Thursday, 17 November 2016

KINGINE KUHUSU SCOPION MTOA MACHO HIKI HAPA

Upelelezi wa kesi inayomkabili Salum Njwete maarufu kama Scorpion anayetuhumiwa kumsababishia upofu wa kudumu Saidi Mrisho umekamilika na hatimaye shauri hilo litasomwa Novemba 30 mwaka huu katika mahakama ya manispaa ya Ilala.

Njwete anatarajiwa kusomewa mashtaka yake baada ya yale ya kwanza kufutwa ambapo itakuwa ni mara ya kwanza kusikilizwa baada ya kufunguliwa mashtaka mapya.

Huyu ndiye Scropion, kijana aliyejizolea umaarufu ambapo watu wengi hupenda kumshuhudia kila aingiapo na kutoka mahakamani huku kila mmoja akizungumza lake kwa kesi inayomkabili.

Alipoingia mahakamani leo, aliomba ufafanuzi wa wazi juu ya mashtaka yanayomkabili ambapo upande wa jamhuri kupitia kwa wakili wake Chesensi Gavyole walisema ushahidi umekamilika.

Kutokana na kuombwa ufafanuzi, Hakimu anayesimamia kesi hiyo Flora Haule amesema baada ya upelelezi huo kukamilika kesi hiyo itasomwa Novemba 30 mwaka huu, hivyo mshtakiwa atapata ufafanuzi wa mashtaka yake .

Ikumbukwe kwamba Oktoba 19 mwaka huu, Salum Njwete maarufu kama Scropion alifutiwa kesi na kisha kusomewa upya mashtaka yake kutokana na uamuzi wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) aliyeomba kufanya hivyo baada ya hati ya awali kuwa na mapungufu ya kisheria
VIDEO DAKIKA TANO KOFFI OLOMIDE ALIVYOMPIGA DANSA WAKE

DALILI MUHIMU ZA MWANAMKE ALIYEFIKA KILELENI

Wanaume wengi sana hua tunadanganywa na wenza wetu kua tumewaridhisha vya kutosha lakini ukweli hua hakuna kitu

Hua wanafanya kwa nia njema tu kwani wanaume hua tunajiskia amani sana kuambiwa umemfikisha mtoto wa kike kwani ni jambo la kishujaa kama trumph uchaguzi us

Wednesday, 16 November 2016

DONALD TRUMP AZIKATAA DOLA 400,000 ZA MSHAHARA WA RAIS..ADAI ATAJILIPA DOLA 1 KWA MWAKA

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema hataki kulipwa mshahara wa rais wa $400,000 atakapochukua hatamu Januari mwakani. Badala yake atakuwa akilipwa dola moja ya Marekani ($1) pekee kila mwaka  sawa na shilingi 2000 ya kitanzania.

Monday, 14 November 2016

MWEZI MKUBWA ZAIDI KUONEKANA DUNIANI

Mwezi mkubwa zaidi kuonekana

Watazamaji wa anga wanajiandaa kuuona mwezi mkubwa zaidi wakati ambapo utakaribia dunia tangu 1948.

Uingereza itakuwa na fursa nzuri kuuona mwezi huo siku ya Jumatatu jioni,licha ya kuwa utakaribia dunia mwendo wa saa tano na dakika 21 muda wa GMT ambapo utakuwa umbali wa kilomita

WAZIRI MKUU DRC AJIUZULU

Wadhifa wa bwana Ponyo utachukuliwa na mwanachama wa upinzani
Waziri mkuu nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Augustin Matata Ponyo, amejiuzulu na kutoa fursa ya kuteuliwa mrithi wake kuongoza serikali ya mpito.
Kujiuzulu kwa bwana Ponyo ni sehemu ya makubaliano yaliyotiwa sahihi mwezi uliopita kati ya serikali ya Rais Joseph Kabila na baadhi ya vyama vya upinzani ya kuhairisha uchaguzi wa urais hadi mwezi Aprili mwaka 2018.

MICHIRIZI INAYOONEKANA KTK MIILI YA WANAWAKE HUASHILIA NINI

Hivi Ile michirizi inayoonekana kwa baadhi ya kinadada nyuma ya goti wakiwa wamevaa sketi fupi huwa ni ishara ya NINI AU NI utamu wao kama Mwana FA alivyoimba

BAADA YA TRUMP KUSHIDA URAIS MAREKANI TB JOSHUA AFUNGUKIA UTABIRI WAKE ULIOGONGA MWAMBA

Mhubiri mashuhuri raia wa Nigeria TB Joshua amevunja kimya baada ya utabiri wake kuwa mgombea urais nchini Marekani Hillary Clinton angeshinda, kugonga mwamba.

Mhubiri huyo alikejeliwa kwenye mitandao ya kijamii wakati ujumbe wa utabiri wake, kufutwa na baadaye kurejeshwa katika akaunti yake ya Facebook kufuatia ushindi wa Donald Trump.

Hata hivyo, wafuasia wake wamekuwa wakimtetea wakisema kuwa utabiri wake ulitimia kwa sababu

Sunday, 13 November 2016

GIGY, AMBER LULU WAINGIA KWENYE VITA BARIDI

gigy_money
Gift Stanford ‘Gigy Money’.
Ma-video queen wasumbufu Bongo, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ na Gift Stanford ‘Gigy Money’ wapo kwenye vita baridi (vita ya maneno) kufuatia Gigy kumchamba mwenzake kutokana na yale

LIST YA WACHEZAJI BORA DUNIANI KUANZIA MWAKA 20006 HADI 2015


https://youtu.be/xU0jMQS1vuAhttps://youtu.be/xU0jMQS1vuA
https://www.youtube.com/watch?v=keucMcCM1Ww
2015 Lionel Messi ni mmoja wa wachezaji walio juu duniani. alizaliwa Argentina, kwa sasa anachezea club ya Barcelona katika ligi za hispania. Pia anajulikana kama Leo, La Pulga Atomica (The Atomic Flea) alizaliwa 24 June 1987,huko Rosario, Argentina
Wazazi wake ni Jorge Horacio Messi ( was a factory worker) na Celia María Cuccittini (was a

advertise here