FACEBOOK
Unaweza pia bonyeza picha hii kujiunga na BZTV ONLINE ili usipitwe na matukio kwa njia ya video

Njia hiyo hutumiwa kuwawezesha wanawake tasa kupata watoto.
Daljinder Kaur alijifungua mtoto wake baada ya kupokea matibabu kwa miaka miwili katika hospitali iliyoko jimbo la Haryana.
Unaweza pia bonyeza picha hii kujiunga na BZTV ONLINE ili usipitwe na matukio kwa njia ya video
Mwanamke wa umri wa miaka 72 amejifungua mtoto mvulana katika hospitali moja nchini India.
Mwanamke
huyo alipachikwa mimba kupitia njia ya kitaalamu ya IVF ambapo yai la
mwanamke hutolewa kutoka kwenye ovari, kutungishwa mbegu ya kiume na
kisha kurejeshwa kwenye mji wa mimba. Yai hilo linaweza kutolewa kwa
mwanamke mwingine.Njia hiyo hutumiwa kuwawezesha wanawake tasa kupata watoto.
Daljinder Kaur alijifungua mtoto wake baada ya kupokea matibabu kwa miaka miwili katika hospitali iliyoko jimbo la Haryana.