Monday 20 April 2015

HAYA SASA KULIKONI SHAMSA NA SIWEMA WA NEY?????????


KUMEKUCHA NA SWAXBZ LAYIII
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ , Siwema.
Imelda mtema
Kazi imeanza! Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambaye kwa hivi sasa ni mpenzi mpya wa mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi wa zamani wa Mbongo-Fleva huyo, Siwema wameanza kuchimbana baada ya hivi karibuni kurushiana madongo.

TOTO RIHANNA LAJIACHIA MJINI HAWAII MAREKANI

Mwanamuziki, Robyn Rihanna Fenty (27) 'Rihanna' akitembea akiwa kashika glasi ya juisi  katika fukwe za Hawaii, Marekani  jana Jumapili.

Saturday 18 April 2015

UNAIKUMBUKA HII......... AY NDIYE WAKALA WA GODFATHER WA AFRIKA KUSINI

NA SWAXBZ LAYIIII





Ambwene Yassaya-AY
Ambwene Yassaya-AY
Mkali wa mziki wa kizazi kipya Tanzania Ambwene Yesaya-AY anayetamba kwa kibao chake cha ‘Asante’ ndiye wakala wa muongozaji Godfather mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini.
AY amesema msanii yeyote wa Afrika Mashariki anayehitaji kufanya video chini ya muongozaji huyo ni lazima apitie kwake kwani yeye ndiye wakala wake hapa Afrika Mashariki.
Alisema… “Huwezi kufanya video na Godfatherni lazima utapita kwangu na utalipa gharama zote kwangu kwani tumeingia deal pamoja.”

ALICE WA THT APATA KI------;;;;;;; JUKWAAANI

NA SWAXBZ LAYIIII
 IMG-20140508-WA0001
Kulikuwa na story nyingi kwenye Hekaheka.. kukawa na ugeni wa msanii wa THT, anaitwa Alice  akasimulia Hekaheka yake aliyokutana nayo akiwa kwenye show.

NEY WA MITEGO HOI

NI BAADA YA MAJIBU YA DNA YA MTOTO ANAYEDAIWA KUWA NA BABA MWINGINE EMBU FUATILIA HATUA KWA HATUA HAPA

NA swaxbz layiiiii

Majibu ya Nay wa Mitego baada ya kupima vipimo vya DNA kwa mtoto wake yametoka.

neyBaada ya

JINSI RAIA WALIVO HAHA KUHAMA BAADA YA MACHAFUKO AFRIKA KUSINI

SWAXBZ LAYIIII
Maandamano ya kupinga ghasia dhidi ya wageni yalifanyika mjini Durban.
Raia wa kigeni wakitoa bidhaa katika maduka yao kufuatia kushambuliwa na wenyeji.

Friday 10 April 2015

TASWIRA YA MGOMO WA MADEREVA JIJINI DAR

NA SWAXBZ LAYIII
AW1A1307
Kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii, redioni na TV ni ripoti ya story kubwa ya mgomo wa mabasi ya abiria, nikasogea Kituo cha Mabasi Ubungo kuona hali ilivyo.
Vurugu kubwa zimezuka, yakachomwa matairi ya magari barabar

Monday 6 April 2015

MALEGEND AMBAO NI WAJASILIAMALI WAKUBWA WA KUIGWA

NA SWAXBZ LAYIIIIIIIIII

Sean John ' P. Diddy'.
LICHA ya wasanii nyota wa filamu wa Hollywood nchini Marekani kuingiza fedha nyingi kutokana na kuigiza na kudhaminiwa na makampuni makubwa, waigizaji wa Nigeria waliochini ya Nollywood, mambo yao hayaendi vizuri kama wanavyotaka.
Pamoja na kupata mafanikio makubwa katika kuigiza, waigizaji wa Marekani wamejiingiza katika sanaa nyingine nyingi kama yale ya fasheni za mavazi ambako wameingiza mkwanja mkubwa.
Nyota ambao wanaingiza mkwanja mkubwa kila mwaka katika anga hizo, kwa mujibu wa gazeti la Forbes ni pamoja na Nicole Richie ambayo imemwingizia Dola milioni 2, Rachel Zoe Collection (milioni 20), Justin Timberlake na rafiki yake Trace Ayala (milioni 50), Gwen Stefani (milioni 90) na . Victoria Beckham milioni 95) alizovuna mnamo mwaka 2011 peke yake.

Friday 3 April 2015

ETI DAR KUNA KELELE E BANA EEE MIJI HII NI NUKSI KWA KELELE DUNIANI

SWAXBZ LAYIIIII BLOGGER
nyc-skyline
Moja ya ishu zilizojadiliwa Bungeni katika vikao vilivyofanyika ndani ya wiki hii ni suala la kelele ndani ya Miji Mikubwa TZ kam vile Dar.. Wabunge wakasema ikiwezekana kuwepo utaratibu wa kufungia kumbi za sherehe ambazo zinaongoza kwa kupiga muziki na kusababisha kero ya kelele.

BAADA YA MUDA KIDOGO NANII AKIWA RAISI DAR USAFIRI NI HIVI

NA SWAXBZ LAYIIIIII
Tram 5Nakupeleka moja kwa moja kwenye jiji la Barcelona Spain, ni jiji ambalo mpaka mwaka 2011 lilikua na watu zaidi ya milioni moja na laki sita ndani yake na sasa wanasema kuna zaidi ya watu milioni 5 ambapo ni jiji la pili kwa ukubwa kwenye nchi ya Hispania.
Barca 3Unaambiwa usafiri huu wa Tram ulianza kufanya kazi kwenye mji wa Barcelona toka mwaka 1872 lakini barabara zilizokua

Wednesday 1 April 2015

KWA WANATECHNOLOGIA SASA ANGALIA JINSI YA KUPLANT NUCLEAR { I MEAN NUCLEAR INSTALLATION}

Pressurized Water Reactors (also known as PWRs) keep water under pressure so that it heats, but does not boil. This heated water is circulated through tubes in steam generators, allowing the water in the steam generators to turn to steam, which then turns the turbine generator. Water from the reactor and the water that is turned into steam are in separate systems and do not mix.
View animated image of a Pressurized Water Reactor
Source: Nuclear Regulatory Commission

amizing houses,SWAXBZ LAYIIII

.Maajabu ya kuvutia.. yani zimetengenezwa nyumba na Hotel kwa ubunifu wa nguvu mtu wangu.
Nyumba za vioo, nyumba za miti.. Ziko nyingi hapa mtu wangu, unaweza kuzicheki

advertise here