Saturday, 13 June 2015

Stori kubwa leo >> Sitti Mtemvu kutaka kujiua, jina la Mwalimu Nyerere.. Utoro Kigamboni, Wasira !!

Na layiii on spot
nOT tOO lATE
MWANANCHI
Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu aliyeamua kulitema taji hilo baada ya kubebeshwa kashfa amesema kuna wakati alitaka kujiua lakini alirudisha moyo nyuma na kuona ingekuwa shida kubwa nyumbani kwao.

CHIBU VANESSA MDEE NDANI YA MTV 2015

NA LAYIII ON SPOT

DIAMOND, VANESSA MDEE WATAJWA TUZO ZA MTV 2015

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond', yupo katika kipengele cha Best Male.
Staa wa muziki Tanzania, Vanessa Mdee 'Vee money',  yupo katika kipengele cha Best Female.
Best Male
AKA (South Africa)
Davido (Nigeria)
Diamond (Tanzania)
Sarkodie (Ghana)

ALI KIBA KUMFUNIKA DIAMOND ILE MBAYAAA KATIKA TUZO ZA KILI AWARD

NA LAYIII

WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015, ALI KIBA AIBUKA NA TUZO TANO, DIAMOND PLATINUMZ MBILI

Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye' akimtaja mshindi.
Joh Makini akiwashukuru mashabiki wake (hawapo pichani) baada ya kuchukua Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka wa Hip Hop akiwa na Nikki wa Pili (kushoto).
MAJINA YA WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015
1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND
2. KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB
3. BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA

SNOOP DOG LAZIMA NIWE KING TWITTER

LAYIII ON SPOT

.
Snoop Dogg
Kwenye headlines kubwa za siku ya leo ipo hii moja inayomhusu Mkurugenzi wa Twitter, Dick Costolo kutangaza kujiuzulu kama mkurugenzi wa Kampuni hiyo kutokana na malalamiko kwamba inajiendesha kihasara.
Headlines sasa hivi sio kuhusu Dick Costolo tena, ni Snoop Dogg.. Ishu unajua ni nini? Jamaa kasema eti yuko tayari kabisa kushika nafasi hiyo!!
.
Dick Costolo
Snoop Dog alichukua time na kuweka post kadhaa kwenye ukurasa wake @Twitter kwamba yuko tayari kabisa kuiongoza Kampuni hiyo ikiwa tu watampa nafasi.
Trend kwenye Twitter ikawa hivi>>> #


BAADA YA TUZO ZA KTMA KUTOLEWA MABADILIKO BAB KUBWA YAMETOKEA

LAYIII ON SPOT

Screen Shot 2015-06-12 at 6.17.31 PM
Leo June 12 2015 tunahesabu saa chache tu kushuhudia Historia ikiandikwa kwenye Burudani ya Muziki TZ, Tuzo kubwa za Muziki Tanzania, KTMA 2015 leo kuna kipya kilichotangazwa na waandaaji wa Tuzo hizo.
Kuna mabadiliko machache tofauti na ilivyokuwa mwaka jana… tumebadilisha mpangilio wa Venue ambao kwa mwonekano watu wote wataangalia mbele… mbali na hayo baada ya Show tumeandaa sherehe ambayo itawajumuisha watu wote kuburudika kwa pamoja tofauti na kipindi kilichopita“>>> Pamela Kikuli

NABII KAAMINI AKIZIKWA MZIMA ATAFUFUKA KILICHOJILI DUUU KICHEKO SI KICHEKO ICHEKI HAPO

NA LAYIIII ON SPOT

bury
Nimekutana na stori hii kutoka Zimbabwe inamhusu Nabii mmoja kutoka nchi hiyo kufariki akiwa kwenye mishemishe za kupata nguvu za ziada ili akemee mapepo.
Nabii huyo Shamiso Kanyama alifatwa na familia moja wakamuomba aje nyumbani kwao ili afanye maombezi kuondoa mapepo yaliyokuwepo kwenye nyumba ya wanafamilia hao.
Nabii huyo akaenda kufanya maombezi na wanafamilia hao… Wakiwa katika maombezi hayo, nabii huyo alidai kuwa roho mtakatifu amezugumza nae na kuwaomba wanafamilia hao kuchimba kaburi nje ya nyumba ili wamzike akiwa hai, alafu akifufuka atakuwa na nguvu mpya ya kuendelea na maombezi hayo.

Friday, 12 June 2015

BONGO STAR SEARCH KUWADIA ENDELEA KUFATILIA PAGE ZETU

LAYIIII

Kushoto ni Madam Rita, kabla ya uzinduzi akiwa na mmoja wa wadau, kulia ni mbunifu wa mitindo nchini Ally Remtullah.

…akizindua awamu nyingine ya shindano la BSS kwa mwaka 2015.

JOKATE MAPENZI STAA KWA STAA MBONA POA TUUU.......

LAYIIII


Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.
Saphyna Mlawa, Dar es Salaam
ANAJULIKANA kwa jina la Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, alianza kupata umaarufu kupitia fani ya urembo lakini kwa sasa sauti yake kusikika kwenye Bongo Fleva na kazi zake za urembo ndizo zinamfanya asomeke kwenye vyombo vya habari.

LOL MAMBO NDO YANAANZA SUMA MNAZARETI EMZONA NA SWAXBZ LAYIII NDANI YA CITY PUBMBEYA CIL LOL......

LAYIIIII
                              SWAXBZ, SUMA MNAZARETI , EMZONA NA BAADHI YA MASHABIKI

DUNIA IMEISHA MSANII MWINGINE CHIPUKIZI KAACHIA MIPICHA YAKE ILI APATE KIKI MITANDAONI ONA PICHA ZAKE

NA LAYIIII ON SPOT

'Moyesha Boudong' a beautiful Ghanaian actress and model with a few movies and TV shows to her credit NI binti mwenye umri wa miaka 24 aliyeamua kutwanga picha hizi na kuzimwaga mitandaoni kuonyesha umbo lake alivyo bomba na anavyowasumbua mapedeshee huko Ghana..
 

ULIIONA ILE YA KIBA KULE WASHNGTON ICHEKI HAPAAAAA

NA LAYIII ON SPOT

Ali Kiba akionesha mbembwe zake kwa mmoja wa mashabiki wakati wa shoo hiyo.

BAISKELI INAYO PAA YAVUMBULIWA INAKWENGA KWA JINA LA Hoverbike NA NICKNAME NI Flike

NA LAYIII ON SPOT
Aeroflex’s flying bike, called Hoverbike and nicknamed Flike, has made its first successful manned flight in Hungary. Though Hoverbike’s top speed is 30 mph, maximum flying height is 15 feet and it sustains flight for about 30-40 minutes; it uses anti-gravity technology, emits zero emissions and does not crash.
A team of flight enthusiasts at the Hungarian research institute, Bay Zoltan Nonprofit Ltd, designed and developed the all-electric cycle, a personal tricopter, in just six months. Flike’s creators write on their website:

All Electric Flying Bike Has Successful First Flight
See Here: thttp://anonhq.com/?p=22857

Thursday, 11 June 2015

UKONGWE SI ISSUE BANA EEE KULA KITABU UFANIKIWE NDUGU YANGU CHEKI KALI HIII

LAYIIIII ON SPOT
bibito
Kila mmoja anatambua kuwa elimu haina mwisho na kadri miaka inavyokwenda watu wengi wamekuwa wakitambua nini maana ya elimu huku wengi wao wakiamua

MWANARIHADHA MLEMAVU OSCAR PISTORIUS KUACHIWA MWEZI AGOSTI

NA LAYIIII ON SPOT
Oscar Pistorius akilia wakati wa hukumu yake.
MWANARIADHA maarufu nchini Afrika Kusini ambaye ni mlemavu, Oscar Pistorius huenda akaachiwa huru mwezi Agosti, mwaka huu baada ya kukaa jela kwa miezi 10.

FACEBOOK YACHAFUKA KISA MWANADADA WA SHEPU YA AJABU KUTUPIA PICHA ZAKE KATIKA MTANDAO HUO

NIFATILIA HAPA
LAYIIIII ON SPOT

HII NDIO SASABU YA WASICHANA WENGI SIKU HIZI HAWAOLEWI>>HEBU MCHEKI BIDADA HUYU ALIOVYOWEKA PICHA ZAKE FESIBUKU

haya sasa mimba ya zari si ya diamond a.k.a chibuuuu..........nifate hapa chini

na layiii
Mwandishi wetu
OHOOO! Wakati Nasibu Abdul ‘Diamond’ akijinadi kwa mbwembwe kuwa anategemea kiumbe kutoka kwa mwandani wake Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, ubuyu mpya wa mjini unadai kuwa mimba aliyobeba mrembo huyo si ya Diamond, Amani limemeza sababu za kutosha.
Mwandani wa mbongo fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo chetu kilicho karibu na Diamond anayesumbua kwa sasa na wimbo wake wa Nana, tangu habari ya ujauzito wa mlimbwende huyo mwenye asili ya Uganda ianze kupamba vyombo mbalimbali vya habari, watu walio karibu na staa huyo hawakuziamini.

Monday, 8 June 2015

MILLARD, DIAMOND, SHERIA NGOWI, DK. MENGI, ZITTO WALAMBA TUZO KATIKA KONGAMANO LA WANAVYUO DAR

LAYIII ON SPOT
Dkt. Kitila Mkumbo akipokea tuzo ya mwanasiasa anayependwa sana na mwenye mvuto kwa jamii ambayo tuzo ilienda kwa Zitto Kabwe.
Mlezi Dkt. David Rweikiza akitoa tuzo kwa mwanamitindo anayependwa ambayo tuzo ilienda kwa Sheria Ngowi, alipokelewa na mwakilishi wake.

MASKINI JOKATE ETI ANAJIUA ISSUE NZIMA HAPO CHINI MTU WANGU .................

NA LAYIII ON SPOT

Brighton Masalu
Imefichuka! Sexy lady mtafutaji anayejishughulisha na fani lukuki ikiwemo urembo na muziki, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ kwa mara ya kwanza ameweka wazi kwamba alitaka kunywa sumu kisa kikiwa ni kuumizwa kimapenzi na mwanaume aliyempenda kupindukia, aya zifuatazo zimesheheni.
Sexy lady mtafutaji anayejishughulisha na fani lukuki ikiwemo urembo na muziki, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’,
MBELE YA GAZETI HILI

UBAGUZI BADO MKUBWA SANA MAREKANI ICHEKI ILE ISSUE YA HUYU MDADA NA POLICE

NA  LAYIII ON SPOT
polise2
Story za watu weusi kuuawa Marekani iligusa wengi, mmoja ya waliouawa ni kijana Freddie Gray ambaye aliuawa mikononi mwa Polisi kwenye mji wa Baltimore, Marekani.. leo iko hii nyngine inayohusu kisa cha mwanamke kunyanyaswa.

IPATE APPLICATION MPYAAA SA SMS COLLECTION KUTOKA SWAXBZ.BLOGSPOT.COM KWA AJIRI YA ANDROID YAKO

NA SWAXBZ LAYIIIIIIII
VIDEO DOWNLOADER AND SMS COLLECTION COMING SOON

advertise here