Tuesday, 22 March 2016
MJUE DANGOTE HAPA KWA MUJIBU WA FORBES
LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUJISAJILI NA MERIDIAN UJISHINDIE MILIONI 10 KILA SIKU
Aliko Dangote, president of Dangote group, is now richer than Donald
Trump, Republican front runner; Roman Abramovich, owner of Chealsea
football club and Oprah Winfrey, the richest black woman, put together.
Dangote, who came in at the 51st position of the 2016 ranking by Forbes Magazine, is also richer than the

BONYEZA PICHA HAPA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Dangote, who came in at the 51st position of the 2016 ranking by Forbes Magazine, is also richer than the
Monday, 21 March 2016
LULU MAHAKAMA YAZUNGUMZIA KIBALI CHAKE CHA KWENDA NIGERIA
LAYIII
Stori: Sifael Paul, Wikienda
Dar es Salaam: Mwisho wa malumbano! Tofauti na inavyodaiwa kuwa staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alikiuka maagizo ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ya kutoka nje ya nchi kufuatia kesi inayomkabili ya kifo cha mwigizaji Steven Kanumba, Ijumaa Wikienda limechimba ukweli.

BONYEZA PICHA JIUNGE NAMI YOUTUBE ILI VIDEO KALI ZA MATUKIO ZISIKUPITE MTU WANGU
Stori: Sifael Paul, WikiendaDar es Salaam: Mwisho wa malumbano! Tofauti na inavyodaiwa kuwa staa wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alikiuka maagizo ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ya kutoka nje ya nchi kufuatia kesi inayomkabili ya kifo cha mwigizaji Steven Kanumba, Ijumaa Wikienda limechimba ukweli.
DIAMOND ATEKETEZA MILLIONI 100 ULAYA
LAYIII
Stori: Erick Evarist na Musa Mateja, Wikienda
DAR ES SALAAM: Kufuru! Ndilo neno pekee linaloweza kuakisi takriban Sh. milioni 100 ambazo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameziteketeza akiwa na msururu mrefu wa wanafamilia wa Wasafi Classic Baby (WCB) barani Ulaya, akianzia nchini Ujerumani kufanya shoo sambamba na kula bata, Wikienda linakupa habari kamili.
BONYEZA PICHA HII JISAJIRI NA USHINDE MILIONI 100 KILA UTAKAPO BASHIRI MECHI
UKIBONYEZA HAPA UTAJIUNGA MOJA KWA MOJA BILA PROMO CODE
DAR ES SALAAM: Kufuru! Ndilo neno pekee linaloweza kuakisi takriban Sh. milioni 100 ambazo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameziteketeza akiwa na msururu mrefu wa wanafamilia wa Wasafi Classic Baby (WCB) barani Ulaya, akianzia nchini Ujerumani kufanya shoo sambamba na kula bata, Wikienda linakupa
Stori: Erick Evarist na Musa Mateja, Wikienda
DAR ES SALAAM: Kufuru! Ndilo neno pekee linaloweza kuakisi takriban Sh. milioni 100 ambazo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameziteketeza akiwa na msururu mrefu wa wanafamilia wa Wasafi Classic Baby (WCB) barani Ulaya, akianzia nchini Ujerumani kufanya shoo sambamba na kula bata, Wikienda linakupa habari kamili.
BONYEZA PICHA HII JISAJIRI NA USHINDE MILIONI 100 KILA UTAKAPO BASHIRI MECHI
UKIBONYEZA HAPA UTAJIUNGA MOJA KWA MOJA BILA PROMO CODE
unaweza bonyeza icha kujiunga nami youtube
Stori: Erick Evarist na Musa Mateja, WikiendaDAR ES SALAAM: Kufuru! Ndilo neno pekee linaloweza kuakisi takriban Sh. milioni 100 ambazo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameziteketeza akiwa na msururu mrefu wa wanafamilia wa Wasafi Classic Baby (WCB) barani Ulaya, akianzia nchini Ujerumani kufanya shoo sambamba na kula bata, Wikienda linakupa
Sunday, 20 March 2016
KIZUNGU CHA SHILOLE CHA KADILIWA KUMPA MASHABIKI WENGI KATIKA ANGA ZAKE ZA MZIKI
LAYIII
Kwa utafiti uliofanyika na swaxbz.com inaonekana kwamba kama shilole ataendelea kutumia swaga zake za uongeaji wa kizungu chake cha kuchekesha chekesha basi itamsaidia sana kumpa kiki na kuufanya mziki wake uendelee kukua.
BONYEZA PICHA UJICHEKEE MWENYEWE KIZUNGU ANACHOTUMIA SHILOLE AKIWA KATIKA MATAMASHA YAKE NDANI NA NJE YA NCHI
show flani amizing aliyowahi kuifanya shilole

Msanii Shilole au Shishi Baby, anatafuta mwalimu wa kumnoa kwenye lugha ya kingereza, ikiwa ni maandalizi ya kuonana na msanii wa Marekani Nicki Minaj.
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Shilole amendika tangazo akimtaka mtu ambaye ni mwalimu wa lugha hiyo kuwasiliana, ili aweze kuanza mafunzo hayo.

MKONGO AZIDI KUWACHANGANYA MASOGANGE , JACLINE WOLPER
LAYIII
Ojuku Abraham
UNA mshkaji anaitwa Mwami Radjabu, wadau wanamtaja kama kijana mwenye uraia wa nchi jirani ya Kongo (DRC), kwamba ni mfanyabiashara mwenye ukwasi wa kutosha. Kutokana na mkwanja wa kutosha alionao, ana ukaribu na akina dada wengi wa Kibongo, hasa hawa wenye majina katika tasnia ya filamu, wenyewe tukiwajua zaidi kama Bongo Muvi
JE UNAPENDA KUKAA BILA PESA BASI KAMA UNATAKA KUTENGENEZA PESA BONYEZA PICHA HAPA JIUNGE NA MERIDIAN KICHA ANZA KUBET SASA NA UJISHINDIE PESA YA KUTOSHA
Ojuku Abraham
UNA mshkaji anaitwa Mwami Radjabu, wadau wanamtaja kama kijana mwenye uraia wa nchi jirani ya Kongo (DRC), kwamba ni mfanyabiashara mwenye ukwasi wa kutosha. Kutokana na mkwanja wa kutosha alionao, ana ukaribu na akina dada wengi wa Kibongo, hasa hawa wenye majina katika tasnia ya filamu, wenyewe tukiwajua zaidi kama Bongo Muvi.

RIPOT INAONYESHA WAPAKA RANGI WANATEMBEA NA WAKE ZA WATU SANA
LAYIII
STORI: Waandishi Wetu, Ijumaa
Dar es Salaam: Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia masaji za miguu wanawake, wamegandwa na skendo ya kutembea na wateja wao hao huku mazingira ya kazi yao yakitajwa kuwa chanzo, Ijumaa lina ripoti ya kutisha!
JE UNATAKA KUTENGENEZA PESA UMEKAA BONYEZA PICHA KUBETONLINE NA MERIDIAN MTU WANGU WA NGUVU JISAJIRI SASA

Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia masaji za miguu wanawake wakiendelea na kazi yao.
STORI: Waandishi Wetu, IjumaaDar es Salaam: Vijana wanaofanya kazi ya kuwapaka rangi na kuwafanyia masaji za miguu wanawake, wamegandwa na skendo ya kutembea na wateja wao hao huku mazingira ya kazi yao yakitajwa kuwa chanzo, Ijumaa lina ripoti ya kutisha!
Saturday, 19 March 2016
UKIKUTA MAHUSIANO YAKO YA KIMAPENZI HAKUNA VITU HIVI BASI PITA KUSHOTO
LAYIII
NI VEMA UKAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA:
1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote.
2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa.
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI KTK VIDEO HOTS YOUTUBE USIACHE KUSUBSCRIBE NAMI YOUTUBE
3.Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema.
4. Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote.
5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu.
6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi.

ISHUDIE HII MWIZI AKIMNG`ANG`ANIA POLISI APELEKWE KITUONI
LAYIII
Kama alivyokutwa huyu mwizi kariakoo huku raia wakimuomba afande
awaachie mwizi huyo angalau dakika 5 wamlainishe mtuhumiwa apate kwenda
vizuri
BONYEZA PICHA KUSHUDIA AJALI YA MOTO YA KITUO CHA MAFUTA HUKO SUMBAWANGA

Kama alivyokutwa huyu mwizi kariakoo huku raia wakimuomba afande
awaachie mwizi huyo angalau dakika 5 wamlainishe mtuhumiwa apate kwenda
vizuri polisi,Lakini kilisikika kilio kutoka kwa mwizi huyo aliyejitambulisha
kwa jina la alfani akisema” kaka mkubwa afande twende wote sentro kaka
watanimaliza
CHIDI BENZI WATANZANIA NISAIDIENI
LAYIII
Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema bado uwezo kimuziki anao lakini wale aliowaita wadau walioushikilia muziki wamemtupa.
BONYEZA PICHA KUONA ILE VIDEO YA VOLCANO ILIYO TOKEA NDANI YA MAJI

Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds
TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema
bado uwezo kimuziki anao lakini wale aliowaita wadau walioushikilia
muziki wamemtupa.
Amesema wakati wa kilele chake, alikuwa akifanya show kila siku katika
wiki, lakini kwa sasa mambo yamebadilika kabisa. “Matatizo yangu na
stress zangu ambazo niko nazo zinanisababishia mwili wangu
Friday, 18 March 2016
MHADHIRI ALIYE IGIZA FILAMUN YA NGONO AJIUZURU
LAYIII
Mhadhiri mmoja mashuhuri wa somo la kemia katika chuo kimoja kikuu nchini Uingereza amejiuzulu baada ya kugunduliwa kuwa amekuwa akiishi maisha mara mbili.
BONYEZA PICHA KUONA VIDEO NAMI YOUTUBE USIACHE SUBSCRIBE NAMI

Mhadhiri mmoja mashuhuri wa somo la
kemia katika chuo kimoja kikuu nchini Uingereza amejiuzulu baada ya
kugunduliwa kuwa amekuwa akiishi maisha mara mbili.
Amekuwa akifunza kama Profesa na vilevile kuigiza kisiri katika filamu za ngono.SIMBA ATOROKA KATIKA HIFADHI NA KUJERUHI KENYA
LAYIII
Wiki kadhaa zimepita tangu Simba 6 walioripotiwa kutoroka kwenye hifadhi ya wanyamapori ya Nairobi Park na kuonekana wakielekea mji wa Langata.
BONYEZA PICHA HAPO CHINI KUJIUNGA NAMI YOUTUBE

Wiki
kadhaa zimepita tangu Simba 6 walioripotiwa kutoroka kwenye hifadhi ya
wanyamapori ya Nairobi Park na kuonekana wakielekea mji wa Langata.
Leo
March 18 2016 inaripotiwa tena Simba mmoja ametoroka kutoka Hifadhi ya
Taifa ya Nairobi nchini
Wednesday, 16 March 2016
MAJIMBO YOTE MUHIMU NCHINI MAREKANI NGOME YA TRUPH
LAYIII
Donald Trump amepiga hatua katika kukaribia kutwaa tiketi ya kuwania urais kupitia chama cha Republican nchini Marekani baada ya kushinda mchujo majimbo matatu makubwa, likiwemo jimbo la Florida.
Bilionea huyo kutoka New York ameshinda majimbo ya Illinois na North Carolina.Hata hivyo ameshindwa na John Kasich jimbo la Ohio.
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE
Mgombea anayeongoza chama cha Democratic Hillary Clinton naye amepanua uongozi wake kwa kupata ushindi majimbo ya Florida, Ohio, Illinois na North Carolina.
Marco Rubio, mmoja wa waliotarajiwa kutoa ushindani kwa Trump katika chama cha Republican amejiondoa baada ya kushindwa na Trump katika jimbo lake la nyumbani la Florida.

ULIIPATA HII YA MAGUFULI KUHUSU VIJANA WOTE KUFANYA KAZI BASI JIUNGE NAMI HAPA
LAYIII
Rais wa Tanzania John Magufuli amelalamikia tabia ya vijana wengi kukaa vijiweni na kucheza pool badala ya kufanya kazi mijini na maeneo ya mashambani. Rais Magufuli ametoa wito kwa wakuu wa mikoa kuhakikisha watu wanafanya kazi hususani vijana.
MSIKILIZE RAIS MAGUFULI HAPA BONYEZA PICHA

"Haiwezekani vijana wawe wanashinda vijiweni wanacheza pool, wakati wazee na akina mama wapo
Rais wa Tanzania John Magufuli amelalamikia tabia ya vijana wengi kukaa vijiweni na kucheza pool badala ya kufanya kazi mijini na maeneo ya mashambani. Rais Magufuli ametoa wito kwa wakuu wa mikoa kuhakikisha watu wanafanya kazi hususani vijana.
MSIKILIZE RAIS MAGUFULI HAPA BONYEZA PICHA
Rais wa Tanzania John Magufuli
amelalamikia tabia ya vijana wengi kukaa vijiweni na kucheza pool badala
ya kufanya kazi mijini na maeneo ya mashambani.
Rais Magufuli ametoa wito kwa wakuu wa mikoa kuhakikisha watu wanafanya kazi hususani vijana."Haiwezekani vijana wawe wanashinda vijiweni wanacheza pool, wakati wazee na akina mama wapo
PICHA YA UTUPU WA KIM KARDASHIAN ZAFUTWA AUSTRALIA
LAYIII
Picha iliochorwa ya utupu wa Kim Kardashian imefutwa siku chache tu baada kuchorwa na msanii mmoja mjini Melbourne nchini Australia. Picha hiyo ilichorwa na msanii Lush Sux katika ukuta mmoja wa makaazi ya mji huo. Lakini picha hiyo yenye urefu wa mita 10 ilirushiwa rangi mbali na kuwekewa maandishi machafu yalioandikwa chini yake.
BONYEZA PICHA KUJIUNGA NAMI YOUTUBE KUONA VIDEO HOTS
Picha iliochorwa ya utupu wa Kim Kardashian imefutwa siku chache tu baada kuchorwa na msanii mmoja mjini Melbourne nchini Australia. Picha hiyo ilichorwa na msanii Lush Sux katika ukuta mmoja wa makaazi ya mji huo. Lakini picha hiyo yenye urefu wa mita 10 ilirushiwa rangi mbali na kuwekewa maandishi machafu

Tuesday, 15 March 2016
UNAJUA MILIONI 50 ALIZOSHINDA KAYUMBA HUKO BONGO STAR SEARCH ZILITUMIKAJE BASI JIUNGE NAMI HAPA
LAYIII
Baada ya mshindi wa Bongo Star Search, Kayumba Juma kushinda kiasi cha pesa za kitanzania Milioni 50 bado ameonekana kukaa kwenye kambi ya Mkubwa na Wanawe.
Stori zinazo endelea mtaani juu ya mshindi wa Bongo Star Search Kayumba Juma ni kuwa toka ashinde shindano hilo na kukabidhiwa milioni 50, bado anaishi kwa kufadhiliwa katika kituo cha Mkubwa na Wanawe.

JE KUNA UKWELI KUHUSU RAIS MAGUFULI KUWAPUZIA MARAIS WASTAAFU ULINZI ........ UKWELI WOTE HAPA
LAYIII
Kwenye Gazeti la JamboLEO, toleo namba 2381 la tarehe 15 March 2016 limechapisha taarifa yenye kichwa cha habari kisemacho “Magufuli awapunguzia ulinzi marais wastaafu”
Taarifa yake kamili ipo katika ukurasa wa nne na inaeleza kuwa Rais Magufuli amewapunguzia

Monday, 14 March 2016
UNAJUA KUWA MAMA DIAMOND ALITOBOA KISA CHA ZARI NA MAISHA YAKE BONGO
LAYIII
Source na Bongoswagzz.com
Mama mzazi wa staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ametoboa siri ya mkaza mwanaye, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kushindwa kuishi Bongo na badala yake kukimbilia nchini Afrika Kusini ‘Sauz’.
UNATAKA KUONA ILE VIDEO YA DADA ALIYEKUWA AKICHEZA OFISINI BASI BONYEZA PICHA HII CHINI

Subscribe to:
Posts (Atom)