LAYIII
Shudia ajari ya moto katika scania moja maeneo ya hiko sumbawanga bonyeza picha hii mtu wangu

Shudia ajari ya moto katika scania moja maeneo ya hiko sumbawanga bonyeza picha hii mtu wangu
Watu wawili wamefariki dunia baada ya
gari walilokuwa wakitumia kudumbukia ndani ya bahari ya Hindi baada ya
dereva wa kivuko cha Kigamboni jijini Dar es Salaam kushindwa kufunga
mlango wa kifuko hicho kwa ufasaha.
Ajali hiyo ya kuzama kwa gari hilo ilitokea majira ya alfajili ya
kuamkia leo ambapo kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, marehemu hao
walikuwa wakivuka kutoka katikati ya jiji kuelekea Kigamboni huku mlango