Thursday, 12 November 2015

RAIS MAGUFULI AKABIDHIWA RASMI OFISI IKULU NA RAIS MSTAAFU KIKWETE JANA

layiii
bonyeza picha itakupeleka moja kwa moja katika video ya makabidhiano huko ikulu
https://youtu.be/lBnsPvAdEWg
Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono kwa furaha na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika jana Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais.

MAREKANI YAMSHAMBULIA JIHADI JOHN

layiii


Image caption Marekani bado inachunguza kubaini iwapo ameuawa
Bonye za picha  kuona shambulio hilo
John 

Wanajeshi wa Marekani wametekeleza shambulio la kutoka angani lililomlenga mwanamgambo wa Islamic State kutoka Uingereza ajulikanaye kama "Jihadi John", Pentagon amesema.
Mohammed Emwazi, Mwingereza aliyezaliwa Kuwaiti, alilengwa kwenye shambulio hilo lililotekelezwa karibu na mji wa Raqqa, nchini Syria.

MWANAMKE AENDESHA BASKELI KWA KIDOLE CHA MGUU

LAYIII
Kama ni mpenzi wa video za ajabu ajabu basi video hii inakuhusu mwangalie mwanamke aliyeendesha baiskeli yake kwa kidole cha mguu wake bila kudondoka mtu wangu
kama unapendelea kucheka unaweza chukua muda wako pia kuche na hili hapa alilofanya huyu kaka la kujifanya kipofu

MBASHA LIVE NA KIFAA

LAYIII
https://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sARichard Bukos
CHA KUFIA! Msanii wa muziki wa Injili Bongo, Emmanuel Mbasha, Alhamisi iliyopita alinaswa kwenye maongezi yaliyoambatana na pozi lenye maswali kwa kuonekana akichukua namba fastafasta kwa mrembo ‘kifaa’.

EDWARD LOWASSA JUKWAANI TENA ARUSHA AWATISHIA VIGOGO

LAYIII
Good Morning mtu wangu asubuhi yako inaendaje? Inawezekana uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita, pengine ulikuwa busy na hukuzipata zote kwenye kuperuzi na kudadis redioni ila nilizozirekodi zote ziko hapa.
Wajawazito wafichua madudu ya hospitali ya mkoa wa Arusha, Mt. Meru baada ya kukosa vipimo muhimu kama Ultra-sound na hivyo kulazimika kwenda hospitali binafsi ili kupata huduma hiyo, vita

Wednesday, 11 November 2015

PIPO

Hii ngoma audio yake ilifanyika hapahapa Tanzania mwishoni mwa mwezi April 2015 wakati ambao rapper AKA alitua baada ya kupata mwaliko wa party ya Zari All White iliyoandaliwa na mastaa wawili wapenzi, Diamond Platnumz na Zarina Hassan a.k.a Zari the Boss Lady.

NDOA YA MIAKA KUMI NA NNEE YASHTUKIWA

LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUONA HOT VIDEO HAPO CHINI
Hii stori imegusa kwenye vichwa vya habari za Magazeti ya Tanzania November 11 2015, lakini reporter wa millardayo.com amempata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, na kasimulia stori ilivyokuwa mwanzo mwisho mpaka wakapata taarifa kuhusu mpango wa ndoa

HEY IS THIS A JOKES?

N
Si vibaya nikashare na nyie kile kinacho nichekesha na kujiskia furaha embu cheka na wewe baada ya kufanya kazi nyingi bila kupunzika

MANENO 16 YA MASANJA MKANDAMIZAJI BAADA YA KUSHINDWA UBUNGE...........VIDEO YA MWANAMKE ALIYE WATEGA WANAUME KWA KUTIKISA MAKALIO YAKE

LAYIII


Drop hapo chini kumskiliza masanja mkandamizaji

Tuesday, 10 November 2015

UKUBWA WA MAKALIO KWA WANAWAKE YAONEKANA NDIO CHANZO KIKUBWA KUBAKWA NA KUTONGOZWA NA WANAUME WENGI

LAYIII
Imeonekana wanawake wenye makalio makubwa ndio walio na ushawishi mkubwa sana kwa wanaume.hali hiii imechunguzwa na kugundulika ndio hali pekee inayo pelekea wanawake wengi kubakwa na kutongozwa tongozwa na wanaume zaidi ya kumi kwa siku moja




Utafiti huo unasema kuwa upinde wa 45.5 ndio unaovutia wanaume zaidi.  Wanaume walioneshwa picha za makalio ya wanawake wengi na asilimia kubwa iliwapendelea wanawake wenye makalio yaliyopinda kwa kiwango cha 45.5  Aidha zaidi ya asilimia 30% walisema wangalimchukua mwanamke mwenye makalio makubwa zaidi ya yule waliye naye sasa.  Kwa mujibu wa utafiti huo katika miaka ya awali mwanamke aliyeonekana kuwa na makalio makubwa alipendelewa kutokana na uwezo wake wa kubeba mizigo mgongoni.  Isitoshe mwanamke kama huyo aliwavutia wanaume wengi na hivyo kuwa na uwezo wa kuzaa watoto wengi.  Aidha mwanamke mwenye makalio makubwa angeweza kustahili uzito wa mtoto aliyebebwa tumboni na hata kustahilimi makali ya uzazi kuliko wale wenye makalio wastani.

KATIKA MAAJABU SABA YA DUNIA UWANJA WA NDEGE WA BEIJING UMECHUKUA NAFASI YA KWANZA

LAYIII

Seven modern wonders in the world: Beijing airport ranks the first 

From Britain to the Middle East and China, engineers and architects are pushing the boundaries of possibility as they strive to create the biggest and the best. The Guardian recently selected seven wonders to-be in the modern world which are near completion. Among these, Beijing Daxing Airport ranks the first and Hong Kong-Zhuhai-Macao Bridge ranks the third.
BONYEZA PICHA UJIUNGE NAMI YOUTUBU
No.1 Beijing Daxing Airport, China
Beijing Daxing Airport, which is set to be the biggest airport in the world, is designed by Iraqi-British architect Zaha Hadid. The new Terminal One will have a radial-like plan, designed to reduce

YAJUE MAJIBU YA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUULIZWA SWALI KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUSIKIA MANENO YAKE
Inawezekana ulikuwa na maswali mengi kuhusu mipango ya harusi ya staa wa Bongo Fleva Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz na Zari sasa basi ameyajibu kupitia kipindi cha Mseto cha Citizen kinachoendeshwa na Willy Mtuva.

CRISTIANO RONALDO KAZINDUA MOVIE YAKE LONDON, FERGUSON, MOURINHO NA ANCELOTTI NDANI (+PICHAZ&VIDEO)

LAYII
kuona baadhi ya crip zavideo yake unaweza kubonyeza picha yoyote hapo kisha subscribe youtube ili niwe nakupa update mpya
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo usiku wa November 9 alifanya uzinduzi rasmi wa movie yake ambayo anataja kuiandaa kwa ajili ya mashabiki wake, Ronaldo kafanya uzinduzi movie yake inayoitwa ‘Ronaldo’ akiwa pamoja na mama yake na mtoto wake Cristiano Ronaldo Junior.

Monday, 9 November 2015

DOWNLOAD VIDEO NA USKIE NYIMBO MPYA KUTOKA KWA ADAMORE

LAYIII
Jina langu ni Adam hamis gama... Artist name nafahamika kwa jina la bongo flavor katika mahadhi ya afro pop and rap. So beautiful ni nyimbo  yangu ambayo nimeirealease officialy,ikiambatana na Video. Video ikiwaimefanywa na director Deo Abel,huku audio ikiwa imefanywa na producer Da pro,chini ya studio za SB.music. So beautiful inaelezea uzuri wa mwanamke katika nyimbo lakini nilivyokua nikipata idea ya wimbo huu nilikuwa nauzungumzia mziki,muda ambao nilikua nahustle kutoka kwenye mziki ambapo mpenzi Wangu alikua hahitaji kabisa nifanye mziki,so nikapata idea ya kumwambia kuwa yeye ni beautiful but muziki is so beautiful,ndio kupatikana nyimbo SO BEAUTIFUL. Nawaomba mashabiki wa muziki afrika na dunia kutupa support artist tunaochipukia kwenye huu muziki.

advertise here