Wakati ngoma za ‘Bado’ ya Harmonize ft Diamond inaendelea kufanya vizuri na ‘Kwetu’ ya Raymond inaendelea kufanya vizuri, leo Mei 2 2016 Harmonize na Raymondwameingia kwenye headlines baada ya ngoma yao waliofanya pamoja ya ‘Penzi’ kuvuja, millardayo.com imeinasa na kukusogezea track hiyo
LAYIII Watafiti wa University of Pittsburgh School of Medicine walifanya
utafiti kuhusu madhara ya matumizi ya mitandao ya kijamii katika mood
ya watumiaji.
Utafiti huo ulibaini kuwa kadri vijana wanavyotumia mitandao hiyo zaidi,
ndivyo wanavyopata tatizo la sonona ambalo kitaalam linajulikana kama
depression, au kukosa uchangamfu na furaha.
“Kwasababu mitandao ya kijamii imekuwa kitu kilichojiweka kwenye
mawasiliano ya binadamu, ni muhimu kwa wauguzi kuongea na vijana kuhusu
kutambua uwiano unaotakiwa kuwepo na kuhimiza matumizi chanya wakati
wakijiondoa kwenye matumizi yenye matatizo,” alisema Brian A. Primack,
M.D., Ph.D., ambaye ni mwandishi mkuu wa utafiti huo.
L
Mtayarishaji mkongwe wa muziki hapa Tanzania, Master J amesema kuwa
maproducer ndio wanaomiliki beat ila wanawafanyia fair wasanii.
Master J ambaye ni mmiliki wa studio ya MJ Record amefanikiwa kufanya
kazi na wasanii wakongwe wakubwa kwenye muziki wa Bongo Flava lakini pia
alistaafu kazi hiyo ya kuandaa muziki tangu mwaka 2005 na kumuachia
Marco Chali akifanya kazi hiyo.
Akiongea kwenye kipindi cha FNL, kinachoruka kupitia EATV, Master J
alisema, ‘Maproducer
Mshambuliaji wa Leicester Jamie Vardy ametawazwa mchezaji soka bora wa mwaka na chama cha waandishi wa kandanda Uingereza.
Mshambuliaji
huyo wa Uingereza alipata 36% ya kura zilizopigwa na wanahabari 290 na
kuwashinda wenzake Riyad Mahrez na N'Golo Kante.
Vardy, 29, amefunga mabao 22 Ligi ya Premia msimu huu.
Aidha, alivunja rekodi kwa kufunga mabao kila mechi katika mechi 11 mtawalia.
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger
amesema alitarajia mashabiki zaidi waonyeshe kutoridhishwa naye wakati
wa mechi ya Jumamosi dhidi ya Norwich.
Arsenal walishinda 1-0.
Wenger
atatimiza 20 kwenye usukani Arsenal Oktoba mwaka huu lakini mara yake
ya mwisho kushinda ligi ilikuwa 2004 na baadhi ya mashabiki waliinua
mabako ya kusema “wakati wa mabadiliko umefika” uwanjani Emirates.
Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA)
limeshutumiwa mtandaoni kwa kusimulia moja kwa moja matukio
yaliyopelekea kuuawa kwa Osama Bin Laden.
Shirika hilo limekuwa
likiandika ujumbe kwenye Twitter na kusimulia matukio yaliyopelekea
kuuawa kwa kiongozi huyo wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda kana kwamba
yalikuwa yanafanyika
Watu zaidi ya 45 wamefariki kutokana
na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu visiwani Zanzibar katika kipindi
cha miezi miwili, shirika la habari la AP limeripoti.
Shirika hilo la habari limemnukuu afisa wa afya visiwani humo anayesema vifo hivyo vimetokea mwezi Machin a Aprili.
Muhammed
Dahoma, ambaye ni mkurugenzi wa anayeangazia kuzuia maradhi katika
wizara ya afya, anasema watu karibu 3,000 wamelazwa hospitalini baada ya
kuugua.
Ameongeza kuwa serikali ya Zanzibar imechukua hatua kukabiliana na mlipuko huo.
Miongoni mwa hatua zilizochukuliwa ni kupiga marufuku uuzaji wa chakula na juisi maeneo ya wazi.
Taarifa kutoka visiwani humo zinasema serikali pia imeamuru kufungwa kwa shule zote kwa muda usiojulikana.
Waziri
wa elimu Riziki Pembe Juma, amenukuliwa na shirika la habari la Uchina
la Xinhua, akisema uamuzi huo umetolewa baada ya kubainika kwamba
wanafunzi ni miongoni mwa watu walioathiriwa zaidi na ugonjwa huo.
“Tumejaribu
kudhibiti hali, lakini kwa maslahi ya watoto wetu, watakuwa salama
zaidi wakisalia nyumbani,” amesema kupitia taarifa, kwa mujibu wa
Xinhua.
Ameongeza kuwa baadhi ya shule zimeathirika zaidi kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.
Kisiwa cha Unguja ndicho kilichoathirika zaidi ambapo watu 20 wamefariki na 400 kuambukiwa tangu Januari mwaka huu.
Waziri
wa afya Mahmoud Thabit Kombo aliambia gazeti la serikali la Daily News
wiki jana kwamba ikizingatiwa kwamba Zanzibar ni visiwa vidogo na watu
si wengi sana “kipindupindu sasa ni tishio kubwa”.
Mlipuko wa kipindupindu ulianza mwaka jana.
Kufikia Oktoba, visa 140 vya maambukizi vilikuwa vimeripotiwa katika visiwa hivyo kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO).
Miili ya wakwea milima wawili kutoka Marekani waliotoweka katika milima ya Himalaya miaka 16 iliyopita imepatikana.
Mkwea
milima maarufu duniani Alex Lowe alikuwa akikwea katika kilele cha
Shishapangma chenye urefu wa 8,013m (26,290ft) eneo la Tibet Oktoba 1999
akiwa na mpiga picha David Bridges mkasa ulipotokea.
Wawili hao walifukiwa na maporomoko ya theluji.
LAYIII
Davido ameonekana kwenye kipande cha video kinachomuonyesha akiwa na
watu wake wakimpiga mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni shabiki nchini
Uingereza.
davidoz
Kipande hiko cha video chenye urefu wa dakika moja kimesambaa na kuzua
maswali mengi kwa mashabiki wake kama hilo tukio linaloonekana ni kweli
au ilikuwa ni drama.
Opposition leader Raila Odinga has rubbished Saturday's burning of ivory
stockpiles as a public relations gimmick by the Jubilee Administration
designed to please the international community.
Raila said that the poachers and the kingpins behind the poaching
syndicate in the country enjoyed their freedom ridiculing the burning
spectacle.
LAYIII
JIUNGE NA MAFANIKIO HAPA
Baada ya ukimya wa muda mrefu sana wa wakongwe wa muziki wa Bongo Flava
story zilizopo mtaani ni kuwa Ferooz ni miongoni mwa wasanii wanaotumia
madawa ya kulevya na ndiyo sababu iliyompoteza kwenye reli ya muziki.
Kupitia Enewz Ferooz alikanusha tuhuma hizo na kudai kuwa misongo ya
mawazo ndo huwa inawapelekea wasanii kuingia katika matumizi hayo ya
madawa ya kulevya na kuwataka wengine wasifanye hivyo.
Taarifa
ambazo zinazidi kuenea kwenye vyombo vya habari Congo na mitandao ya
kijamii hata hapa Tanzania ni msiba wa Papa Wemba lakini sasa mjadala
umehamia kwenye namna kifo chake kilivyotokea
Kipande
cha video kinachomuonesha jamaa akichukua mic halafu akairudisha kwenye
stage na baada ya Pamba Wemba Kuanguka inadaiwa jamaa yuleyule badala
LAYIII
BONYEZA PICHA HII UJISAJIRI NA IQOPTION KUTENGENEZA PESA VILE UWEZAVYO
Mgombea urais wa chama cha
Republican Donald Trump amekejeliwa mtandaoni baada ya kuonekana
akiboronga akitamka Tanzania wakati wa kutoa hotuba.
Bw Trump
alikuwa akizungumzia mashambulio ya kigaidi yaliyotekelezwa katika
mabalozi ya Marekani nchini Kenya na Tanzania mwaka 1998 wakati wa
kuzungumzia sera yake ya kigeni.
Badala ya kutamka vyema ‘Tanzania’ anasikika akitamka ‘Tan-zay-nia’.
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger
amesema kuwa timu yake ilipoteza harakati za kushinda ligi wakati wa
kucheza mechi za nyumbani dhidi ya timu zilizo chini ye jedwali.
Arsenal iliopo katika nafasi ya nne imeshinda mechi sita kati ya mechi 16 ilizocheza.
Baadhi ya mashabiki wamemtaka raia huyo wa Ufaransa kuondoka katika mechi za hivi karibuni.
LAYIIII
Rapa elibariki Emmanuel ‘Nay Wa Mitego’ amesema kuwa mwanzoni mwa
mwezi ujao ataachia wimbo mpya ambao ni mbadala wa ‘shika adabu yako’
uliofungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA).
Msanii huyo alisema kuwa anatarajia wimbo huo mpya ambao bado hajaupa
jina utapendwa na mashabiki wa miziki wa kizazi kpya kutokana na
mashairi yake kuyapangilia vyema.
“Mei 9 mwaka huu nitaachia wimbo na video ya wimbo wangu mpya ambao
ninaamini kuwa ni mkali kuliko