LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUMSKILIZA MTOTO HAPPY

Machapisho mengi ya watu maarufu ambao wana wasiwasi kwamba picha zao huenda zisionekane na watu wengi yamewataka wafuasi wao kufungua kitufe cha ujumbe.
BONYEZA PICHA HII KUMSKILIZA MTOTO HAPPY
Mabadiliko ya yaliomo katika mtandao wa instagram yamezua hisia kali miongoni mwa watumizi wake.
Mtandao
huo una mpango wa kuweka ratiba ya mpangilio wa ujumbe hivyobasi
kupanga machapisho kulingana na maslahi ya mtumiaji badala ya kuyapanga
kulingana na mda.Machapisho mengi ya watu maarufu ambao wana wasiwasi kwamba picha zao huenda zisionekane na watu wengi yamewataka wafuasi wao kufungua kitufe cha ujumbe.