Sunday, 19 July 2015

RED CARPET PLATNUMZ MWANZO MWISHO HADI TUZO YA BEST LIVE P.......

LAYIII


ULIMISS KUONA MAPOKEZI YA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUSHINDA TUZO ZA MTVMAMA NIMEKUSOGEZEA HAPA

LAYIII

Screen Shot 2015-07-19 at 8.35.00 PM
Diamond Platnumz jana katangazwa Mshindi wa Tuzo moja ya MTV MAMA 2015 Category ya Best Live Act, hajachelewa kurudisha Tuzo home.. tayari kaingia Dar es Salaam na hata kabla hajafika Uwanja wa Ndege kulikuwa na Kundi kubwa la watu waliofurika

MATOKEO YA AZAM FC .........KOMBE LA KAGAME HAPA

LAYIII

azaaa
Klabu ya Azam imeanza vyema michuano ya kombe la Kagame inayoendelea kwenye uwanja wa Taifa, Dar es salaam baada ya kuwafunga KCCA ya Uganda bao

ONA VIDEO ALIYO POST DIAMOND HAPA IKIMONYESHA KIDOTI AKICHEZA NA MANENO ALIYO AMBATANISHA

LAYIII

photo-collage
Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za #MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @  
BAADAYE NAYE JOKATE KATUPIA LAKE HAPA MTU WANGU


NIMEKUSOGEZEA KIONJO CHA SHOW YA DIAMOND HUKO MTV

LAYIII



UVUMI WA LOWASA KUHAMIA CHADEMA NA MAGAZETI YA LEO 19/07/2015

LAYIII
MWANANCHI
Mbunge wa Kahama, James Lembeli ameiweka njiapanda CCM baada ya kutangaza kutogombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho.
Uamuzi wa Lembeli umekuja wakati wanachama kutoka sehemu mbalimbali wakitangaza uamuzi wao wa kujiengua CCM na kujiunga na vyama vya upinzani, hasa Chadema ambayo imesomba asilimia kubwa ya wahamaji hao.

LEMBELI kuihama CCM?, Mafuriko ya LOWASSA CHADEMA na Mwinyi avunja ukimya…#MAGAZETINI JULY19

LATE
MWANANCHI
Mbunge wa Kahama, James Lembeli ameiweka njiapanda CCM baada ya kutangaza kutogombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho.

SIKILIZA MAJIBU YA BENK KUU YA TANZANIA KUHUSU UWEPO WA SARAFU YA TSH 500

LAYIII
Kwenye hii post tumeipata benki kuu ya Tanzania ambayo iko tayari kuzungumzia ishu ya sarafu mpya ya shilingi mia tano kutoonekana sana kwenye mzunguko wa fedha nchini Tanzania.

BOTKwenye hii post tumeipata benki kuu ya Tanzania ambayo iko tayari kuzungumzia ishu ya sarafu mpya ya shilingi mia tano kutoonekana sana kwenye mzunguko wa fedha nchini Tanzania.

Saturday, 18 July 2015

MTVMAMA YAKAMILISHA KAZI YAKE TUZO MOJA NYUMBANI MTU WANGU

LAYIII
Yako majina mawili yaliyoiwakilisha Tanzania kwenye Category 13 za MTV Africa Music Awards 2015, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ‘Vee Money’… kura zimepigwa na leo ndio ilikuwa fainali yenyewe ndani ya Durban South Africa ukumbi wa Durban International Convention Centre.
CKOalk7UMAAasmN

Tanzania imetoka kifua mbele pia kwa mara nyingine, Daimond Platnumz kafanikiwa kupata ushindi wa Tuzo ya Best Live Act, ambapo alikuwa katika Category tatu tofauti na Vee Money alikuwa kwenye Category moja.
List ya Washindi wote hii hapa..

DIAMOND KAELEZEA UKWELI JUU YA BIFU LAKE NA DAVIDO

LAYIII


ETI LAZIMA MWANAJESHI UWE NA SURA NGUMU TANZANIA EMBU CHEKI HAWA WATOTO WAZURI

LAYIII

Hawa Ni Watoto Wa Kike Kutoka Rwandan Army!! Ohh Mama Mia!!

Rwanda-Army11
Watu wengi wameshazoea kwamba wanajeshi lazima uwe na sura ngu… hivi, hakuna watoto wakali na nini! lakini kwa jeshi la Rwanda ni tofauti aisee watoto wakali kinoma, imeletea mijadala kibao

NIMEKUSOGEZEA VIDEO HAPA JINSI DIAMOND ALIVOKUWA AKIHOJIWA NA WAANDISHI HUKO DURBAN

LAYIII

Kwenye Press conference hapa Durban South Africa Waandishi wa habari wa nchi mbalimbali Afrika na hata wengine wa Uingereza walikua wakihoji mastaa mbalimbali w

KATIKA PRESS CONFERENCE DIAMOND HAJABAKI NYUMA BADO ........... NI KATIKA TUZO ZA MTVMAMA MJINI DURBAN

LAYIII
 
.
.
Ni july 17 ambapo Diamond Platnumz, Neyo, Jhene, Bucie, P Square na wasanii wengine waliungana na MTV Base kwenye mkutano wa waandishi wa habari kutoka media mbalimbali uliofanyika Durban Afrika Kusini.

KUTANA NA MAGAZETI YA LEO 18/07/2015 HAPA

LAYIII

MAGAZETI TZ
Good morning mtu wa nguvu.. swaxbz.com huwa inakuwekea stori za Magazetini kila siku asubuhi.
Ninayo tayari hii post ya Magazeti ya Tanzania leo July 18 2015, story zote kubwakubwa >>> Udaku, Hardnews na Michezo <<< zote ninazo hapa.

Friday, 17 July 2015

MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZ WAKE WALIVOPOKELEWA HUKO ZANZIBAR

LAYIII
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari la wazi pamoja na mgombea mwenza Mhe.Samia Suluhu Hassan kwenye mitaa ya Michenzani Zanzibar.
Mhe. Magufuli aliwasili Zanzibar kwa lengo la kutambulishwa kwa wanachama wa CCM Zanzibar akiongozana na mgo

WAJUE ALIENS HAPA MTU WANGU

LAYIII

Makala na Sifael Paul
MPENZI msomaji ungana nami katika simulizi hii mpya ya kweli inayohusu viumbe wa ajabu waishio angani. Kama ni msomaji wa vitabu vitakatifu, Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Inahisiwa kuwa visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana.
Viumbe hao wa ajabu waishio angani wanaitwa Aliens. Wana muonekano kama binadamu isipokuwa hawafanani moja kwa moja na binadamu. Viumbe hao waliogundulika karne kadhaa zilizizopita

SABABU YA FIFA KUBADILI BAADHI YA KANUNI

LAYIII
Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA lina mpango wa kuzifanyia marekebisho kanuni zake ili kuzibana nchi zinazowania kuandaa Kombe la Dunia, zisitumie mwanya wa misaada ya kifedha kwa nchi nyingine kama rushwa.

Kipengele kile kinachoziruhusu nchi zinazoshindania nafasi ya kuandaa Kombe la Dunia kusambaza pesa katika nchi nyingine huenda kikafutwa.

WATU AROBAINI WAFARIKI NIGERIA KISA SOMA HAPA CHINI

LAYIII
Wafanyakazi wa uwokoaji Nigeria wanasema katika eno la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo katika mji wa Gombe watu arobaini wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa baada ya milipuko kutokea kwenye soko katika eneo hilo.

Mlipuko wa kwanza umetokea nje ya kwenye maegesho nje ya duka la viatu, na kufuatiwa na mlipuko mwingine muda mfupi baadae. Mmoja ya wafanyakazi wa uokoaji miongoni mwa waliouwa ni wanawake na watoto.

HABARI YA MJINI CHANZO CHA WEMA KUGOMBE UBUNGE CHAJULIKANA

LAYIII
Erick Evarist
MADAM Wema Sepetu ameweka bayana kuwa mtu aliyemsukuma kujiingiza kwenye siasa ni marehemu baba yake, Abraham Sepetu. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Wema ambaye juzi alitarajiwa kuchukua fomu ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, alisema marehemu baba yake alimpa wazo hilo

KUTANA NA MAGAZETI YA LEO HAPA MTU WANGU

LAYIII

FREDZ
Good morning mtu wa nguvu.. www.swaxbz.com huwa inakuwekea stori za Magazetini kila siku asubuhi.
Ninayo tayari hii post ya Magazeti 23 ya Tanzania leo July 17 2015, story zote kubwakubwa >>> Udaku, Hardnews na Michezo <<< zote ninazo hapa.

KUTANA NA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO TAREHE 17/07/2015 HAPA MTU WANGU

LAYIII
SAUTI ZOTE NIMEKUWEKEA HAPA MTUWANGU WA UKWELI
999
Inawezekana ulikuwa mbali na redio yako na uchambuzi wa magazeti kupitia @Clouds.Fm umekupita, nimefanya juhudi za kukurekodia zile zote kubwa zilizosikika leo kwenye @Power breakfast….
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Magufuli jana apokelewa kwa kishindo Zanzibar na fukutu la kuchukua fomu za Ubunge zimeanza rasmi jana.

advertise here