ELIZABERTH MICHAEL amefunguka hayo baada ya baada ya watu wengi kuamini kuwa wasanii wengi wanafanikiwa kutokana nafilamu badala yake amesema kwamba wasanii wakike wana biashara iliyo jificha na isiyo halali WASANII WAKIKE HAWAJISHUGHULISHI NA FILAMU WAJITANGAZE KIMATAIFA BADALA YAKE WANATUMIA MUDA MWINGI KUFANYA BIASHARA ISIYO RASMI NA ILIYO JIFICHA
LULU KATIKA POZE NZITO
No comments:
Post a Comment