Wednesday, 21 January 2015

WEB SITE YA TBCCLTD.CO.TZ IMEINGILIWA NA WAVAMIZI WANAOJIITA MAHACKERS

Ikiwa imebakia siku chache tu kampuni ya tanzania busness creation company limited kufanya kongamano lao websiteyao imevamiwa na wavamizi wanao jiita

Thursday, 15 January 2015

DIAMOND ADHIBITISHA KUWA ZARI ANA MIMBA YAKE

MWANAMKE MWENYE KOVU JEUSI

HEKA HEKA MJINI NI HADITHI NZURI YA KUSISIMUA NA KU VUTIA
Nakumbuka vizuri ilikuwa siku ya jumapili ambayo kama ilivyoada kwangu huwa sikosi kwenda kanisani hasa misa ya kwanza kwani huwa napenda sana kusali misa ya kwanza ili baadaye niweze kuendelea na mambo yangu mengine,siku hiyo niliamka asubuhi na mapema kutoka pale nyumbani kwangu mnazi mmoja karibia na ofisi za chama cha mapinduzi za mkoa wa Dar-es-salaam na kuelekea kanisani pale saint.alban posta taratibu kwa miguu kwani gari yangu ilikuwa imeharibika wiki ya pili sasa na isitoshe pale nyumbani kwangu mpaka pale posta hapakuwa mbali sana kiasi cha kama dakika 20 tu hasa kwa kijana kama mimi ambaye damu ilikuwa bado inachemka.niliingia pale kanisani nikiwa sijachelewa sana misa ilikuwa imeanza kama dakika 7 hivi nakumbuka sana somo la siku hiyo alilolitoa padri Kiaka lilikuwa linahusu umuhimu wa kuombea siku yako ya kufa kwani haina siku wala saa.

Mahakama yasitisha mgomo wa walimu Kenya

Mgomo wa walimu wa shule za umma nchini Kenya umesitishwa baada ya agizo la mahakama kwamba walimu warejee kazini wiki ijayo ikiwa afueni kwa wanafunzi
Agizo hilo limetolewa baada ya mazungumzo ya siku nzima kati ya chama cha kutetea masilahi ya walimu pamoja na upande wa serikali katika mahakama ya viwanda.
Mahakama hio imewaaamuru walimu kurejea kazini na kwamba hakuna anayepaswa kuchukulia hatua za aina yoyote kwani mgomo huo ulikuwa halali.
Serikali pamoja na upande wa walimu zimetakikana kuwasilisha mapendekezo kuhusiana na malipo ambayo walimu wanataka.
Mazungumzo hayo, yananuiwa kusuluhisha mgogoro wa malipo kati ya walimu na serikali.
Kufuatia agizo hilo la mahakama , walimu wanatarajiwa kurejea kazini Jumatatu huku wazazi na wanafunzi wakipata afueni.
Juhudi za hapo awali kujaribu kuzuia mgomo huo hazikufua dafu huku mgomo huo ukiingia katika wiki yake ya pili.
Wabunge pia waliitaka serikali kusuluhisha mgomo huo na kuwapa walimu wanachotaka kwani wanafunzi hawajafunza tangu muhula mpya wa shule kuanza nchini Kenya.


Wednesday, 14 January 2015

LULU: MAPEDESHEE NDO WANAOWEKA WASANII WA KIKE MJINI SIO FILAMU KAMA WATU WANAVYOAMINI

ELIZABERTH MICHAEL amefunguka hayo baada ya baada ya watu wengi kuamini kuwa wasanii wengi wanafanikiwa kutokana nafilamu badala yake amesema kwamba wasanii wakike wana biashara iliyo jificha na isiyo halali  WASANII WAKIKE HAWAJISHUGHULISHI NA FILAMU WAJITANGAZE KIMATAIFA BADALA YAKE WANATUMIA MUDA MWINGI KUFANYA BIASHARA ISIYO RASMI NA ILIYO JIFICHA
LULU KATIKA POZE NZITO

ZANZIBAR FULL SHANGWE ADA ZA MASOMO KUFUTWA

RAIS wa serikali ya mapinduzi zanzibar kutupiliambali ada za mitiani ya sekondari katika shehehe za miaka 51 ya mapinduzi zilizo fanyika mjini zanzibar juz
WAKATI Watanzania wakihitimisha maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Zanzibar, wakazi wa Zanzibar wamejikuta wakiadhimisha sherehe hizo kwa mtindo wa pekee baada ya kufutiwa malipo ya ada kwa shule za msingi na sasa elimu hiyo inatolewa bure visiwani humo.
Kama hiyo haitoshi, pia katika kilele cha maadhimisho hayo, ilibainishwa kuwa kuanzia sasa wazazi hawatochangia malipo ya ada ya mitihani ya kidato cha nne na cha sita.
Habari hizo njema zilibainishwa na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein, ambaye alisisitiza kuwa uamuzi huo unatokana na utekelezaji wa dhamira ya mapinduzi ya Zanzibar ya kuwapatia wanafunzi wote elimu bure, kama ilivyoasisiwa na hayati Karume na kutangazwa Septemba 23, mwaka 1964.
Wakati Dk Shein akitangaza unafuu huo katika elimu kwa wakazi wa Zanzibar, tayari Rais Jakaya Kikwete, naye hivi karibuni alitangaza rasmi kuwa serikali inaangalia uwezekano wa kufuta ada katika shule zake za sekondari.
Kwa mujibu wa Rais Kikwete, lengo la kufuta ada hizo ni kusaidia wanafunzi wengi ambao wanashindwa kuendelea na elimu hiyo, kutokana na ukosefu wa fedha waweze kuendelea na masomo yao.

TBCC KUFANYA SEMINA YA KUFUNGUA MWAKA KATIKA TBCC HOUSE

Tanzania business creation company limited kufanya kongamano la maarifa katika tbcc house siku ya tarehe 26/01/2015 mwaka huu fika bila kukosa na wahi ratiba yako kwani ni bidhaa mpya kabisa zitafundishwa kwa nadhalia na vitendo



baadhi ya wanafunzi wakisikiliza kwa makini na kujadiliana kabla ya mafunzo kwa vitendo kuanza



baadhi ya wanafunzi wakijifunza upambaji wa keki batiki na mishumaa

SWAXBZ 7 WINNING BUSINESS PROPOSAL


Many contracts are awarded solely on the quality of the proposal, so don't let sloppy writing or careless mistakes ruin an otherwise terrific proposal.
 
To make sure that the completed proposal looks as professional as possible, print it on quality paper and have the final copy professionally bound. Then get ready to put your proposed solution into action.

If no format is specified, SWAXBZ  recommends the following headings be used:
  1.  Current Situation. Explain the background or problem that motivated the organization to issue an RFP. This section will be compiled from the background information outlined in the RFP, as well as from the research you performed in Step 2.
  2.  Goals. Clearly explain the goals of your proposal. You formulated these in Step 2, based on the RFP and your understanding of the organization and their problems.
  3.  Proposed Methodology. Describe each of the recommended steps, developed in Step 3, that will lead the organization to meeting their goals.
  4.  Time and cost. Thoroughly explain the time and cost requirements for each step in the methodology, based on your calculations from Step 3. This section should also specify how you will be billing the client, and when payment will be expected.
  5.  Qualifications. Fully describe why yours is the best company for this job. This information will be based on your competitive strengths and on the proposal's evaluation criteria, which you developed in Step 5.
  6. Benefits. Discuss the many benefits the client will receive by implementing your recommendations. This section is based on the benefits identified in Step 4.
  7. Apply the Finishing Touches. Review the proposal carefully to ensure it completely fulfills the requirements set out in the RFP. Make sure the information is arranged logically and that it fully addresses each of the decision maker's concerns. Finally, have someone you trust proofread the proposal to catch spelling and grammatical errors.
    SWAX BZ@SWAXBZ
    SWAXBZ SUMBAWANGA BOY {YOUNGBOSS} ON POSE

advertise here