani halikujumuishwa, kwa sababu serikali imesema, haitozungumza na watu, inaowaona kuwa wapiganaji.
Mamia ya watu wameuwawa nchini Burundi, tangu Rais Pierre Nkurunziza kuamua kuania muhula
Bonyeza picha hii kuiona video ya kenya ya vurugu zilizokuwa zikiendelea
Mazungumzo ya amani kuhusu Burundi yameanza mjini Arusha, Tanzania, baada ya kuahirishwa mara kadha.
Serikali
ya Burundi, na baadhi ya viongozi wa upinzani wanahudhuria mazungumzo
hayo, ambapo mpatanishi ni rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa.Lakini kundi kuu la upinzani halikujumuishwa, kwa sababu serikali imesema, haitozungumza na watu, inaowaona kuwa wapiganaji.
Mamia ya watu wameuwawa nchini Burundi, tangu Rais Pierre Nkurunziza kuamua kuania muhula
Friday, 20 May 2016
TANZANIA KUCHUANA NA MALAYSYA ULIISKIA HII
LIKE PAGE YETU FACEBOOK HAPA

Ili kutinga Fainali Serengeti Boys wanapaswa kuifunga Malaysia ambayo imetoka sare na India na kubondwa na South Korea 3-0.
Ikiwa Serengeti Boys wataifunga Malaysia basi njia yao itakuwa nyeupe ikiwa pia Jumamosi mechi kati ya Marekani na Korea Kusini itaisha kwa timu moja kushinda.
2016 AIFF Youth Cup ni mashindano yaliyoandaliwa na shirikisho la soka la India, All India
Timu ya Taifa ya vijana wa Tanzania
wa chini ya miaka 17 Serengeti Boys siku ya Jumamosi itacheza na
Malaysia kwenye mechi yao ya mwisho ya kundi wakisaka ushindi ili
kutinga fainali ya 2016 AIFF Youth Cup huko Tilak Maidan Stadium, Vasco,
Goa nchini India.
Tanzania mpaka sasa imeshacheza mechi 3 na kuifunga India 3-1 na kutoka Sare na USA 1-1 na kisha South Korea 1-1.Ili kutinga Fainali Serengeti Boys wanapaswa kuifunga Malaysia ambayo imetoka sare na India na kubondwa na South Korea 3-0.
Ikiwa Serengeti Boys wataifunga Malaysia basi njia yao itakuwa nyeupe ikiwa pia Jumamosi mechi kati ya Marekani na Korea Kusini itaisha kwa timu moja kushinda.
2016 AIFF Youth Cup ni mashindano yaliyoandaliwa na shirikisho la soka la India, All India
VIRUSI HATARI VYA ZIKA SASA VIMEINGIA RASMI AFRICA
LIKE PAGE YETU FACEBOOK HAPA

Virusi hivyo vilipatikana katika visiwa vya Cape Verde.
Jina la virusi hivyo linatokana na msitu wa Zika, Uganda ambapo virusi hivyo vilitambuliwa kwa
Shirika la Afya Duniani (WHO)
limesema aina ya virusi vya Zika ambavyo vimekuwa vikisababisha watoto
kuzaliwa na vichwa vidogo vimegunduliwa Afrika kwa mara ya kwanza.
Virusi hivyo vimesababisha taharuki nchi za Amerika Kusini, na hasa Brazil.Virusi hivyo vilipatikana katika visiwa vya Cape Verde.
Jina la virusi hivyo linatokana na msitu wa Zika, Uganda ambapo virusi hivyo vilitambuliwa kwa
Thursday, 19 May 2016
ALIKIBA NA DEAL LA SONY MAKOSA YANAYOJIRUDIA
LIKE PAGE YETU FACEBOOK BOFYA HAPA
Huko kwenye mitandao ya kijamii kumechafuka habari ya Ali kusign deal na
Sony wengi wakiamini huo ndio utakuwa mwanya wa msanii huyo kutoboa
kimataifa.. Jambo ambalo mashabiki wake wanashindwa kuelewa ni kuwa huo
unaweza kuwa anguko la King Kiba badala ya kuwa neema..
Kwanza kabisa kitu ambacho hawakielewi ni kuwa Ali hajasaini na Sony Music Ent. BMG (ishu yake sio 'global deal') bali amesaini na Sony Music Africa ambayo ni subsidiary ya Sony Music Entertainment!! Kwa ninavyoelewa Sony Music Africa wana sambaza mziki na kumanage wanamuziki ndani ya Africa pekee.. Sasa eidha Ali hajui alichosaini au chumvi inaongezwa kunogesha habari..

BASI LA MWNDOKASI LA GONGA NA KUUWA
LIKE AG YETU HAPA FACEBOOK
Basi
la mwendo kasi ( DART) limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake
akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita
basi hilo
Ajali hiyo imetoke leo katika eneo la Shekilango jijini Dar es Sallam.

Tuesday, 17 May 2016
Chelsea na Tottenham wapigwa faini kubwa
LIKE PAGE YETU HAPA

Spurs wamepigwa faini ya pauni 225,000 ikiwa ni kisa chao cha tatu kutokea.Mechi hiyo ilikuwa na kadi 12 za manjano .
Mapema mwezi huu mchezaji wa Spurs Mousa Dembele alipigwa marufuku kwa mechi sita kutokana na ghasia katika mechi hiyo hiyo ambayo ambayo ilimaliza matumaini ya Tottenham kushinda ligi ya Uingereza.
Kiungo wa kati wa Ubelgiji Dembele mwenye umri wa miaka 28 alionekana akimgusa jicho
Chelsea na Tottenham wamepigwa faini
kutokana na mashtaka matatu ya kushindwa kuwadhibiti wachezaji wao
katika sare ya 2-2 katika uwanja wa Stamford Bridge.
Chelsea
watalazimika kulipa pauni 375,000 baada ya kukiuka sheria za shirikisho
la soka nchini Uingereza kuhusu makabiliano ya wengi ikiwa ni mara ya
nne tangu mwezi Novemba 2014.Spurs wamepigwa faini ya pauni 225,000 ikiwa ni kisa chao cha tatu kutokea.Mechi hiyo ilikuwa na kadi 12 za manjano .
Mapema mwezi huu mchezaji wa Spurs Mousa Dembele alipigwa marufuku kwa mechi sita kutokana na ghasia katika mechi hiyo hiyo ambayo ambayo ilimaliza matumaini ya Tottenham kushinda ligi ya Uingereza.
Kiungo wa kati wa Ubelgiji Dembele mwenye umri wa miaka 28 alionekana akimgusa jicho
POLICE KENYA WASHUTUMIWA KWA UKATILI
LIKE PAGE YETU HAPA FACEBOOK

Mashirika ya kutetea haki za
kibinadamu nchini Kenya yameshutumu maafisa wa polisi wakisema walitumia
nguvu kupita kiasi kukabili waandamanaji jijini Nairobi Jumatatu.
Tume
ya Taifa ya Haki za Kibinadamu (KNHRC) imesema imeshangaza sana na
video na picha ambazo zinaenea kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya
habari kuhusu yaliyojiri wakati wa maandamano hayo.Monday, 16 May 2016
HAYAWI HAYAWI MGANGA WA KIENYEJ AMBAKA MGONJWA WAKE
LIKE PAGE YETU FACEBOOK HAPA
Unaweza pia ukabonyeza picha hii kuona video kamli usiache kusubscribe nasi youtube mtu wangu

Mganga wa Kienyeji Hamza Saidi,(40) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kumbaka mgonjwa aliyekwenda kutibiwa masikio kwenye ofisi ya mganga huyo.
Mganga huyo, Mkazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji anatuhumiwa kumbaka msichana wa miaka 20, na kumsababishia maumivu makali.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma SACP Fredinandi Mtui alisema, mganga huyo alifanya tukio hilo, Mei 15 majira ya saa tano asubuhi.
Inadaiwa kuwa msichana alifika nyumbani kwa mganga huyo akiwa na lengo la kutibiwa masikio lakini mganga alimwambia ili dawa hiyo ifanye kazi ni lazima afanye naye mapenzi kwanza.

WATU WENGI PWANI YA TANZANIA HUWA HATARINI RIPOTI YAONYESHA
LIKE PAGE YETU HAPA FACEBOOK

Kufikia mwaka 2000 idadi hiyo ilikuwa 600,000 pekee lakini kufikia mwaka 2030 watakuwa wamefikia 2.8 milioni.
Afrika Mashariki, taifa jingine ambalo limo kwenye orodha ya nchi 25 ni Somalia, ambayo itakuwa
Tanzania ni miongoni mwa nchi 25
duniani ambazo zitakuwa na watu wengi maeneo ya pwani walio katika
hatari ya kuathiriwa na mafuriko kutokana na mabadiliko ya tabia nchi
kufikia mwaka 2060.
Shirika la Christian Aid la Uingereza, kwenye
ripoti yake, linasema Tanzania itakuwa na watu 14 milioni katika pwani
yake ambao watakuwa katika hatari ya kuathiriwa na mafuriko.Kufikia mwaka 2000 idadi hiyo ilikuwa 600,000 pekee lakini kufikia mwaka 2030 watakuwa wamefikia 2.8 milioni.
Afrika Mashariki, taifa jingine ambalo limo kwenye orodha ya nchi 25 ni Somalia, ambayo itakuwa
UWEZEKANO WA KURUDISHA UHAI WA MAREHEMU WANASAYANSI WAMEKUJA NA HILI MPYA
LIKE PAGE YETU HAPA HUTAPITWA NA HABARI YETU FACEBOOK
Jopo la madaktari linataka kujaribu kurudisha uhai kwa watu wanaofariki kutokana na matatizo ya ubongo baada ya majaribio ya muda mrefu sasa wamekabidhiwa leseni ya kufanyia majaribio kufanya kitu kama hicho
bonyeza picha hii njoo youtube subscribe hutapitwa na habari za matukio yetu kwa njia ya video
uwezekano wa kurudisha watu wanao kufa kutokana na matatizo ya ubongo hicho ndicho shirika la bioquark linataka kukifanya. Bodi ya afya nchini marekani imekubari ombi la shirika hilo na sasa shirika limejikita katika kufanya utafiti na majaribio kurudisha uhai wa mtu aliyefariki kutokana na matatizo ya ubonngo kama vile kansa na salatani ya ubongo. Utfiti huo umepewa jina la ReAnima
project. Kutokkana na swala hilo kampuni hiyo iko mbioni kufanyia utafiti maiti 20 iliyokufa

VIDEO MPYA YA MADEE UTAIPENDA NDANI YUMO KAJALA NA STAN BAKKORA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA
Ni hit single ya mkali kutokea Tiptop Connection na ametimiza ahadi kama alivyosema, director ni Mtanzania Adam Juma… ukishaitazama hii video hapa chini usiache kutoa comment yako maana Madee atapita kujua raia wake wameipokeaje
DOWNLOAD NA USIILIZE VIDEO MPYA YA SHILOLE FT BARNABA "SAY MA NAME"
LIKE AGE YETU FACEBOOK HUTAPITWA NA CHOCHOTE HAPA
i
Mrembo mwenye headlines zake nyingi Bongoflevani, Shilole a.k.a Shishi Baby kwa kushirikiana na Barnaba wanatualika kutazama video yao mpya ‘Say My Name’ na ukishaitazama uiache comment yako hapa chini Shilole na Barnabara watapita baada kuzisoma

Sunday, 15 May 2016
NI MIEZI 6 SASA NIKO KWENYE MAHUSIANO NA GADNER
LIKE PAGE ETU HAPA FACEBOOK HUTAPITWA NA STORY YOYOTE

MUUZA sura kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Giggy Money’ amefunguka kuwa mtangazaji maarufu Bongo wa Clouds FM, Gardner G. Habash hachomoki kwake na hadi sasa wako kwenye uhusiano wa mapenzi kwa muda wa miezi sita.
Gigy mefunguka haya baada ya picha zinazomuonesha akiwa kwenye mapozi ya kimahaba na Gardner kusambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Giggy alisema mtangazaji huyo amekuwa mtu wa muhimu kwake kwa sasa.
“Kwani kuna tatizo nikiwa na Gardner? Yule ni mtu muelewa na sahihi kwangu, ninafikiri kupitia yeye nitajifunza mambo mengi na kuzidi kufanikiwa kwa sababu yeye ni moja kati ya watu ambao wako kwenye tasnia ya burudani kwa muda mrefu,” alisema Giggy Money.

WANAOVAA SURUALI CHINI YA MAKALIO VIBOKO SABINI
LIKE PAGE YETU HAPA USIPITWE NA STORY TENA FACEBOOK
Boneza picha subscribe nasi utube upate habari kwa njia ya video
\
Wakazi wa Kata ya Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro wametoa uamuzi kuwa wanawake watakaovaa sketi fupi na vijana watakaovalia suruali chini ya kiuno, wataadhibiwa kwa kuchapwa viboko 60 hadi 70.
Uamuzi huo umefikiwa na wakazi zaidi ya 200 wakisema uvaaji huo ni kinyume na mila na desturi za Kiafrika.
Vazi lingine lisilotakiwa kwa wanawake ni kuvaa suruali pamoja na vijana kunyoa ndevu mitindo isiyofaa.
Mkutano huo ulioandaliwa na wazee wa kimila jamii ya Meru (Wachili) na Wamasai (Malaigwani), uliwavutia wananchi wengi ambao walihudhuria.
Sambamba na uamuzi huo utakaokuwa unafanyika hadharani, pia adhabu hiyo itawahusu wezi wa mali na wanaopenda kucheza pool table wakati wa kazi.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Wilbrod Mutafungwa alipinga uamuzi huo akisema kwa maazimio hayo ya kuwaadhibu watuhumiwa kwa kuwachapa viboko ni kujichukulia sheria mkononi na ni kinyume na sheria.
video ya mkenya aliyedandia helkopter
Boneza picha subscribe nasi utube upate habari kwa njia ya video

Wakazi wa Kata ya Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro wametoa uamuzi kuwa wanawake watakaovaa sketi fupi na vijana watakaovalia suruali chini ya kiuno, wataadhibiwa kwa kuchapwa viboko 60 hadi 70.

Vazi lingine lisilotakiwa kwa wanawake ni kuvaa suruali pamoja na vijana kunyoa ndevu mitindo isiyofaa.
Mkutano huo ulioandaliwa na wazee wa kimila jamii ya Meru (Wachili) na Wamasai (Malaigwani), uliwavutia wananchi wengi ambao walihudhuria.
Sambamba na uamuzi huo utakaokuwa unafanyika hadharani, pia adhabu hiyo itawahusu wezi wa mali na wanaopenda kucheza pool table wakati wa kazi.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Wilbrod Mutafungwa alipinga uamuzi huo akisema kwa maazimio hayo ya kuwaadhibu watuhumiwa kwa kuwachapa viboko ni kujichukulia sheria mkononi na ni kinyume na sheria.
video ya mkenya aliyedandia helkopter
Subscribe to:
Posts (Atom)