Monday, 9 November 2015

DOWNLOAD VIDEO NA USKIE NYIMBO MPYA KUTOKA KWA ADAMORE

LAYIII
Jina langu ni Adam hamis gama... Artist name nafahamika kwa jina la bongo flavor katika mahadhi ya afro pop and rap. So beautiful ni nyimbo  yangu ambayo nimeirealease officialy,ikiambatana na Video. Video ikiwaimefanywa na director Deo Abel,huku audio ikiwa imefanywa na producer Da pro,chini ya studio za SB.music. So beautiful inaelezea uzuri wa mwanamke katika nyimbo lakini nilivyokua nikipata idea ya wimbo huu nilikuwa nauzungumzia mziki,muda ambao nilikua nahustle kutoka kwenye mziki ambapo mpenzi Wangu alikua hahitaji kabisa nifanye mziki,so nikapata idea ya kumwambia kuwa yeye ni beautiful but muziki is so beautiful,ndio kupatikana nyimbo SO BEAUTIFUL. Nawaomba mashabiki wa muziki afrika na dunia kutupa support artist tunaochipukia kwenye huu muziki.

HII NI ZAIDI YA NOMA MMASAI KAINGIA CHUMBA CHA HABARI NA KUKATISHA SHUGHULI NZIMA WA UTANGAZAJI

Layii
embu tucheke wote hapa mtu wangu, wakati habari zikiendelea kutangazwa mmasai mmoja aliyeonekana kama hana akiri vizuri kaingia katika chumba cha matangazo cha habari wakati shughuli za utowaji wa habari zikiendelea kama kawaida na kusitisha shughuli nzima za uendeshaji wa habari
BONYEZA HAPA KUONA CLIP NZIMA
Na kwa wakati huo huo mwana mitindo mmoja atia fora baada ya vazi lake kuonekana limekaa kiajabu ajabu fuatilia video hapo chini kuona yaliyo jili

UKWELI KUHUSU NGUVA ALIYE KAMATWA NA MTALII HUKO ZANZIBAR

Saturday, 7 November 2015

JINSI YA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI NA YOUTUBE








How Many Views Does it Take to Make Money on YouTube?

How many views does it take to make money on youtube


How many views does it take to make money on YouTube?  This is a common question asked and it really depends on who you ask.  You may have heard that you’ll make one dollar per thousand views or that it’s $1,000 per Million Views.  Some say it’s $5 per thousand views.  Well, we’re asking the wrong question.  We should be asking, “How much ENGAGEMENT does it take to make money

Monday, 26 October 2015

MATOKEO YA KURA ZA URAIS KUTOKA MAJIMBO KUMI YA TANZANIA

LAYIII





MANENO YA KAMANDA KOVA JUU YA USAMBAZWAJI WA MATOKEO YA UCHAGUZI YASIYO HALAI

LAYIII
Tukiwa bado tunaendelea na Uchaguzi Mkuu kumekuwa na matukio mbalimbali yanayojitokeza kama kuenea kwa taarifa za washindi wa wagombea kutoka sehemu mbalimbali, sasa kamanda wa polisi wa kanda maalum, Suleiman Kova amezungumza na waandishi wa habari kuhusus na matukio hayo

Thursday, 22 October 2015

NAPE APATA AJALI MBAYA LINDI

LAYIII

Muonekano wa gari ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye, Toyota Land Cruiser baada ya kupata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam.

Tuesday, 20 October 2015

MASOGANGE LAIVU NA MIDUME MIWILI HOTELINI

layiii
MASOGANGE5
Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’.
Hamida Hassan na Gladness Mallya
AIBU jamani! Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ ametia aibu baada ya kunaswa laivu hotelini akifanya yake na wanaume wawili tofauti, Ijumaa Wikienda linaripoti.
Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na Masogange, tukio hilo lilijiri katika Hoteli ya Lamada iliyopo

Utapenda kuiona official video ya mdundo wa Drake; “Hotline Bling”! – (Video).

layiii
Drake kwenye headlines za burudani… baada ya kuachia single yake ya “Hotline Bling” wasanii wengi wa muziki Marekani wamekuwa wakionyesha support yao juu ya single hiyo kwa kufanya remix tofauti ya single hiyo.

Sunday, 11 October 2015

UBUNIFU HUU UNGEKUWA BONGO BASI TECHNOLOJIA YETU INGEKUWA HARAKA SANA

LAYIII


RedBull Racing of Homemade Vehicles, part 2, 2011


In my opinion, it was the best contender, and when he was racing down he was sitting at the office desk.
At the last weekend I took my portrait lens and went to an amateur racing which had been sponsored by the RedBull company. The post is continued with about twenty photos with comments.

Saturday, 10 October 2015

KWELI WATU WANATOKA MBALI ONA WANASOKA HAWA KABLA YA KUPATA MAFANIKIO

LAYIII
Katika maisha kuna mambo mengi ya kupitia hadi kufikia mafanikio mara nyingi au kwa asilimia kubwa wengi waliofanikiwa katika maisha walihangaika kufikia kilele hicho cha mafanikio kiasi hata cha kufikia kuwa mfano mzuri kwa vijana wanaohangaika kusaka mafanikio katika soka. October 11 naomba nikusogezee kazi za kwanza za mastaa hawa wa soka.

Friday, 9 October 2015

PICHA ZA MSHINDI NA ZOTE ZA FINALI YA BSS 2015 (PICHAZ+)

LAYIII


Mshindi wa BSS 2015, ni kayumba Juma
Yatosha
IMG_5165_800_600
Marry Katto ameaga mashindano ya BSS 2015

KAMA ULIPITWA NA ISSUE YA MREMA KUMPIGIA PROMO MAGUFURI CHEKI HAPA

LAYIII

Yatosha
VUNJO, KILIMANJARO

Yakiwa yamesalia majuma mawili  kuelekea uchaguzi mkuu mgombea ubunge wa jombo la vunjo kwa tiketi ya TLP mkoani Kilimanjaro Lyatonga Mrema amewaomba wananchi kumchagua mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk John Magufuli kwa kile alichodai kuwa Magufuli ndiye mgombea urais mwenye vigezo na anafaa kuliongoza taifa la Tanzania.

PICHA KATIKA RED CARPET YA BONGOSTAR SEARCH TANZANIA

LAYIII
Ndani ya Ukumbi wa King Solomon Hall, Kinondoni Dar es Salaam kinachoendelea sasahivi ni Fainali ya Bongo Star Search Season 8… nimeanza kukusogezea hizi pichaz za kwanza kuanzia Red Carpet mpaka ndani.

advertise here